mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,573
- 45,161
WooooiiiiiiiiNope kajileta mwenyewe
Sijawah hata mshobokea
Aliplan sema imeback fire
Sent using Jamii Forums mobile app
Bas sawa
WooooiiiiiiiiNope kajileta mwenyewe
Sijawah hata mshobokea
Aliplan sema imeback fire
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha sasa huwezi amini mimi ndo ninae luba huyo kesha zoeshwa viji hela hela basi ndo anakua luba kweli kweli...yani full kung'ang'aniwa hapa,,kama nilivyosema ukirudi kwenye utimamu utazoea kumpa hela huyo marioo wakoo maana hauna namna...utapata shida sanaVipi nawe unaombaomba hela kwa demu wako?mbona hasila hivo
Simpend ndio kwasababu kajigeuza marioo
Kama alikotoka alizoeshwa kulelewa hapa kafeli,jitu lina kazi bado kulialia hovyo kwa demu,si uzwazwa huo
Au ndo wewe nini
Ushaachwa babu we
Ukiachwa achika unakuwa kama luba bana
Sent using Jamii Forums mobile app
huo nao ujinga wa badhi wa midada ya mujini, ukiliwa kila shost ajue, ukimsuta umefaidi nini zaidi ya kujishushia heshima?Yes nishaondoka
Namkwepa akiendelea kunifatilia nitawahadithia mashost zangu wajue ili adhalilike,but for now nimekeep cool
Sent using Jamii Forums mobile app
una akili sanaJomoni..
Nilivyoona tu nimeskip
[emoji252] [emoji479]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Wanawake wanaogawa hela kwa marioo hawaandikagi "jomoniii"
Huu muandiko wako unaonesha mleta mada ni "Mdangaji" maarufu.
Yeaah sure ..fighter alafu mrembo ...mmmhhhh maybe uku.kwa kada zetu, ndo unakuta mchaga mchaga kwelikweli amechanganya naguu lakihaya na kalio la kihaya
Sawa aniache na ukawaida wangu
KibutiSo now , The seat already booked? yaan ulimpiga kibut au ulimrekebisha ?
Duuuh inaonekana una Msambwandaaa eeehhh kama mbantu halisi.
Teh alinifoc kulipa that's y iliniumamkuu huyu shemeji alikodi hadi lodge ili apewe muhogo, alipokata kiu sasa akili imemrudo[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman mie mbaya sijakataaYeaah sure ..fighter alafu mrembo ...mmmhhhh maybe uku.kwa kada zetu, ndo unakuta mchaga mchaga kwelikweli amechanganya naguu lakihaya na kalio la kihaya
Hi
Jomoni nimechoka kupigwa mizinga na wanaume.tuseme ukweli nikulishe,nikuvishe nilipie hadi lodge,mimi kama mwanamke nitakuheshimu kweli?
Wanaume badilikeni jomoni coz hakuna mwanamke anapenda kuhudumia mwanaume,kamwe
Sisi wanawake tumeumbwa kupokea na siyo kutoa.Mimi usinipe hela yako ila pia usiniombe hela pulizzz
Ni aibuuuu,wanaume sijui wamekuwaje siku hizi jomon
Siwezi kukuheshimu kama nakulisha, wengi mtapinga ila ni kweli mwanamke anayemhudumia mwanaume hawezi mweshimu kamwe
Oneni lady jdee,flora mbasha,ndoa zilifel kwakuwa waume walikuwa marioo
Badilikeni jomon
Noo hatujamanisha kua wee ni mbaya ,bali nikatika kujiuliza kwann ikutokee wewe ivo ...Jaman mie mbaya sijakataa
Point is I work hard to find my money
Na sihitaj marioo
Wakijileta me huyu tuna piga game mbili,tena kwa tarehe nitakazo panga mie then nakudamp
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaahh sawa hapo nmekuelewa
hakuna mwanamke mbaya ndio maana wanakukula japo unalipiaJaman mie mbaya sijakataa
Point is I work hard to find my money
Na sihitaj marioo
Wakijileta me huyu tuna piga game mbili,tena kwa tarehe nitakazo panga mie then nakudamp
Sent using Jamii Forums mobile app