uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,324
- 2,091
Mwanaume anayetaka kukuacha pia hufanya hivyo ili kosa liwe upande wako anaepuka lawama
Nope mie ndio nimemwacha,toka alovyoanza mizinga nikampiga chini kimyakimya. Eti jana ananambia tukutane leo tuzungumze,wakati najua hata tukikutana gharama zote ntalipia mie wakati naye ana kazi.nikamjibu kesho naenda site coz lazima nitafute hela nijiweke mjini lasivyo ntaadhirika.akakasirika na kukata simu.binafsi sipendi kuombwa hela nilizozipata kwa tabu kizembezembe tu tena na dume lenye kazi yake.Mwanaume anayetaka kukuacha pia hufanya hivyo ili kosa liwe upande wako anaepuka lawama
Huyo anamaanake nyingine hakuna mwanaume anaweza simama mbele ya mwanamke ambaye ana malengo naye afu akuombe heka wakati anakazi yake hata asingekuwa na kazi ni ngumu kufanya hivyo yaani kuliko kuomba hela ya mwanamke bora utembee kwa mguu tu hapo kwenye hela ya outing inawezekana kutokana na nani ni host wa tukio pia siwez kwambia mm tukatoke afu garama ziwe kwako huyo hana malengo naww kubaliana na mmNope mie ndio nimemwacha,toka alovyoanza mizinga nikampiga chini kimyakimya. Eti jana ananambia tukutane leo tuzungumze,wakati najua hata tukikutana gharama zote ntalipia mie wakati naye ana kazi.nikamjibu kesho naenda site coz lazima nitafute hela nijiweke mjini lasivyo ntaadhirika.akakasirika na kukata simu.binafsi sipendi kuombwa hela nilizozipata kwa tabu kizembezembe tu tena na dume lenye kazi yake.
Mara aniombe nauli,mara ada anataka kwenda ongeza masomo,mara tukitoka out anataka umpe nauli yakurudia kwake,hadi aibu kuelezea.si udangaji huu.ndo ishatoka hiyo hanipati ng'oo manake mwanaume kama huyu hata akikuowa majukumu yote ya familia atamwachia mama.hhalafu unategemea mwanamke akuheshimu?wakati una kazi na hela zako anajua unaspend na marafik zake kwenye mabaa.?kweli jamii imeharibika sana na ni aibu kwa kizaz kijacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
We nawe mie nafanya kazi naishi peke yangu kwahiyo hata nguo nisijinunulie,nisilipe kodi,nisinunue chakula nisubiri aje mwanaume kutoka huko aje anifanyie hayo sio?inshort nisiishi maisha yangu nisubiri kuna mwanaume atakuja nitimizia hayo?Wanakufanya hvo kwasababu ww ndo ulivo ukitaka upate mwanamme mzur ww ndo unahitaj kubadilika hata kama ulilelewa kujitaftia ndio na una hela hebu acha kuwa mwanamme unatakiwa mwanamme umwombe matumizi kama saloon shopping n.k sasa ww wanakuomba hela kwa sababu ya life stail yako ya kujihidumia kila kitu sa mtu hujawah kuhitaj hela ya matumiz s lazima hata yy atakuomba tu inshort dada yangu acha kuwa mwanamme badilika
I knowHuyo anamaanake nyingine hakuna mwanaume anaweza simama mbele ya mwanamke ambaye ana malengo naye afu akuombe heka wakati anakazi yake hata asingekuwa na kazi ni ngumu kufanya hivyo yaani kuliko kuomba hela ya mwanamke bora utembee kwa mguu tu hapo kwenye hela ya outing inawezekana kutokana na nani ni host wa tukio pia siwez kwambia mm tukatoke afu garama ziwe kwako huyo hana malengo naww kubaliana na mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wenzako kama hao ma ofisini huku tena wengine wanatoa hela za mahari mfukoni mwao wewe unajibaraguza tu hapa, wengi wenu mkiwa desperate mnafanya sana hivyo vitu, nilichokuja kugundua wale wanawake wanaofanya kazi sehemu nzuri nzuri wanaume wao wengi hua ni mamarioo ila hawa wanawake wanaofanya kazi za kawaida kawaida hua wanawapata wanaume wanaowahudumiaHi
Jomoni nimechoka kupigwa mizinga na wanaume.tuseme ukweli nikulishe,nikuvishe nilipie hadi lodge,mimi kama mwanamke nitakuheshimu kweli?
Wanaume badilikeni jomoni coz hakuna mwanamke anapenda kuhudumia mwanaume,kamwe
Sisi wanawake tumeumbwa kupokea na siyo kutoa.Mimi usinipe hela yako ila pia usiniombe hela pulizzz
Ni aibuuuu,wanaume sijui wamekuwaje siku hizi jomon
Siwezi kukuheshimu kama nakulisha, wengi mtapinga ila ni kweli mwanamke anayemhudumia mwanaume hawezi mweshimu kamwe
Oneni lady jdee,flora mbasha,ndoa zilifel kwakuwa waume walikuwa marioo
Badilikeni jomon
ndo type zako hzo.ndege wananaoWananifata wenyewe
Sijawahi tongoza mwanaume
Ila ndo ivo ni mariooo
Hadi kero
Km mlezi wa wana sema wahuni tukaribie tule slope[emoji3] [emoji3]Hujaelewa point yangu
Kusaidiana kupo
Ila isiwe umenitongoza ili upate kitonga cha maisha
It's disgusting
Vipi nawe marioo?Km mlezi wa wana sema wahuni tukaribie tule slope[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio type zangu that's y sipendi
Unaonekan umechukia xn...mwambie sasa,km uko poa co kitu mlee tu jamaa kwan k2 gn.Vipi nawe marioo?
Ningekuwa nalea singekuja lalamika humu
Mwanaume majukumu
Kama mzee wa vitonga nipitie kushoto
Sent using Jamii Forums mobile app
weee ndo una matatizoo kilicho kuwasha kulea wanaume n nn...???Hi
Jomoni nimechoka kupigwa mizinga na wanaume.tuseme ukweli nikulishe,nikuvishe nilipie hadi lodge,mimi kama mwanamke nitakuheshimu kweli?
Wanaume badilikeni jomoni coz hakuna mwanamke anapenda kuhudumia mwanaume,kamwe
Sisi wanawake tumeumbwa kupokea na siyo kutoa.Mimi usinipe hela yako ila pia usiniombe hela pulizzz
Ni aibuuuu,wanaume sijui wamekuwaje siku hizi jomon
Siwezi kukuheshimu kama nakulisha, wengi mtapinga ila ni kweli mwanamke anayemhudumia mwanaume hawezi mweshimu kamwe
Oneni lady jdee,flora mbasha,ndoa zilifel kwakuwa waume walikuwa marioo
Badilikeni jomon
Kama wanawatolea mahari ni waoW
Wapo wenzako kama hao ma ofisini huku tena wengine wanatoa hela za mahari mfukoni mwao wewe unajibaraguza tu hapa, wengi wenu mkiwa desperate mnafanya sana hivyo vitu, nilichokuja kugundua wale wanawake wanaofanya kazi sehemu nzuri nzuri wanaume wao wengi hua ni mamarioo ila hawa wanawake wanaofanya kazi za kawaida kawaida hua wanawapata wanaume wanaowahudumia
Huhitaj wakat huk unalea?Sio type zangu that's y sipendi
Sihitaj kulea mwanaume na mbupu zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi nawe unaombaomba hela kwa demu wako?mbona hasila hivoMkipendaga nyie mnatoaga mpaka mik*ndu eti leo huoni ata aibu eti ananiomba pesa mbn akiomba tigo husemi sema tu ukwel huyo jamaa wewe hujampenda achana nae kimya kimya sio vita.
Huna jeuri hio maana huna pa kwenda na utamtunza tu huyo marioo maana ringi limeshakukata...Kama wanawatolea mahari ni wao
Sio mimi
Sitongozi mwanaume na sihitaj marioo
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi nawe unaombaomba hela kwa demu wako?mbona hasila hivoMkipendaga nyie mnatoaga mpaka mik*ndu eti leo huoni ata aibu eti ananiomba pesa mbn akiomba tigo husemi sema tu ukwel huyo jamaa wewe hujampenda achana nae kimya kimya sio vita.
Vipi nawe unaombaomba hela kwa demu wako?mbona hasila hivoHuna jeuri hio maana huna pa kwenda na utamtunza tu huyo marioo maana ringi limeshakukata...
Nimelea wapi