Ni Yupi mkuu yule Ex au Jamaa aliekuachia laki ?Hi
Jamani nimechoka kupigwa mizinga na wanaume. Tuseme ukweli nikulishe, nikuvishe, nilipie hadi lodge, mimi kama mwanamke nitakuheshimu kweli?
Wanaume badilikeni coz hakuna mwanamke anapenda kuhudumia mwanaume, kamwe!
Sisi wanawake tumeumbwa kupokea na siyo kutoa. Mimi usinipe hela yako ila pia usiniombe hela pulizzz.
Ni aibuuuu, wanaume sijui wamekuwaje siku hizi. Siwezi kukuheshimu kama nakulisha.
Wengi mtapinga ila ni kweli mwanamke anayemhudumia mwanaume hawezi mweshimu kamwe. Oneni Lady Jaydee, Flora Mbasha ndoa zilifeli kwakuwa waume walikuwa marioo.
Badilikeni
Kweli akili huna sasa weww kumlisha mtu tu huwezi kumheshimu je mume akikuweka ndani akawa anakufuga na wewe asikuheshimu hahaha daaah ?Hi
Jamani nimechoka kupigwa mizinga na wanaume. Tuseme ukweli nikulishe, nikuvishe, nilipie hadi lodge, mimi kama mwanamke nitakuheshimu kweli?
Wanaume badilikeni coz hakuna mwanamke anapenda kuhudumia mwanaume, kamwe!
Sisi wanawake tumeumbwa kupokea na siyo kutoa. Mimi usinipe hela yako ila pia usiniombe hela pulizzz.
Ni aibuuuu, wanaume sijui wamekuwaje siku hizi. Siwezi kukuheshimu kama nakulisha.
Wengi mtapinga ila ni kweli mwanamke anayemhudumia mwanaume hawezi mweshimu kamwe. Oneni Lady Jaydee, Flora Mbasha ndoa zilifeli kwakuwa waume walikuwa marioo.
Badilikeni
Weeh wale wote wawili wako njemaNi Yupi mkuu yule Ex au Jamaa aliekuachia laki ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weeh wale wote wawili wako njema
Wananihudumia vizuri tu
Hiki ni kimarioo kilitaka kujiweka kipate mtelezo wa maisha
AF unajikuta unamchukia kupitilizaI know
Lilikuja likadhan litanichuna
Tena lilikuwa linaforce hadi kuhamia kwangu,ili iweje?nachojua wanawake ndo tunatabia ya kuhamia kwa mwanaume,nikampiga marufuku kuja kwangu.
Likajidai kununa wakati niligundua motive yake from the beginning ni kutumia sex aniteke kimahaba then lianze nitumia ama kuniblackmail.am way too smart to be blinded by sex machines.walokutuma wambie she is too smart,tumieni mbinu za usa ama urusi,ila kibongo mmefeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhWeeh wale wote wawili wako njema
Wananihudumia vizuri tu
Hiki ni kimarioo kilitaka kujiweka kipate mtelezo wa maisha