witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,769
Nope mtu ajilete mwenyewe na baby baby nyingi,halafu ndani ya mwezi nifall kizembe to,sijawahiAaahhh sawa, itakua anajua una madhaifu kiasi fulan ndo maana akawa ivo alafu anajua wee kwake umeoza umekufaa, so anachofanya ni.kukugegeda vzuri vzuri ili in returns uogope kumkosa nabaada ya hapo utalubaliana na Mizinga yake.
Nimehisi hivoo bidada kafa kaoza!Aaahhh sawa, itakua anajua una madhaifu kiasi fulan ndo maana akawa ivo alafu anajua wee kwake umeoza umekufaa, so anachofanya ni.kukugegeda vzuri vzuri ili in returns uogope kumkosa nabaada ya hapo utalubaliana na Mizinga yake.
Hapo ndipo nilipomtoa thamaniKwanza huo ujasiri tu wa kuingia kumlala mwanamke lodge kalipia yeye sijui unatokea wapi aiseee, au mwanamke una kwako eti nije tudinyiane hapo kwako nooooooooh!
Mie namwona kawaida cos mwanaume kwangu si sura ni majukumuSifa moja ya marioo ni ving'ang'anizi hataree! Halafu huyo kazoea maskini na akamwagwa huko ndo kaja kwako!
Ni handsome nini? Maana wanaume wa hivyo mostly ndio wana tabia hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes nishaondokaAsee...kama umelitupa kwenye dustbin hilo limarioo shukuru Mungu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wenye vipato vyenu na nyie mna kazi sana. Hapo ukute ulimpata baada ya kuona hali imekuwa tete ukaamua walau umpate wa kukupunguzia [emoji3] [emoji3] matokeo yake ukaja gundua unaingizwa mjini sio muda ukajiongezaHapo ndipo nilipomtoa thamani
Sikumwambia ila nikapunguza mawasiliano fasta
Nilijua nimeingizwa mjini so bora kusepa kimyakimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiooo Wity, hapo akikumuona tu jamaa analoa chupin... Sasa unategemea hatokubal masharit?? Alafu usikute nayeye hajiamin km ni mzuri wa umbo na sura???
Au mtu wa gym kwa sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie namwona kawaida cos mwanaume kwangu si sura ni majukumu
Sura yake itanisomeshea watoto?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nope nisingemletea thread huku
Hahaha wanaandikaje kweni?Wanawake wanaogawa hela kwa marioo hawaandikagi "jomoniii"
Huu muandiko wako unaonesha mleta mada ni "Mdangaji" maarufu.
mkuu huyu shemeji alikodi hadi lodge ili apewe muhogo, alipokata kiu sasa akili imemrudo[emoji28] [emoji28] [emoji28]Wanawake wenye vipato vyenu na nyie mna kazi sana. Hapo ukute ulimpata baada ya kuona hali imekuwa tete ukaamua walau umpate wa kukupunguzia [emoji3] [emoji3] matokeo yake ukaja gundua unaingizwa mjini sio muda ukajiongeza
So now , The seat already booked? yaan ulimpiga kibut au ulimrekebisha ?Nope mtu ajilete mwenyewe na baby baby nyingi,halafu ndani ya mwezi nifall kizembe to,sijawahi
Lilikuwa lengo lake from the beggining kunidate apate mtelezo coz of my job
Sema kakuta mie nawaza hatua mia kabla yake
Sent using Jamii Forums mobile app
wanawake mafighter ni wakawaida sana, warembo wachacheNdiooo Wity, hapo akikumuona tu jamaa analoa chupin... Sasa unategemea hatokubal masharit?? Alafu usikute nayeye hajiamin km ni mzuri wa umbo na sura???
Lazima avumilie tu maana anaona kama bahati
Kwani yy yuko JF?Nope nisingemletea thread huku
Mfano leo ni eid niko viwanja na mashost,ingekuwa hivo ningekuwa naye huku tukila upepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nope kajileta mwenyeweWanawake wenye vipato vyenu na nyie mna kazi sana. Hapo ukute ulimpata baada ya kuona hali imekuwa tete ukaamua walau umpate wa kukupunguzia [emoji3] [emoji3] matokeo yake ukaja gundua unaingizwa mjini sio muda ukajiongeza