Wanaume acheni kuwa 'Marioo'

Wanaume acheni kuwa 'Marioo'

Hi
Jomoni nimechoka kupigwa mizinga na wanaume.tuseme ukweli nikulishe,nikuvishe nilipie hadi lodge,mimi kama mwanamke nitakuheshimu kweli?
Wanaume badilikeni jomoni coz hakuna mwanamke anapenda kuhudumia mwanaume,kamwe
Sisi wanawake tumeumbwa kupokea na siyo kutoa.Mimi usinipe hela yako ila pia usiniombe hela pulizzz
Ni aibuuuu,wanaume sijui wamekuwaje siku hizi jomon
Siwezi kukuheshimu kama nakulisha, wengi mtapinga ila ni kweli mwanamke anayemhudumia mwanaume hawezi mweshimu kamwe
Oneni lady jdee,flora mbasha,ndoa zilifel kwakuwa waume walikuwa marioo
Badilikeni jomon

Hakuna mwanaume mariooo, kitu kilichopo ni kuwa ww unakuwa unampenda huyo mwanaume zaidi ya yy anavyokupenda ndio maana unatumia nguvu kubwa kumfanya yy awe wako

Na ndio maana unampa pesa na kumgalamia kila kitu yy kazi yake inakiwa ni moja tu kukupa show
 
Yupo,kanitongoza mwenyewe na lengo lilikuwa kupata kitonga
Kila siku anakulilia shida
Wanaume mnareact,mkihisi nimekuja kuwadhalilisha,nope
Wapo wanaume wanaotongoza wanawake kwaajil ya kupata kitonga cha maisha,
Hao ndio wanawadhalilisha
Wabadilike
Wanawake wengi wanalalamika kuwa wanaume wamegeuka marioo
Mkiwa wenyewe wanaume kwa wanaume wanapretend kuhudumia ama kujihudumia kuficha aibu
Wanawake ndio tunaujua huu ukwel
Na tunawaomba wabadilike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unamvalisha mtu... Unamlisha... Unampa pakulala... Na hela ya matumizi unampa ...duuuhh aiseee uko njema.

Sasa haya yote kama unayafanya kwa moyo wako then stop bad mouthing your Ex to others ... Usikute nayeye anasema nimepata "Lisugar dada linaniweka town".
 
Alikuwa anafoc
Yani kama ni nguo imepita akaipenda,anakwambia ninunulie hiyo,kwa kufoc
Akiona umetumia kahela kwenye simu akajua anakwambia twende tukaitoe tutoke wikend,akifika kwa wakala anataja hadi kiasi chote kabla hujasema unatoa shilingi ngapi
Alikariri hadi pasword za simu yangu,nilipogundua nikazibadili fasta
Kwani nilimwuliza mbona simu yako hujanipa password ila yangu unataka uyajue? Especially yanayohusu pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok
But trust me sijawahi watongoza hata mmoja,and I live a very normal life
Wa mwisho nilimwambia please don't ask me for money,coz alikuwa daily ananililia shida,akasema nimemdahlilisha
Me nimelelewa to find for my self,siombiombi hovyo
May be nianze kuwapiga mizinga kabla hahahah
Michepuko isiyo misumbufu ya aina hii ndo naipendaga sana, aloo siku ukiwachoka sana niPM.
 
Hujanielewa jaman
Ishu ni kuwa anaomba hela kila leo,halafu sijawahi mwomba hata na haijalishi sina uhitaji,ila mkiwa na rafiki zake anaspend hela balaa,akiwa nami hatoi hata mia
Huyu ni gold digger wa kiume ,tusimtetee jaman
Kama mwanaume anapaswa kubadilika,vinginenvyo hakuna mwanamke atakaye mchukulia serious,
Sasa unaendelea nae wa nini? Do u tink he 'll change?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakutana wap na hizo type jaman? Yani mm kabla cjaolewa enzi za kudate ilikuwa mwanaume nnae date nae hata akinibip tu naanza kuwa na mashaka aisee, au kuwa na mwanaume anaependa kutuma msg kupiga cmu mara moja moja aisee naanza kupata mashaka, eti ndo uniombe hela block itakuhusu saa hiyo hiyo, huwa nikisikia wadada wanasema wanaombwa hela na wanaume nabaki kushangaa, how? Anaanzaje? Amekuonaje? Au ww ndo umemtongoza?
Inaonekana ana mihela huyo dada!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nope mie ndio nimemwacha,toka alovyoanza mizinga nikampiga chini kimyakimya. Eti jana ananambia tukutane leo tuzungumze,wakati najua hata tukikutana gharama zote ntalipia mie wakati naye ana kazi.nikamjibu kesho naenda site coz lazima nitafute hela nijiweke mjini lasivyo ntaadhirika.akakasirika na kukata simu.binafsi sipendi kuombwa hela nilizozipata kwa tabu kizembezembe tu tena na dume lenye kazi yake.

Mara aniombe nauli,mara ada anataka kwenda ongeza masomo,mara tukitoka out anataka umpe nauli yakurudia kwake,hadi aibu kuelezea.si udangaji huu.ndo ishatoka hiyo hanipati ng'oo manake mwanaume kama huyu hata akikuowa majukumu yote ya familia atamwachia mama.hhalafu unategemea mwanamke akuheshimu?wakati una kazi na hela zako anajua unaspend na marafik zake kwenye mabaa.?kweli jamii imeharibika sana na ni aibu kwa kizaz kijacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huyo hata K ulimpa ya nini? Haikuumi? Haaahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi
Jomoni nimechoka kupigwa mizinga na wanaume.tuseme ukweli nikulishe,nikuvishe nilipie hadi lodge,mimi kama mwanamke nitakuheshimu kweli?
Wanaume badilikeni jomoni coz hakuna mwanamke anapenda kuhudumia mwanaume,kamwe
Sisi wanawake tumeumbwa kupokea na siyo kutoa.Mimi usinipe hela yako ila pia usiniombe hela pulizzz
Ni aibuuuu,wanaume sijui wamekuwaje siku hizi jomon
Siwezi kukuheshimu kama nakulisha, wengi mtapinga ila ni kweli mwanamke anayemhudumia mwanaume hawezi mweshimu kamwe
Oneni lady jdee,flora mbasha,ndoa zilifel kwakuwa waume walikuwa marioo
Badilikeni jomon
Kama hujakutana na wakuhudumia aisee karibu nipo free ila ulithathmini kwanza isiwe ndo ile bao la sita unaanza lalamika umechoka!!! If u are ready mostly welcome!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nawe mie nafanya kazi naishi peke yangu kwahiyo hata nguo nisijinunulie,nisilipe kodi,nisinunue chakula nisubiri aje mwanaume kutoka huko aje anifanyie hayo sio?inshort nisiishi maisha yangu nisubiri kuna mwanaume atakuja nitimizia hayo?

Mtu huyu kanikuta na maisha yangu,kanitongoza hatuna hata mwezi anaanza kuniomba hela.kwani nilimwita?inshort ni opportunist kaniona niko njema ndo kuingia na gia ya mapenzi akidhan am stupid
Nilimsuspect toka awali,nilikuwa namlia timing nijoridhishe ili nimwage. Na nishafanya hivyo. Sihitaj marioo in my life.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I know
Lilikuja likadhan litanichuna
Tena lilikuwa linaforce hadi kuhamia kwangu,ili iweje?nachojua wanawake ndo tunatabia ya kuhamia kwa mwanaume,nikampiga marufuku kuja kwangu.

Likajidai kununa wakati niligundua motive yake from the beginning ni kutumia sex aniteke kimahaba then lianze nitumia ama kuniblackmail.am way too smart to be blinded by sex machines.walokutuma wambie she is too smart,tumieni mbinu za usa ama urusi,ila kibongo mmefeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaahaaa eti lihamie kwako! Duuh huyo akaolewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom