Wanaume acheni kuwa 'Marioo'

Wanaume acheni kuwa 'Marioo'

Hujaelewa point yangu
Kusaidiana kupo
Ila isiwe umenitongoza ili upate kitonga cha maisha
It's disgusting
nimekuelewa sana ila nilichogundu huyo jamaa humpendi au umemchoka,madam mtu unayempenda huwezi kumtangaza
 
Sawa mie kilaza sikatai
Ila mwanaume mwenzio mwenye vichwa 2 kama wewe amekuwa akiniomba hela kila leo
Alafu cha ajabu ana kazi na mshahara
Jamen badilikeni
Mengi asingemwoa klyn kama angekuwa anamwomba visenti kila leo
Kama ni kweli ebu weka namba yake tumwambie aache kutudharilisha wanaume bhana
 
Kwa hiyo kumsaidia mpenzi wako ndio unakuja kulalama huku..!
 
Kwa hiyo kumsaidia mpenzi wako ndio unakuja kulalama huku..!
Hujanielewa jaman
Ishu ni kuwa anaomba hela kila leo,halafu sijawahi mwomba hata na haijalishi sina uhitaji,ila mkiwa na rafiki zake anaspend hela balaa,akiwa nami hatoi hata mia
Huyu ni gold digger wa kiume ,tusimtetee jaman
Kama mwanaume anapaswa kubadilika,vinginenvyo hakuna mwanamke atakaye mchukulia serious,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] on [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] wqtu na vijimambo
 
kama anakukojoza vzr kila siku lzm utoe pesa bila kujijua
 
Hata maandiko yanasema "Ombeni nanyi mtapewa"
Samahani Dada naomba unisaidie shilingi 100 nina shida nayo, najua una roho nzuri ya utoaji. Ahsante.
 
.ti eb os llib ym gniyap si kcid ym fI
 
Acha ubahiri kwani mkunyenye hakupatiii..toa hela maisha yamebadilika acha kukariri..kwanza nyie wenyewe ndo mnataka 50/50.
 
Back
Top Bottom