Hi
Jomoni nimechoka kupigwa mizinga na wanaume.tuseme ukweli nikulishe,nikuvishe nilipie hadi lodge,mimi kama mwanamke nitakuheshimu kweli?
Wanaume badilikeni jomoni coz hakuna mwanamke anapenda kuhudumia mwanaume,kamwe
Sisi wanawake tumeumbwa kupokea na siyo kutoa.Mimi usinipe hela yako ila pia usiniombe hela pulizzz
Ni aibuuuu,wanaume sijui wamekuwaje siku hizi jomon
Siwezi kukuheshimu kama nakulisha, wengi mtapinga ila ni kweli mwanamke anayemhudumia mwanaume hawezi mweshimu kamwe
Oneni lady jdee,flora mbasha,ndoa zilifel kwakuwa waume walikuwa marioo
Badilikeni jomon