Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 17,984
- 43,472
Asante mtu wangu wa nguvuThanks, na kwako pia rafiki.
Asante mtu wangu wa nguvuThanks, na kwako pia rafiki.
Wow. mwanamke kutii amri za mumewe sio unyonge, ukiona amri ama maagizo (ambayo mnaona ni ubabe) yana kinzana na utashi wako toa nafasi kwa ajili ya majadiliano sio kuleta ujeuri. Unapoleta Ujeuri mwanaume anaona umemkosea heshima na mtaendelea kubaki kwenye hiyo circle hadi pale mtakapotoana uhai kudhihirisha nguvu zenuPengine tunafelishana in the sense that hamna anaetaka kuonekana mnyonge, nyie mnatuonyesha ubabe kwahiyo na sisi tunawaonyesha jeuri.
MmhAsante mtu wangu wa nguvu
Sure aisee,na ukizingatia wanaume wengi humu ni vichwa maji...like they knew everything before and after birthMkuu usiumize kichwa kuwaelewesha watu wasioelewa kwenye mtandao, matter of fact the internet is not even a real place.
Watamwelewa wanaume tu cute,hao wengine tunagombaniana mabwana kama nao ni wanawake pia ni ngumuumeiandika vyema sana...sema kueleweka sasa🥱
Punnguza nyeto😂Sijui ni mimi tu, kwenye thread nikiwa nasoma mstari wa nne nakua nshasahau wa tatu...nkifika mwishoni nasahau kbs nlichosoma
Je,katika hayo yote kuna uhusiano wa kumfikisha mwanamke?Hello guys, bado tupo January, so Happy New Year!!
Ni muda sasa nimekua nikisoma na kusikia wakaka mnavyolaumu wanawake kukosa utii na heshima kwenye ndoa na mahusiano, kuwa jeuri sana na kuendekeza gubu.
Imefika mahali elimu na mafanikio ya mwanamke ndio vinaonekana kuwa chanzo cha matatizo haya, pamoja na mengine mengi.🙁
Binafsi sikubaliani nanyi hata kidogo.
Utii hauletwi na mtu kutokua "msomi"! Utii, kama vitu vingine vingi ambavyo hutolewa kwa hiari huwa havitolewi isipokua pale muhusika anapoonekana anastahili.
You can instill fear on a person, ukanunua nidhamu ya uongo, ngono, mapenzi ya kinafiki and so on...ila upendo, utii na kujaliwa ambako ni halisi (real/genuine) hutolewa kwa hiari, na hiari haishurutishwi hata siku moja. Si kwa mazingira (circumstances), uhitaji, pesa, hofu, wala nguvu ya mtu.
Tatizo linakuja pale mnapotaka kuchukua bila kutoa. Trust me, you can not take without giving!!
Wanaume nyie mnataka tuwapende, mnataka tuwajali (mbembelezwe na kupetiwa petiwa), tuwaheshimu, tuwatii, tuwasikilize, tuwa-appreciate etc. , ila nyie mnafanya juhudi gani kututengenezea mazingira/ kutuweka kwenye position ya kuwapa hayo yote na zaidi bila kujiona wajinga? Pengine tunafelishana in the sense that hamna anaetaka kuonekana mnyonge, nyie mnatuonyesha ubabe kwahiyo na sisi tunawaonyesha jeuri.
Hii pia inatokana na the fact that kuna baadhi wanakuwa na watu ambao sio sahihi kwao, either kwa tamaa, uzembe ama haraka ya kuingia kwenye mahusiano. Mtu wa hivi hata umbebe mgongoni, it will never change the fact that HAKUPENDI! Anaweza akawa anakuhitaji kwa sababu moja ama nyingine, but that's pretty much it.
Ukweli ni kwamba, ukiwa na mtu sahihi kwako na ukam-treat vizuri, she'll naturally become your peace...and vice versa!
Tukiacha kushindana, kila mmoja akaanza kumpa mwenzie kila anachoweza kumpa without conditions, judgement, or holding back, maisha yatakua rahisi sana.
Sasa unadhani mtu kama hakupendi ataacha kukuona "fala" pale unapotia juhudi na yeye hana malengo yoyote na wewe??Unaweza kumpa vyote na bado hasikuheshimu yaani kifupi wanawake hawaeleweki hata kidogo. Na mwanamke ukimpa sana hela na other stuff anakuona fala anaanza kukuletea dharau. Kila mtu abaki upande wake. Ulichokiandika sio sahihi.