Wanaume acheni kulalamika

Wanaume acheni kulalamika

Huyu mleta mada atakuwa ametokea sehemu za MunguOnyeshaSehemuHelaIlipo..lol
 
I wish I could have a girl/lady like you,I am Praying for God to get a Wife Material like you and I Hope he will do a favour for me!Wanaume tunajua wajibu wetu kwa wanawake ni nn,So hatuhitaji kufundishwa nn Cha kufanya ninapokuwa na ww.I know my Responsibilty huhitaji kunikumbusha

Usijali may the Lord grant your heart desire in Jesus name.. Amen..Thanks.
 
Hapa sasa naona ni debate kwa kwenda mbele. Nakumbuka enzi zetu, ''kipi boro, radio au baiskeli''?
 
Ofisini nna Madogo wawili. Mmoja wa kiume, ana contract employment, mwengine wa kike, ni field wa IFM.

Dogo akaamua kujitwisha mzigo kwa maelezo eti amekolea!

Wiki haikuisha dogo analia, mizinga inaongozana km mabehewa.

Mzinga wa kwanza ulikuwa nauli ya wiki nzima, kisa HESLB wamechelewesha boom!

Na bado mchezo wao wa kupelekana breakfast na lunch, nlikuwa nautazama kwa jicho kuu, dogo na mdada ss hv wanapishana, huyu akienda, huyu anarudi!


Aahhaaaaaahaa.. Kazi kweli kweli. Hamu ya kuwa nae ilimuisha yote. Honestly its a shame . Thanks.
 
Habari wana jf!Mimi huwa siwaelewi wanaume,niseme baadhi yao kwa kulalamika.Baadhi ya wanaume hulalamika pindi wanapoombwa pesa na wapenzi wao eti kwa kuwa tangu waanze uhusiano wana muda mfupi sana.Utasikia wengine wanasema hata siku 7 hazijaisha ananiomba laki 3!Hawa hawa wanaume wamekuwa wepesi kuomba papuchi kwa wanawake mapema kuliko hata maelezo,anataka atongoze leo&leo hii hii agegede!Naomba malalamiko yasiwepo,oa weka ndani!

Hela tofauti na papuchi dada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom