Wanaume acheni kulalamika

Wanaume acheni kulalamika

Dear binafsi ningekuwa mwanamme I think ninge complain too .. Kuna wanawake wengine are too much kuendekeza Shida / dhiki . Wewe mwanamme hata haijafika 2 weeks unamuomba hela kama sio Hila na tamaa hiyo ni kitu gani . Tujitengenezee mazingira ya kupewa na sii kuomba omba . Wanawake wengine baadhi yao hufanya maumbile yao as a business common now . Jithamini mwenyewe kwanza and then wengine watakuthamini .. Jiheshimu mwenyewe and then others will follow it. Binafsi sipendi kuomba omba .. I can do all things through Christ who gives me strength . Akinipa sawa nashukuru ( which he does) asiponipa pia sawa nashukuru ( and I still love him anyway ) . Tabia ya kuomba omba its not nice honestly .. Sikumbuki lini nimemuomba mwenzangu zaidi ya yeye kunipa . Some women need to change . Hawa wanaume ni wapenzi wetu na si wazazi wetu ambao walituzaa hivyo they must give at anytime . Thanks.

Nmekupenda sana kwa kusema ukweli ubarikiwe sasa ww ndo wife material
 
Kwa mwanaume anayelalamika kuombwa pesa na mwanamke, alafu unamshauri aoe, atawezaje kutunza mke na familia sasa. Ila tabia ya kutoa inaanzia utotoni na mazingira unayokuzwa nayo. Kama baba alikuwa anamtunza mama vizuri nawe ukawa unaona, hata ukiwa mkubwa hutokuwa mlalamikaji kwa mwanamke. Ila kama baba alikuwa hamjali mama, hata wewe unakua na tabia hizo za kutojali mwanamke.
 
Habari wana jf!Mimi huwa siwaelewi wanaume,niseme baadhi yao kwa kulalamika.Baadhi ya wanaume hulalamika pindi wanapoombwa pesa na wapenzi wao eti kwa kuwa tangu waanze uhusiano wana muda mfupi sana.Utasikia wengine wanasema hata siku 7 hazijaisha ananiomba laki 3!Hawa hawa wanaume wamekuwa wepesi kuomba papuchi kwa wanawake mapema kuliko hata maelezo,anataka atongoze leo&leo hii hii agegede!Naomba malalamiko yasiwepo,oa weka ndani!

kama ni biashara, muwe mnasema!
 
Kumbe zinauzwa.... P for money!
 
Kwa uzoefu tu mwanaune unaempenda huwezi kumwomba hela, na mwanaume anaekupenda hasubiri kumwomba hela, yeye anajiongeza any tym
 
aisee umenikumbusha wit wangu, baada ya kumgegeda nikataka kumpa kihela akanambia sina shida na hela yako nataka tu penzi lako, nimebaki pale nashangaa yeye huko anavaa, "peter, nisindikize mie niondoke niwahi muda ushaenda", nilijua anatania
 
kama ni biashara, muwe mnasema!

Wala sio biashara.baadhi ya Wanaume hawajui nini maana ya kupenda.Wanadhani kupenda ni kugegeda!Jamani kugegeda ni hitimisho la upendo,litakuja lenyewe bila nguvu wala kuomba.Lkn m2 anadai papuchi kama alikukopesha,sio vizuri.
 
Kuombana hela kwa sababu tu ya kugegeda ni unyanyasaji wa kijinsia.
 
Me nafikiri muhimu nikutumia akili yako ili upewe hizo hela,siyo pesa vs papuchi....unakuta mtu hata hajawah kukupa wazo au kujadili uchumi kwa maana ya maendeleo,halafu unataka hela...kuza fikra zako na siyo kuwaza papuchi ikuletee hela
 
Naturally mwanaume ndio anatakiwa kuhangaikia masuala ya gharama za uendeshaji mapenzi.

Pesa ni tatizo kila mtu anajua ndio maana wanaume wanalalamika sana. Dawa ni kutafuta zaidi na wanawake watuelewe tunapokuwa hatujafanikiwa. Wanawake wengi hawatupendi tusipofanikiwa ndio maana frictions haziishi
 
Way to go sista.
Dear I agree with you .. let's try to be independent women please . Honestly we can do it .. Hela ya mtu ni utumwa jamani . Tusiitegemee hata kidogo. Hata kama tumeolewa tujitahidi kuwa business zetu wenyewe ili zitusaidie, kifedha kwa mahitaji yetu binafsi . Thanks..
 
Ww ni Changudoa Mzoefu tu huna lolote,kwa wale wateja wako watakuwa wameshakuelewa mana umetangaza biashara bila kulipia
 
Dear binafsi ningekuwa mwanamme I think ninge complain too .. Kuna wanawake wengine are too much kuendekeza Shida / dhiki . Wewe mwanamme hata haijafika 2 weeks unamuomba hela kama sio Hila na tamaa hiyo ni kitu gani . Tujitengenezee mazingira ya kupewa na sii kuomba omba . Wanawake wengine baadhi yao hufanya maumbile yao as a business common now . Jithamini mwenyewe kwanza and then wengine watakuthamini .. Jiheshimu mwenyewe and then others will follow it. Binafsi sipendi kuomba omba .. I can do all things through Christ who gives me strength . Akinipa sawa nashukuru ( which he does) asiponipa pia sawa nashukuru ( and I still love him anyway ) . Tabia ya kuomba omba its not nice honestly .. Sikumbuki lini nimemuomba mwenzangu zaidi ya yeye kunipa . Some women need to change . Hawa wanaume ni wapenzi wetu na si wazazi wetu ambao walituzaa hivyo they must give at anytime . Thanks.

I wish I could have a girl/lady like you,I am Praying for God to get a Wife Material like you and I Hope he will do a favour for me!Wanaume tunajua wajibu wetu kwa wanawake ni nn,So hatuhitaji kufundishwa nn Cha kufanya ninapokuwa na ww.I know my Responsibilty huhitaji kunikumbusha
 
Nmekupenda sana kwa kusema ukweli ubarikiwe sasa ww ndo wife material

Ofcos she is,huwa nampenda sana mwanamke asienionyesha waziwazi kama anapenda pesa hata kama yuko hivyo,hii inanipa imani kuwa uwezo wa kushawishiwa na kulaghaiwa kupitia pesa ni mdogo nami huwa nakuwa mstari wa mbele kumtimizia mahitaji yake yakifedha kwa kuonyesha uaminifu wake huo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom