Wanaume acheni kulalamika

Wanaume acheni kulalamika

Mi napita2... msi fanye mwili kua ifisi.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kuna dada mmoja wa Namibia nilikutana nae Munich Ujeruman akawa anasema hiyo papuchi japo wamepewa bure inahitaji maintanance. Nilikuwa nacheka mpaka basi. Ila hiyo kilo tatu nyingi sana
 
Papuchi muhimu kwa sababu muda wote ipo but pesa smtime inakuwa hakuna so papuchi aina haja ya kubaniwa!
 
Sema "wavulana" maana "wanaume" huwa hawaombwi, unamshawishi anatoa mwenyewe bila kuombwa.
 
Me nashangaa, utam tunaskia wote kwann mm ndonitoe ela, kama cyo kununua uko? Ndomaana nikishapewa papuchi nasepa
 
Hahahhhahahahah achen uwoga lak 3 tu ebu fikiria mpk saiz ngap umetoa kama c umekaweka ka vitz pesa kitu gan zaid ya papuchi achen bhana tuongea kitu real
 
all men and women like to play blame game!
 
Money money money.

Girls make your own cash and spend it.

You are not dating your Dad or your Bro. So he is under no obligation to succumb to your financial whims.

😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
 
Dear binafsi ningekuwa mwanamme I think ninge complain too .. Kuna wanawake wengine are too much kuendekeza Shida / dhiki . Wewe mwanamme hata haijafika 2 weeks unamuomba hela kama sio Hila na tamaa hiyo ni kitu gani . Tujitengenezee mazingira ya kupewa na sii kuomba omba . Wanawake wengine baadhi yao hufanya maumbile yao as a business common now . Jithamini mwenyewe kwanza and then wengine watakuthamini .. Jiheshimu mwenyewe and then others will follow it. Binafsi sipendi kuomba omba .. I can do all things through Christ who gives me strength . Akinipa sawa nashukuru ( which he does) asiponipa pia sawa nashukuru ( and I still love him anyway ) . Tabia ya kuomba omba its not nice honestly .. Sikumbuki lini nimemuomba mwenzangu zaidi ya yeye kunipa . Some women need to change . Hawa wanaume ni wapenzi wetu na si wazazi wetu ambao walituzaa hivyo they must give at anytime . Thanks.
 
Money money money.

Girls make your own cash and spend it.

You are not dating your Dad or your Bro. So he is under no obligation to succumb to your financial whims.

Dear I agree with you .. let's try to be independent women please . Honestly we can do it .. Hela ya mtu ni utumwa jamani . Tusiitegemee hata kidogo. Hata kama tumeolewa tujitahidi kuwa business zetu wenyewe ili zitusaidie, kifedha kwa mahitaji yetu binafsi . Thanks..
 
Ofisini nna Madogo wawili. Mmoja wa kiume, ana contract employment, mwengine wa kike, ni field wa IFM.

Dogo akaamua kujitwisha mzigo kwa maelezo eti amekolea!

Wiki haikuisha dogo analia, mizinga inaongozana km mabehewa.

Mzinga wa kwanza ulikuwa nauli ya wiki nzima, kisa HESLB wamechelewesha boom!

Na bado mchezo wao wa kupelekana breakfast na lunch, nlikuwa nautazama kwa jicho kuu, dogo na mdada ss hv wanapishana, huyu akienda, huyu anarudi!
 
Hahahaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom