Habari wana Jf!
Mimi huwa siwaelewi wanaume,niseme baadhi yao kwa kulalamika.Baadhi ya wanaume hulalamika pindi wanapoombwa pesa na wapenzi wao eti kwa kuwa tangu waanze uhusiano wana muda mfupi sana.
Utasikia wengine wanasema hata siku 7 hazijaisha ananiomba laki 3!Hawa hawa wanaume wamekuwa wepesi kuomba papuchi kwa wanawake mapema kuliko hata maelezo,anataka atongoze leo&leo hii hii agegede!
Naomba malalamiko yasiwepo,oa weka ndani!