Wanaume 40+ ni dhahabu inayotembea

Wanaume 40+ ni dhahabu inayotembea

Mwanaume ni kama mvinyo as days goes.. tunakuwa watamu zaidi
 
Wakati wanawake wakifikisha umri wa miaka 30+ wanaume wanawapatia majina tofauti tofauti kama vile makinikia, nungayembe, wazee, n.k, hali ni tofauti kabisa kwa wanaume wenye umri wa 40+.

Wanaume wa umri huu kila mwanamke anawahitaji. Kwasababu wanawake wengi wana dhana zifuatazo juu yao:-

-Wamekomaa kiakili na wana maamuzi sahihi.
-Wanajua ku-care.
-Wamepunguza tamaa za kuchepuka.
-Wengi wao wanajitambua.
-Wengi wamefanikiwa kimaisha.

Kwani uongo? Kweli
Kweli kabisa
 
Wamekomaa kiakili na wana maamuzi sahihi.
-Wanajua ku-care.
-Wamepunguza tamaa za kuchepuka.
-Wengi wao wanajitambua.
-Wengi wamefanikiwa kimaisha📌🔨.
 
Back
Top Bottom