Wanaume 40+ ni dhahabu inayotembea

Wanaume 40+ ni dhahabu inayotembea

Hapo umenena mkuu.
Na mwanamke ni kama ndizi mbivu inavyozidi kukaa ndiyo Ina.........
hapo watakwambia inategemea.....eti mwanamke matunzo....
mbona malikia elizabeth anatunzwa kweli kweli...lakini........??????
 
Wakati wanawake wakifikisha umri wa miaka 30+ wanaume wanawapatia majina tofauti tofauti kama vile makinikia, nungayembe, wazee, n.k, hali ni tofauti kabisa kwa wanaume wenye umri wa 40+.

Wanaume wa umri huu kila mwanamke anawahitaji. Kwasababu wanawake wengi wana dhana zifuatazo juu yao:-

-Wamekomaa kiakili na wana maamuzi sahihi.
-Wanajua ku-care.
-Wamepunguza tamaa za kuchepuka.
-Wengi wao wanajitambua.
-Wengi wamefanikiwa kimaisha.

Kwani uongo? Kweli
Mimi nina 40+... nakuahidi sitakuangusha

Shaidi yangu ni Kaizer

Matron wako kajunjumele
 
Wapiii

Mwanaume akifikisha miaka 40 hajaoa unamtizama kwa jicho la tatu

Hujurupuki

Inawezekana ni fupa lililomshinda fisi....

Ila wachache huwa wazuri haswa as wanajua maisha na wamepitia mengi
Kwa mfano mimi nikoje, honey?
 
Wakati wanawake wakifikisha umri wa miaka 30+ wanaume wanawapatia majina tofauti tofauti kama vile makinikia, nungayembe, wazee, n.k, hali ni tofauti kabisa kwa wanaume wenye umri wa 40+.

Wanaume wa umri huu kila mwanamke anawahitaji. Kwasababu wanawake wengi wana dhana zifuatazo juu yao:-

-Wamekomaa kiakili na wana maamuzi sahihi.
-Wanajua ku-care.
-Wamepunguza tamaa za kuchepuka.
-Wengi wao wanajitambua.
-Wengi wamefanikiwa kimaisha.

Kwani uongo? Kweli
sio kweli wengi wao wa umri huyo huwa na hatari ya kushikwa na magonjwa kama tezi dume,ngiri na mengineyo.isitoshe hawana mikuyenge wana vibamiaa
 
Ni kweli kabisa na asante sana kwa kutusifia. Tutajitahidi kuendelea na tabia hii nzuri.
Kama una 40+ tembea ukijua unatamaniwa na unaongelewa na mabinti kila kona. Ukipanua lips tu ukasrma neno unabeba mdada
 
Back
Top Bottom