uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,703
- 37,944
Wakati wanawake wakifikisha umri wa miaka 30+ wanaume wanawapatia majina tofauti tofauti kama vile makinikia, nungayembe, wazee, n.k, hali ni tofauti kabisa kwa wanaume wenye umri wa 40+.
Wanaume wa umri huu kila mwanamke anawahitaji. Kwasabb wanawake wengi wana dhana zifuatazo juu yao:-
-wamekomaa kiakili na wana maamuzi sahihi.
-wanajua ku-care.
-wamepunguza tamaa za kuchepuka.
-wengi wao wanajitambua.
-wengi wamefanikiwa kimaisha.
Kwani uongo??........ Kweliiiiiî...
Usikute wewe ni mwanaume eti? kama ndio ujue ni dalili za mwanzo za .....