Wanateknolojia

Wanateknolojia

Babes009

New Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Naomba msaada wenu sim yangu haiwezi kudownload kwa kutumia opera niliyo install,bt inafungua almost page zote.nifanyaje ili niweze kudownload kile nachotaka!simu yangv ni sumsung GT-C3510
 
kama ni download tu, download kwa kutumia default browser ya simu. :violin:
 
Naomba msaada wenu sim yangu haiwezi kudownload kwa kutumia opera niliyo install,bt inafungua almost page zote.nifanyaje ili niweze kudownload kile nachotaka!simu yangv ni sumsung GT-C3510

Sidhani kama simu yako inashindwa kudownload kwa kutumia opera mini. Nadhani wewe ndio utakuwa unakosea katika kusave files zako wakati wa kudownload. Kwa msaada zaidi PM me.
 
Back
Top Bottom