Wanataka Rushwa ya Ngono.....

bush baby pengine na yeye aliwaingiaje unajua kuna system mabinti zetu wanaomba kitu huku wanalegeza macho pengine niulize na ni kakudanganya watu wazima awatamani,awazini,..pili umesema huyu mtoto wa kike ulitaka wapende wanaume..kaa vizuri na mdogo wako nionacho hapa asionyeshe anaharaka sana ya hiyo field..watamsumbua sana sana..,...,

kingine amwombe mungu ampe favour..kibali cha kupenya unajua kuna vyeti avikupi kazi bali kibali cha mungu mwambie aombe kibali cha mungu kupita popote pale atapata sehemu nzuri tu..mi nina ushahdi ninayokwambia nilikuwa natuma vyeti vyangu kila sehemu vizuri muno muno wasemavyo wachaga lakini niliishiwa kuambiwa ahsante tumehifadhi tutakujulisha tena..nilipomjua mungu nikapata hili somo la favour..nakwambia akuna atakaekuzuia..unajua anyway nikupe kasomo kila mtu amepewa nyota yake ..so unakuta kuna watu wamekaa kufunika nyota za watu so unaweza kuwa na vyeti vizuri vya kupata field lakini unakuta wakiwa wanachagua yako inafunikwa na mapepo inaweza hata kurushwa pembeni..wanachukuliwa wasioambatana hata na field wanayoomba basi tu..so aombe kibali aombe toba kwa mungu alieofanya kwa kukusudia ama kutokusudia ..utakuja haapa kumtukuza mungu

Hueleweki bana! Mara ana vyeti vizuri! Kwani field umeambiwa ni kazi hadi apeleke vyeti? Andika kwa ufupi maelezo yaeleweke, sio lazma uandike tu
 
kumbuka mkono mtupu haulambwi apige moyo konde kumbuka ile research iliyosema 40 percent ya wanawake wamepata kazi kwa rushwa ya ngono! Ndio nchi yetu ka vp aprovide tu kwani nini? Angekuwa bikra sawa ila ka ashatumika, atumie vipawa alivyojaliwa tena anaweza akapata na kazi kabisa
 
kama ingekuwa ni rushwa ya hela wangewaza kumpa hela za moto.... saa hii ya ngo watampa nini......
.....Mshauri atoe taarifa TAKUKURU, kinachofanyika kwa uelewa wangu ni kwamba TAKUKURU wanaandaa mtego baada ya makubaliano ya wahusika. Mtoa taarifa akishakubaliana na huyo mtu wake wapi wanakutana kama ni Gesti au popote, anawatonya TAKUKURU kwa siri, wanakuja wanamdaka. Rushwa ya Ngono ni kosa kinyume na sheria
 
siamini kama ushauri huu uliotolewa na mana JF hapo juu na wa great thinkers!! Bushbaby kaleta mada akiamini sie ni great thinkers na atapata mawazo mazuri, matokeo yake baadhi wanaandika upuuzi mtupu jamvini. mode kwa nini usiwe unawatoa wale ambao hawapost kitu kisicho fanana na kauli mbiu yetu ya great thinkers? Bush ushauri wangu ni kuwa jaribu kumtafutia wewe mwenyewe na pia ushauri alio toa Russian ni mzuri. Mdogo wako inabidi asiruhusu fataki yeyote kumrubuni ili apate field ikiwezekana awafuate TAK
 
kumbuka mkono mtupu haulambwi apige moyo konde kumbuka ile research iliyosema 40 percent ya wanawake wamepata kazi kwa rushwa ya ngono! Ndio nchi yetu ka vp aprovide tu kwani nini? Angekuwa bikra sawa ila ka ashatumika, atumie vipawa alivyojaliwa tena anaweza akapata na kazi kabisa

Ninaamini siku dada yako au mtoto wako akija kwa shida kama ya mdogo wangu utampa ushauri kama huu.........
 
I like your advice. It indicates maturity in social affairs, specifically love.

Mimi ni Mwanamke na nimesha pitia vipindi kama hivyo mara kadhaa. Muhimu ni kua wazi tu: ajibu kwamba anatafuta kwenda field, sio boyfriend ao mtu wa kulala nae. Jibu langu ni hili: Tuongee kwanza vya field sababu ndivyo vilinileta. Sina tabia ya kudevelop relation zingine hasa na watu nisio wajua. nikisha pata hiyo field attachment ndio nitaweza kuongea vingine. then akisha pata anamwambia tu: sorry, I am not interested. it sounds too easy to work but I can tell you, it does!
 
Habari wana Jf....

Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia Diploma ya Business Administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi anayokwenda anaambiwa "nikikupatia nafasi ya field wewe utanipa nini.... na wanaouliza hivyo ni watu wazima....., na huyu ni mtoto wa kike wanachotaka hapo ni nini??.. mdogo wangu amekata tamaa kabisa ya kuendelea kutafuta field kwani sehemu kama nne hivi tena nyingine za serikali... majibu ni hayo hayo....

Yupo Arusha na angependelea kupata field Arusha... naombe msaada wenu

Asanteni sana

Si awashikishe. Awaulize kwani wao wanataka nini, then andae mazingira ya kuwakamatisha.
 
Mwambie atoe kitu apate kitu! Now ni mwendo wa ubepari! Kama huna kitu hupati kitu! Akubaliane nao tu ili aweze kuachieve her dreams

ndio tabu ya magamba, hayasomi nyakati wala vivuli vya nyakati. umeandika nini?
kama huna cha kuchangia ukikaa kimya c dhambi, ila hapa inaonesha ni jinsi gani
umemwehuka
 
kumbuka mkono mtupu haulambwi apige moyo konde kumbuka ile research iliyosema 40 percent ya wanawake wamepata kazi kwa rushwa ya ngono! Ndio nchi yetu ka vp aprovide tu kwani nini? Angekuwa bikra sawa ila ka ashatumika, atumie vipawa alivyojaliwa tena anaweza akapata na kazi kabisa

mmmmmhhhh! sawa bana ukitaka kujua machungu ya kufiwa, fiwa. otherwise ukiona watu wanalia
msibani huwezi kuelewa. utaelewa likikupata.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom