Wanasiasa wabaya kuwahi kutokea katika taifa letu

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,438
30,962
Ifuatayo Ni orodha ya wanasiasa wabaya kuwahi kutokea katika taifa letu hususan katika modern era politics nitajaribu kutaja na sababu zangu ila nawewe ongezea na zakwako pia.

1.Magufuli

Sio mvumilivu
Hashauriki
Sio mwanademocrasia
Yuko radhi afanye lolote kwa faida yake

2.Ndugai

1.Ameshusha hadhi ya bunge kuliko wakati wowote katika historian ya taifa.
2.Ishu ya lissu namna alivyoihendo imeliwekea doa kubwa Sana bunge.
3.Ni dhaifu kwelikweli.

3.Lipumba

Huyu Ni msaliti wa mageuzi
Alikimbia nchi wakati alikuwa anahitajika mno
Ametumika kudhoofisha chama ambacho kilikuwa na nguvu Sana tanzania.
Elimu yake haijalisaidia taifa.

4.Dr slaa

Msaliti
Amlitumika na system kudhoofisha upinzani historia haitamsahau kwa hili.

5.Mrema

Huyu ameamua kuwa kituko wa siasa za Tanzania tumuache amalize muda wake katka active politics huyu asamehewe bure ni comedian wa kisiasa.

6.Mwita waitara/mtatiro et al

Hawa nyerere aliwaita Malaya wa kisiasa

7.Lowassa.

Huyu Ni mbinafsi anaangalia faida yake Kwanza Ni ipi kwenye siasa.
Pia Ni kigeugeu.

8.Polepole

Huyu anayoyaongea yote hayaamini katika dhamira yake.
Ana ndimi mbili.
Kigeugeu.
Mpotoshaji.
Haaminiki.

Hii ndio orodha yangu waweza ongezea ya kwako !
 
Hebu tutafakari katika #6 yako

Hiyo hata Mimi nakubali kuwa huyo Mzee ni "comedian" badala ya kuwa mwanasiasa wa kambi ya upinzani

Hivi unaweza,kuieleza kauli yake kuwa Halmashauri kuu ya Chama chake chake cha upinzani cha TLP kumteua mgombea wa CCM John Pombe Magufuli kuwa mgombea wa kiti cha urais mwaka 2020!
 
Huyu namba moja, nadhani ni jamii ya mashetani wachache sana waliobaki duniani kwa sasa! hakutakiwa kuwa rais wa nchi ya watu waungwana na wastaarabu kama TZ.
Kuwa dictator karne hii ni aibu sana, anajiandaa kubadilisha katiba ili afie mafarakani kama rafiki zake akina kagame, museven, nkurunzinza.
 
Unaposema 'mbaya' ya jambo lolote ama ya mtu yeyote, weka na 'njema' yake ili tuthamanishe.

Usipofanya hivyo tutakuona kama kizabizabina na mpika majungu wa jf mwenye wivu wa 'kike', kushambulia viongozi wa kitaifa kizembe kwa kuficha kichwa nyuma ya keyboard huku kiwiliwili kikiwa hadharani.

Ndo nyie aina ya watu unapobanwa sawasawa ili uthibitishe 'vizuri' utasikika ukihitaji huruma ya wahoji '.....brother akiamungu nithamee...'
 
Mbona wachache sana?

Kwa ufupi Tanzania hatuna wanasiasa bali wachumia tumbo. Kuanzia Magufuli, Lowasa, Mbowe na wengine wooote.

Mapendo,
TANMO.
 
Unaposema 'mbaya' ya jambo lolote ama ya mtu yeyote, weka na 'njema' yake ili tuthamanishe.

Usipofanya hivyo tutakuona kama kizabizabina na mpika majungu wa jf mwenye wivu wa 'kike', kushambulia viongozi wa kitaifa kizembe kwa kuficha kichwa nyuma ya keyboard huku kiwiliwili kikiwa hadharani.

Ndo nyie aina ya watu unapobanwa sawasawa ili uthibitishe 'vizuri' utasikika ukihitaji huruma ya wahoji '.....brother akiamungu nithamee...'
sema wewe hayo mazuri yake, yeye kaona ana mabaya mengi kuliko mazuri ivyo hawafai

ulivyo na akili za karne ya 1 bado unawaza katika kutesa badala ya kujibu hoja. hao mnao waita wabanaji waje humu na hoja zao ama waanziashe mjadala popote wa wazi uone walivyo weupe kichwani kama ww.

Ama ndo hawa kina mwa..kipera wa kujisifu degree 4 alafu kichwani 0
 
Back
Top Bottom