Wanasiasa tuokoke kama Jerry Muro.

Wanasiasa tuokoke kama Jerry Muro.

Leo 1/04/2018 Jerry Muro ameudhuria mambi Nigeria kwa Tb Joshua. Ktk kanisa la SCOAN dah, wacha na mm niache kutukana wapinzani wa Rais nimurudie Mungu wangu.
Ameenda kutafuta upako na baraka za mungu ili aache kale katabia kake
 
Leo 1/04/2018 Jerry Muro ameudhuria mambi Nigeria kwa Tb Joshua. Ktk kanisa la SCOAN dah, wacha na mm niache kutukana wapinzani wa Rais nimurudie Mungu wangu.
Ameamua kuingia siasa kikweikwei huyu jamaa?
Mmmmh, naona watu wanaendelea kuongezeka.
 
Back
Top Bottom