Wanasiasa, hodi huku jamani

Raelish

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
489
162
Habarini za hapa.

Jamani nimekuja huku nina hoja yangu kidogo waheshimiwa, inawezekana kuna mtu huku anatamani kuwekeza kwenye kilimo lakini kutokana na majukumu mengi anashindwa kusimamia shughuli za kilimo, mimi huwa nawasaidia watu hao, ni hivi unanipa laki 4 kwa ekari moja mimi nakupa laki 5 ukishavuna., maana yake ni kuwa pesa yoyote utakayonipa ili nikakulimie shamba utapata faida 25% nikishavuna, yaani ukishatoa tu pesa yako basi wewe unasubiria kupewa chako tu, ikitokea mafuriko, au wadudu kuharibu mazao mimi nitawajibika kukupa kiasi chote cha pesa tulichokubaliana.

KARIBUNI.

(Mods naomba muuache uzi huu wauone waheshimiwa hapa wakuze uchumi wao).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom