Wanashikiliwa kwa kumkashfu mtume

Wanashikiliwa kwa kumkashfu mtume

Wewe unaejua ndio unieleweshe. Kama una amini kuwa Mungu ana nafsi tatu basi hakuna Mungu aliyekamili.

Ni kweli mkuu tuko katika kueleweshana angalau na sie tusiojua tuweze kujua pia.
 
Wewe unaejua ndio unieleweshe. Kama una amini kuwa Mungu ana nafsi tatu basi hakuna Mungu aliyekamili.

Hii ni Imani kama vile tunavyoamini kuna Mbingu,Moto wa Milele na Maisha baada ya Kifo.
 
Wala hapo hakuna kujichanganya hata kidogo.
Mat.9:6 inaeleza jinsi Sauli alivyotokewa na Yesu na maono mbalimbali aliyopewa wakati Mat.26:15-18 Paulo alikuwa anatoa utetezi wake mbele ya Mfalme Agripa.
Hapa kwenye utetezi alikuwa anatoa muhtasari wa yaliyotokea kwa ufupi ambayo alikuwa hajyajaandikwa katika vifungu vilivyotangulia.Anania huko Damascus alimwombea Paul na hatimae kujazwa Roho mtakatifu.
Roho Mtakatifu ndio mwongozo na Roho ya utendaji kwa Wakristo.Bila Roho Mtakatifu huwezi kutenda mambo yoyote ya kimungu. kwa hiyo Yesu alipomwambia aende mjini na ataambiwa yaliyo sahihi kufanya alimaanisha atapokea Roho Mtakatifu.vifungu vyote vipo sahihi.
Matendo 22:5-10 pia bado haijagusia maelezo hayo aliyoyaeleza Paulo kutoka kwa Yesu kama ilivyoeleza Matendo 26:15-18, ambayo Paulo anapewa kabisa maelezo.

Sasa hayo ya Roho mtakatifu unayapenyezea wapi labda utoe maelezo ya kina.

Na bado kuna utata mwingi tu hapo zaidi ya huo.
 
Hii ni Imani kama vile tunavyoamini kuna Mbingu,Moto wa Milele na Maisha baada ya Kifo.
Si kweli,kwa sababu hivyo ulivyovitaja unakuja kulazimika kuviamini baada ya kwisha mjua Mungu na ukaamini uwepo wake ndipo unakuja kuamini hivyo vitu.

Sasa suala la utatu linahusu Mungu ni tofauti na hivyo vitu ulivyovitaja. Na hata hivyo huo utatu kauleta Paulo.
 
Sioni tatizo lolote hapo.

Maelezo ya Matendo.26:15-18 na 22:5-10 ni maelezo aliyapatiwa wakati anafanywa kipofu.
Hapa alipewa maagizo na kuambiwa kazi za kufanya.Pamoja na kupangiwa na kuambiwa baadhi ya majukumu yake lakini kimsingi hataweza kuyafanya mpaka atakapofika Damascus.
Matendo 9:6 aliambiwa aende mjini na huko ataambiwa anachopaswa kufanya.

Wakristo tunafanya kazi za Kimungu baada ya kupokea Roho Mtakatifu.Sauli alipofika mjini alibatizwa na kuitwa Paulo.
Hapo alimpokea Roho mtakatifu kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya Kimungu.Ndio maana Yesu alimsihi afike kwanza Damascus.

Yoh.9:17-19 Basi Anania akaenda,akaingia katika hiyo nyumba(aliyokuwepo sauli).Akamwekea mikono juu yake
akasema,Yesu amenituma ili upate kuona tena na kujazwa Roho Mtakatifu.
Sauli akasimama,Akabatizwa.Na baada ya kula chakula,Nguvu zake zikamrudia.
kuona tena.
 
Kama wangemkashifu allah isingekuwa tatizo ila wamemkashifu mwamed....hawana adabu kabisa
 
Hii ni Imani kama vile tunavyoamini kuna Mbingu,Moto wa Milele na Maisha baada ya Kifo.

Nashindwa kuelewa mantiki yako ya kutaja mbingu sjui moto wakati tulichoomba ni kueleweshwa kuhusu umungu wa yesu mkuu.

Ingependeza kama unge-stick kwenye main point hata kama utatoka nje kidogo ya point kwa ajili ya kutupa mifano sio mbaya ila baada ya hapo urudi kwenye kutuelewesha umungu wa yesu nasi tusiojua tujue pengine labda tunaweza tukafaidika na jambo pengine.

Shukran.
 
Sioni tatizo lolote hapo.

Maelezo ya Matendo.26:15-18 na 22:5-10 ni maelezo aliyapatiwa wakati anafanywa kipofu.
Hapa alipewa maagizo na kuambiwa kazi za kufanya.Pamoja na kupangiwa na kuambiwa baadhi ya majukumu yake lakini kimsingi hataweza kuyafanya mpaka atakapofika Damascus.
Matendo 9:6 aliambiwa aende mjini na huko ataambiwa anachopaswa kufanya.

Wakristo tunafanya kazi za Kimungu baada ya kupokea Roho Mtakatifu.Sauli alipofika mjini alibatizwa na kuitwa Paulo.
Hapo alimpokea Roho mtakatifu kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya Kimungu.Ndio maana Yesu alimsihi afike kwanza Damascus.

Yoh.9:17-19 Basi Anania akaenda,akaingia katika hiyo nyumba(aliyokuwepo sauli).Akamwekea mikono juu yake
akasema,Yesu amenituma ili upate kuona tena na kujazwa Roho Mtakatifu.
Sauli akasimama,Akabatizwa.Na baada ya kula chakula,Nguvu zake zikamrudia.
kuona tena.
Mkuu unatoa maelezo bila ushahidi wowote tena yenye kujichanganya,hebu toa ushahidi wa hayo unayoyaeleza.

Halafu pia kuhusu Paulo kupata upofu ni utata mwengine,maana kilichomfanya Paulo apate upofu kwanini hakijawafanya na wale aliyokuwa nao pia kupata upofu?
 
Si kweli,kwa sababu hivyo ulivyovitaja unakuja kulazimika kuviamini baada ya kwisha mjua Mungu na ukaamini uwepo wake ndipo unakuja kuamini hivyo vitu.

Sasa suala la utatu linahusu Mungu ni tofauti na hivyo vitu ulivyovitaja. Na hata hivyo huo utatu kauleta Paulo.

Hujui lolote zaidi ya kukariri.Elimu yako ni ndogo sana kuhusu Biblia.
Utatu mtakatifu unatajwa sehemu nyingi sana na wala hazihusiani na Paulo.
Nikutolee mifano michache.

1.Luke.3:22. Roho Mtakatifu alimshukia YESU wakati anabatizwa na Sauti ikatoka Mbinguniikisema huyu ni Mwanangu mpenzi,msikilizeni yeye.

2.Mathayo.28:19 .Batizeni kwa Jina la BABA na MWANA na ROHO MTAKATIFU.
 
Nashindwa kuelewa mantiki yako ya kutaja mbingu sjui moto wakati tulichoomba ni kueleweshwa kuhusu umungu wa yesu mkuu.

Ingependeza kama unge-stick kwenye main point hata kama utatoka nje kidogo ya point kwa ajili ya kutupa mifano sio mbaya ila baada ya hapo urudi kwenye kutuelewesha umungu wa yesu nasi tusiojua tujue pengine labda tunaweza tukafaidika na jambo pengine.

Shukran.

Nimekwambia Mungu ana nafsi tatu yaani BABA,MWANA NA MTAKATIFU.kama wewe ni Mkristo au unataka kuwa Mkristo nunua Biblia ili nikupe vifungu vya kusoma maana maelezo yake ni marefu sana hasa kwa mwanafunzi asiyeelewa kitu.Yaani anayeanza kujifunza.
 
Hujui lolote zaidi ya kukariri.Elimu yako ni ndogo sana kuhusu Biblia.
Utatu mtakatifu unatajwa sehemu nyingi sana na wala hazihusiani na Paulo.
Nikutolee mifano michache.

1.Luke.3:22. Roho Mtakatifu alimshukia YESU wakati anabatizwa na Sauti ikatoka Mbinguniikisema huyu ni Mwanangu mpenzi,msikilizeni yeye.

2.Mathayo.28:19 .Batizeni kwa Jina la BABA na MWANA na ROHO MTAKATIFU.

Mkuu, kwani yesu ni mtoto wa nani naomba kufaham na ningependa kuskia kutoka kwako kiongozi.

Shukran.
 
Mkuu unatoa maelezo bila ushahidi wowote tena yenye kujichanganya,hebu toa ushahidi wa hayo unayoyaeleza.

Halafu pia kuhusu Paulo kupata upofu ni utata mwengine,maana kilichomfanya Paulo apate upofu kwanini hakijawafanya na wale aliyokuwa nao pia kupata upofu?

Soma tena vifungu nilivyokutajia.
Wasiwasi wangu nisiwe naongea na watu wenye elimu ndogo zinazotusumbua kila siku.
Yaani wagumu kuelewa na wepesi kulalamika.

Sioni tatizo lolote hapo.

Maelezo ya Matendo.26:15-18 na 22:5-10 ni maelezo aliyapatiwa wakati anafanywa kipofu.
Hapa alipewa maagizo na kuambiwa kazi za kufanya.Pamoja na kupangiwa na kuambiwa baadhi ya majukumu yake lakini kimsingi hataweza kuyafanya mpaka atakapofika Damascus.
Matendo 9:6 aliambiwa aende mjini na huko ataambiwa anachopaswa kufanya.

Wakristo tunafanya kazi za Kimungu baada ya kupokea Roho Mtakatifu.Sauli alipofika mjini alibatizwa na kuitwa Paulo.
Hapo alimpokea Roho mtakatifu kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya Kimungu.Ndio maana Yesu alimsihi afike kwanza Damascus.

Yoh.9:17-19 Basi Anania akaenda,akaingia katika hiyo nyumba(aliyokuwepo sauli).Akamwekea mikono juu yake
akasema,Yesu amenituma ili upate kuona tena na kujazwa Roho Mtakatifu.
Sauli akasimama,Akabatizwa.Na baada ya kula chakula,Nguvu zake zikamrudia.
kuona tena.

Kuhusu Mwanga kumuumiza Sauli peke yake,
Hapo ndio utofauti wa Mungu na viumbe wengine.Mungu ana uwezo wa kuamua anavyotaka yeye sio unavyotaka wewe.

Ushahidi niliotoa ni hivyo vifungu vya Biblia Takatifu ambayo ndiyo neno la Mungu wa Kweli.
 
Hujui lolote zaidi ya kukariri.Elimu yako ni ndogo sana kuhusu Biblia.
Utatu mtakatifu unatajwa sehemu nyingi sana na wala hazihusiani na Paulo.
Nikutolee mifano michache.

1.Luke.3:22. Roho Mtakatifu alimshukia YESU wakati anabatizwa na Sauti ikatoka Mbinguniikisema huyu ni Mwanangu mpenzi,msikilizeni yeye.

2.Mathayo.28:19 .Batizeni kwa Jina la BABA na MWANA na ROHO MTAKATIFU.

Mkuu, ni kweli jamaa hajui na ndio maana anaombwa kueleweshwa ili nae aweze kuelewa angalau anaweza akavutika kwa yesu mkuu, twende taratibu tu Farudume.

Shukran.
 
Hujui lolote zaidi ya kukariri.Elimu yako ni ndogo sana kuhusu Biblia.
Utatu mtakatifu unatajwa sehemu nyingi sana na wala hazihusiani na Paulo.
Nikutolee mifano michache.

1.Luke.3:22. Roho Mtakatifu alimshukia YESU wakati anabatizwa na Sauti ikatoka Mbinguniikisema huyu ni Mwanangu mpenzi,msikilizeni yeye.

2.Mathayo.28:19 .Batizeni kwa Jina la BABA na MWANA na ROHO MTAKATIFU.
Sasa hapo ndiyo umefanyaje?
 
Mkuu sijadhalilisha,nimeuliza hivyo kwa sababu katika sifa za Mungu moja ni kutokufa.

Ina maana kama Yesu alikuwa na uungu hatuwezi kusema kwamba alikufa.

Na pia katika kufa baadae akafufuka nani alimuwezesha akaweza kufufuka au ni yeye mwenyewe.

Tunaomba utujibu mkuu Farudume.

Thanks a lot.
 
Back
Top Bottom