Wanashikiliwa kwa kumkashfu mtume

Wanashikiliwa kwa kumkashfu mtume

Nimekwambia Mungu ana nafsi tatu yaani BABA,MWANA NA MTAKATIFU.kama wewe ni Mkristo au unataka kuwa Mkristo nunua Biblia ili nikupe vifungu vya kusoma maana maelezo yake ni marefu sana hasa kwa mwanafunzi asiyeelewa kitu.Yaani anayeanza kujifunza.

Wala usijali mkuu lete tu vifungu kiongozi biblia ipo.
 
Hujui lolote zaidi ya kukariri.Elimu yako ni ndogo sana kuhusu Biblia.
Utatu mtakatifu unatajwa sehemu nyingi sana na wala hazihusiani na Paulo.
Nikutolee mifano michache.

1.Luke.3:22. Roho Mtakatifu alimshukia YESU wakati anabatizwa na Sauti ikatoka Mbinguniikisema huyu ni Mwanangu mpenzi,msikilizeni yeye.

2.Mathayo.28:19 .Batizeni kwa Jina la BABA na MWANA na ROHO MTAKATIFU.
Sasa kwa maandiko hayo ndio uthibitisho wa kuwa roho mtakatifu ni kijipande cha Mungu? Inawezekana hujui kama roho mtakatifu ni uwezo na nguvu (karama) itokayo kwa Mungu katika imani. Na pia katika andiko la kubatizwa hakuna kulikosema roho mtakatifu, baba na mwana ni mungu.
 
Ukiona mtu au watu wana imani fulani halafu kiongozi wao mkuu ambaye aliwaanzishia imani hiyo kwa kutumwa na mungu wao; wanamlinda huyo aliyetumwa na mungu wao kwa nguvu zao za kibinadamu bila kutegemea nguvu ya mungu wao; basi ujue hapo kuna walakini hasa katika hiyo imani.
 
Watu wamemkashifu Marehemu Samweli Sita hawajakamatwa, wanaomkashifu Marehemu Mohamad Abdalah wanakamatwa.

Tunaoamini Yesu Yu Hai hatuna haja ya kushitaki wamkashifuo. Yeye anadili nao mwenyewe. Refer Yona na Paulo. al lah hayawezi haya.
 
Wala usijali mkuu lete tu vifungu kiongozi biblia ipo.

OK,Soma vifungu vifuatavyo kwa ajili ya kuelewa Utatu Mtakatifu.

1.Mwa.1:26-na kuendelea.

2.Mwa.3:22-na kuendelea

3.Yoh.10:30-na kuendelea

4.Yoh.5:7-na kuendelea

5.Yoh.1:1-51

6.1Pet.1:2-na kuendelea

7.Kol.2:9-na kuendelea

8.Fil.2:5-8

9.2Kor.13:14 na kuendelea

Soma hizo kwanza kwa kuanzia baadae uje nikupe nondo zingine za Utatu Mtakatifu
 
YESU ni MUNGU.Kabla Bikira Maria hajazaliwa Yesu alikuwepo.

Ooh okay, kwa hiyo alikuwepo kabla ya Bikira Maria nikajua ni mtoto wa Bikira Maria.

Kwa hiyo maelezo haya hapa najifunza kuwa Bikira Maria hakuwa na mtoto wala hakuzaa. Si unaona mkuu nazidi kujifunza kitu kutoka kwako.

Very Interesting.
 
Je baba= mwana? Namaanisha huyo huyo awe baba na awe mtoto kwa yeye mwenyewe

Ipo haja ya kuulizana Elimu au Umri maana huelewi kabisa.
Nimekwambia Yupo BABA,MWANA NA ROHO MTAKATIFU,UTATU MTAKATIFU-MUNGU MMOJA.
Huyo ndie Mungu-YEHOVAH.
Kama una akili zile za kulalamika huwezi kuelewa hili kamwe.
 
Ooh okay, kwa hiyo alikuwepo kabla ya Bikira Maria nikajua ni mtoto wa Bikira Maria.

Kwa hiyo maelezo haya hapa najifunza kuwa Bikira Maria hakuwa na mtoto wala hakuzaa. Si unaona mkuu nazidi kujifunza kitu kutoka kwako.

Very Interesting.

Somo la Bikira Maria nalo lipo.

Yesu alipojifanya Mtu na kuja kwetu alichukua umbo la Kibinadamu akaingia Tumboni kwa Bikira Maria na akazaliwa.
Huyu ndie Mungu YEHOVAH.
Ana uwezo wa kila namna.
 
Mungu ana nguvu, ana uwezo, ana Mamlaka ANA KILA KITU, kwa hiyo, HAPIGANIWI

Ni Nani alikudanganya kuwa mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam ni Mungu?

Hata Yesu alayhi salaam siyo Mungu. Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu"?
 
OK,Soma vifungu vifuatavyo kwa ajili ya kuelewa Utatu Mtakatifu.

1.Mwa.1:26-na kuendelea.

2.Mwa.3:22-na kuendelea

3.Yoh.10:30-na kuendelea

4.Yoh.5:7-na kuendelea

5.Yoh.1:1-51

6.1Pet.1:2-na kuendelea

7.Kol.2:9-na kuendelea

8.Fil.2:5-8

9.2Kor.13:14 na kuendelea

Soma hizo kwanza kwa kuanzia baadae uje nikupe nondo zingine za Utatu Mtakatifu

Haya nashkuru. Hivi vifungu naamini umevitoa kunako Biblia na ndicho kitabu unachokiamini.

Sasa baada ya kusoma nami nikakupa vifungu kutoka kwenye hicho kinachosema yesu sio MUNGU utakuwa tayari kukubaliana na mimi au utakipinga kitabu chako na maandiko yaliyoko ndani yake...?

Karibu Sana.
 
Soma tena vifungu nilivyokutajia.
Wasiwasi wangu nisiwe naongea na watu wenye elimu ndogo zinazotusumbua kila siku.
Yaani wagumu kuelewa na wepesi kulalamika.

Kuhusu Mwanga kumuumiza Sauli peke yake,
Hapo ndio utofauti wa Mungu na viumbe wengine.Mungu ana uwezo wa kuamua anavyotaka yeye sio unavyotaka wewe.

Ushahidi niliotoa ni hivyo vifungu vya Biblia Takatifu ambayo ndiyo neno la Mungu wa Kweli.
Mkuu unachokifanya ni kulazimisha ueleweke japo maelezo yako yanajichanganya ila ushaanza kujihami kwa kusema elimu yangu ya biblia ni ndogo ndiyo maana sielewi.
Ushahidi uliyoutoa haukidhi maelezo uliyoyaeleza.

Lakini suala la mwanga kuwapiga wote Paulo pamoja na wale aliyokuwa nao ila Paulo tu ndiyo akapata upofu unasema ni maamuzi ya Mungu,je vp na Matendo 9:7 ambayo Paulo anasema wale watu aliyokuwa nao waliisikia sauti ila wasione mtu halafu kwenye Matendo 22:9 ambayo inasema wale watu waliiona nuru ila hawakusikia sauti?
 
OK,Soma vifungu vifuatavyo kwa ajili ya kuelewa Utatu Mtakatifu.

1.Mwa.1:26-na kuendelea.

2.Mwa.3:22-na kuendelea

3.Yoh.10:30-na kuendelea

4.Yoh.5:7-na kuendelea

5.Yoh.1:1-51

6.1Pet.1:2-na kuendelea

7.Kol.2:9-na kuendelea

8.Fil.2:5-8

9.2Kor.13:14 na kuendelea

Soma hizo kwanza kwa kuanzia baadae uje nikupe nondo zingine za Utatu Mtakatifu
Kwa kuanza na hiyo mwanzo 1:26. Jifunze lugha kwanza, wewe umeona imetumika wingi ukaona ndio nafasi ya utatu. Hapo imetuma lugha inayoitwa ROYAL WE au PLURAL OF MAJESTICAL. Ni lugha ya kujitukuza.
 
Sijawai kuona sehem yesu anakashifiwa wala mtume anakashifiwa na kama imethibitika wamefanya ivyo basi wachukuliwe hatua...ila tu najaribu kuwaza ingekua waislam ndiyo wamekamatwa kwa kumkashifu yesu, sijui ndugu zetu wa kiislam wangeichukulia vipi?
Mkuu mbona yesu ana kashifiwa saana tu. Kama wewe ni mwana ume mtu anapo kwambia wewe sio mwana ume haja kukashifu?
 
Mkuu unachokifanya ni kulazimisha ueleweke japo maelezo yako yanajichanganya ila ushaanza kujihami kwa kusema elimu yangu ya biblia ni ndogo ndiyo maana sielewi.
Ushahidi uliyoutoa haukidhi maelezo uliyoyaeleza.

Lakini suala la mwanga kuwapiga wote Paulo pamoja na wale aliyokuwa nao ila Paulo tu ndiyo akapata upofu unasema ni maamuzi ya Mungu,je vp na Matendo 9:7 ambayo Paulo anasema wale watu aliyokuwa nao waliisikia sauti ila wasione mtu halafu kwenye Matendo 22:9 ambayo inasema wale watu waliiona nuru ila hawakusikia sauti?

Hayo mambo ni kawaida sana kwa Mungu YEHOVAH.
Kama unamuabudu Mungu ambaye watu wanampigania na kumtetea lazima ushangae maajabu ya YEHOVAH.
 
Ipo haja ya kuulizana Elimu au Umri maana huelewi kabisa.
Nimekwambia Yupo BABA,MWANA NA ROHO MTAKATIFU,UTATU MTAKATIFU-MUNGU MMOJA.

Huyo ndie Mungu-YEHOVAH.
Kama una akili zile za kulalamika huwezi kuelewa hili kamwe.

Okay, labda nikuulize suala moja dogo tu yesu alipokuwa huku duniani MUNGU pia alikuwepo mbinguni au mbinguni hakukuwa na kitu.

Nimeuliza hivyo kutaka kuelewa kuhusu hii sala inayoombwa kanisani kuna kitu nataka kufahamu hapa.
 
Kwa kuanza na hiyo mwanzo 1:26. Jifunze lugha kwanza, wewe umeona imetumika wingi ukaona ndio nafasi ya utatu. Hapo imetuma lugha inayoitwa ROYAL WE au PLURAL OF MAJESTICAL. Ni lugha ya kujitukuza.

Huo ni utatu Mtakatifu.
Kama una ile Elimu ya kulalamika lazima uelewe tofauti.
Soma hizo zote nilizokupa ili nikuongezee Dozi nyingine.
Njoo kwa Yesu upate Ukombozi.
 
Hayo mambo ni kawaida sana kwa Mungu YEHOVAH.
Kama unamuabudu Mungu ambaye watu wanampigania na kumtetea lazima ushangae maajabu ya YEHOVAH.
Si suala la maajabu bali ni suala la contradictions za Paulo.
 
Back
Top Bottom