Wanashikiliwa kwa kumkashfu mtume

Wanashikiliwa kwa kumkashfu mtume

Okay, labda nikuulize suala moja dogo tu yesu alipokuwa huku duniani MUNGU pia alikuwepo mbinguni au mbinguni hakukuwa na kitu.

Nimeuliza hivyo kutaka kuelewa kuhusu hii sala inayoombwa kanisani kuna kitu nataka kufahamu hapa.

MUNGU ni Nafsi tatu Yaani BABA,MWANA NA ROHO MTAKATIFU-UTATU MTAKATIFU,MUNGU Mmoja.
Jiongeze kwamba Yesu alipokuwa Duniani Mbinguni alikuwepo nani.
Mambo ya kutafuniwa nawaachia walalamishi.
 
Si suala la maajabu bali ni suala la contradictions za Paulo.

Sio swala la contradiction bali uelewa wako tu ndio una utata.
Biblia ipo wazi sana maana ni Kitabu Kitakatifu.
Nimetoa hapo juu baadhi ya Maandiko ya Utatu Mtakatifu.
Jitahidi kuyapitia ili uokoke uachane na Miungu inayopiganiwa na watu wake.
 
Sijawai kuona sehem yesu anakashifiwa wala mtume anakashifiwa na kama imethibitika wamefanya ivyo basi wachukuliwe hatua...ila tu najaribu kuwaza ingekua waislam ndiyo wamekamatwa kwa kumkashifu yesu, sijui ndugu zetu wa kiislam wangeichukulia vipi?
Huna haja ya kuimagine!
kuna mtu amefanya kosa la kashfa dhidi ya Imani ya wengine, we don't need to urge ktk hilo acha wapelekwe ktk mahakama haki ikatendeke!
wapo watu walikashifu kanisa Kilimanjaro nao walikuwa wasabato, nadhani clip ilikuwa maarufu sana mjini na walitandikwa na padre mwenyewe!
nadhani it is unacceptable kufanya dhihaka kwa Imani za wenzio!
Binafsi huwaga haya mambo hayaniumizi sana kichwa, lkn provocations za kidini huwa haziwi ndogo na bahati mbaya upuuzi wa wachache waweza kuumiza wengi!
ni jambo jema kesi yao kwenda mahakamani ambapo watasikilizwa na kama mnaweza kuwawekea mawakili, fanyeni hivyo!
 
Mwanzo 3:22 na kuendelea hakuna uungu wa yesu.

Yohana 10:30...... nadhani umechukulia uungu wa yesu kutokana na yesu kusema Mimi na Baba tu umoja.
Hukumwelewa yesu alimaanisha nini. Yesu ametumwa na Mungu hivyo anachokifundisha ni kama Mungu alivyomwagiza. Hivyo ni wamoja katika ujumbe na mafundisho na sio wamoja kiungu.

Yohana 12:49-50

ababu mimi sikunena kwa nafsi yangu tu; bali Baba aliyenipeleka, yeye mwenyewe ameniagiza nitakayonena na nitakayosema. Nami najua ya kuwa agizo lake ni uzima wa milele; basi hayo ninenayo mimi, kama Baba alivyoniambia, ndivyo ninenavyo.

Yohana 5

Mwana hawezi kutenda neno mwenyewe ila lile ambalo amwona Baba analitenda; kwa maana yote ayatendayo yeye, ndiyo ayatendayo Mwana vile vile.

20 Kwa kuwa Baba ampenda Mwana, naye humwonyesha yote ayatendayo mwenyewe; hata na kazi kubwa zaidi kuliko hizo atamwonyesha, ili ninyi mpate kustaajabu.
 
Utawala umemficha Mahabusu aliemkashifu Mtume ili asifikishiwe alichokitafuta!
Ulitaka kuwafanya nini?
Sisi waislam huwa tunakosea sana tunapojitia kujichukulia hatua mikononi wakati kuna kanuni, sharia na taratibu za nchi!
kwa wanaoguswa wanapaswa kwenda mahakamani lkn sio kujichukulia hatua mikononi, sio sahihi hata Mungu mwenyewe hakubali!
 
Ipo haja ya kuulizana Elimu au Umri maana huelewi kabisa.
Nimekwambia Yupo BABA,MWANA NA ROHO MTAKATIFU,UTATU MTAKATIFU-MUNGU MMOJA.
Huyo ndie Mungu-YEHOVAH.
Kama una akili zile za kulalamika huwezi kuelewa hili kamwe.
Sasa hapa ndio napata kukuelewa kumbe ni tofauti, hivyo katika wote hao uliyowataja hakuna Mungu aliyekamili.

Sasa je, wakati Yesu alipokuwa duniani, hakuwa Mungu kamili, wala “Baba aliyembinguni” hakuwa Mungu kamili. Je, hilo halileti mkanganyiko kwa kile alichokuwa akikisema Yesu kila siku kuhusu Mungu wake na Mungu wetu aliyembinguni, Bwana wake na Bwana wetu? Je, hilo vile vile halimaanishi kwamba hakukuwa na Mungu kamili, katika kipindi cha kati ya dai la kusulubiwa na dai la kufufuka?
 
Sio swala la contradiction bali uelewa wako tu ndio una utata.
Biblia ipo wazi sana maana ni Kitabu Kitakatifu.
Nimetoa hapo juu baadhi ya Maandiko ya Utatu Mtakatifu.
Jitahidi kuyapitia ili uokoke uachane na Miungu inayopiganiwa na watu wake.
Suala la contradiction za Paulo zinahusiana vp na utatu?
 
MUNGU ni Nafsi tatu Yaani BABA,MWANA NA ROHO MTAKATIFU-UTATU MTAKATIFU,MUNGU Mmoja.
Jiongeze kwamba Yesu alipokuwa Duniani Mbinguni alikuwepo nani.
Mambo ya kutafuniwa nawaachia walalamishi.

Mbona maandiko ya Biblia yana vifunguv vinavyokanusha kuwa yesu sio MUNGU mkuu...?

Biblia gani unayoiamini wewe au kuna baadhi ya vifungu mnavifuata na vingine mnavikataa au...?
 
Hakuna kesi hapo kwa maana serikali haina dini yule mtoto aliyekojolea msahafu mbagala yalifika wapi c hakuna wanawalidhisha wahuska baadae wanamwacha aende zake
 
Alisingiziwa Kumkashifu Yesu na Rufani ya Mahakama ya Rufaa ikathibitika kuwa Kukana MADAI ya baadhi ya watu kuwa Yesu ni Mungu si Kosa unless
Otherwise Serikal ithibitishe kuwa Yesu
Ni Mungu

Sijui mimi naamini namna gani. Eti kwa imani yangu hakuna mtu yeyote anayeweza kukashfu ninachoamini. Mfano, kama mtu akisema hakuna Mungu it's up to him; kama akisema yupo it's up to him... Mimi ninakuwa na shida tu na mtu anayenikashfu mimi. Full stop!
 
Lakini cha kujiuliza akili yako mwenyewe kwamba Dini iliyokuwa na mashakamashaka haiachi wazi watu kuichunguza maana wakiichingiza watajua ukweli na watawaamsha wengine wasiojua kuchunguza hivyo kusababisha kukoseka kwa waumini

Na ndo maana wanakwambia wako tayari kufia dini yao kuliko kumwacha mtu aikosoekosoe

Lakini iko tofauti kwa Dini yenye ukweli huacha watu waichunguze wakibaini ukweli waamue wenyewe. Kujiunha au la

Lakini ukiona kuna utata ujue hapo pana siri imefichwa ili kupotosha watu na kuwapotezea muda kuyafuta mambo yasiyo kuwepo

Kwa nn uwe na mashaka wakati unapochunguzwa?
 
Sasa hapa ndio napata kukuelewa kumbe ni tofauti, hivyo katika wote hao uliyowataja hakuna Mungu aliyekamili.

Sasa je, wakati Yesu alipokuwa duniani, hakuwa Mungu kamili, wala “Baba aliyembinguni” hakuwa Mungu kamili. Je, hilo halileti mkanganyiko kwa kile alichokuwa akikisema Yesu kila siku kuhusu Mungu wake na Mungu wetu aliyembinguni, Bwana wake na Bwana wetu? Je, hilo vile vile halimaanishi kwamba hakukuwa na Mungu kamili, katika kipindi cha kati ya dai la kusulubiwa na dai la kufufuka?

Mungu YEHOVAH ni Mungu mwenye Nguvu na ana uwezo unaozidi akili za watu wanaodhani wana akili sana.
Busara ya binadamu ni upumbavu kwa YEHOVAH.
 
Mbona maandiko ya Biblia yana vifunguv vinavyokanusha kuwa yesu sio MUNGU mkuu...?

Biblia gani unayoiamini wewe au kuna baadhi ya vifungu mnavifuata na vingine mnavikataa au...?

Hiyo biblia inayomkana Yesu sio Mungu ni feki.
Labda ni zile za Issa bin maryam zinazosema ni Nabii.
 
Lakini cha kujiuliza akili yako mwenyewe kwamba Dini iliyokuwa na mashakamashaka haiachi wazi watu kuichunguza maana wakiichingiza watajua ukweli na watawaamsha wengine wasiojua kuchunguza hivyo kusababisha kukoseka kwa waumini

Na ndo maana wanakwambia wako tayari kufia dini yao kuliko kumwacha mtu aikosoekosoe

Lakini iko tofauti kwa Dini yenye ukweli huacha watu waichunguze wakibaini ukweli waamue wenyewe. Kujiunha au la

Lakini ukiona kuna utata ujue hapo pana siri imefichwa ili kupotosha watu na kuwapotezea muda kuyafuta mambo yasiyo kuwepo

Kwa nn uwe na mashaka wakati unapochunguzwa?
Sio Tanzania!
Waumini wote wa kitanzania mnafanana! level ya maturity kwenu ni ndogo, na Imani zenu ni ndogo mno!
Wapo wahubiri wanaogombana kwa Imani zao! zipo evidence za kesi za yule anayefufua, yule anayepaka na mkuu wa kanisa kuu nchini, na wote hawa wamepishana kiitikadi, maneno au hoja baina yao, either zinagusa Mungu wao, kanisa lao au maslahi yao!
lakini pia huku kwetu zipo kesi kadhaa za kugombea misikiti, ile ya kukojolea kitabu cha ibada na mengineyo kadhaa!
hapa unapata picha ya tatizo la kuwa na uvumilivu, uelewa juu ya Imani ya Mungu na dini!
wewe pia, ume-condemn ktk hii thread yako, ungekuwa hicho unachosema ungekaa kimya!
Kuna tofauti kuu kati ya KUHOJI NA KUKASHIFU!
Anayehoji huwa ktk hatua za kupata majibu ya kujiridhisha, anayekashifu huwa anatukana!
hata kama dini yetu ni ya uongo kwanini ututukane, si ufanye au uendelee na yako ya ukweli!
hata kabila lako lilikashifiwa bado uta-react!
lakini kwa kesi hii ya Zanzibar mimi pia naona ni mwanzo mzuri wa kutumia vyombo vya dola kutuliza hii mitafaruku isiyo na mantiki! Ni heri sasa waende mahakamani ili wao, mimi na wewe tujue kama kuna sehemu ya sheria za nchi imevunjwa! na mahakama yetu ni chombo neutral so kitaamua tu na kutufafanulia sababu za hukumu, yeyote ile, iwe ameachiwa huru au amehukumiwa kifungo/fine!
 
Hiyo biblia inayomkana Yesu sio Mungu ni feki.
Labda ni zile za Issa bin maryam zinazosema ni Nabii.
"Na huko Listra palikuwa na mtu mmoja, dhaifu wa miguu, kiwete tangu tumboni mwa mamake, ambaye hajaenda kabisa. Mtu huyo alimsikia Paulo alipokuwa akinena, ambaye akamkazia macho na kuona kuwa ana imani ya kuponywa, akasema kwa sauti kuu, simama kwa miguu yako sawa sawa. Akasimama upesi akaenda. Na makutano walipoona aliyoyafanya Paulo wakapaza sauti zao, wakisema kwa Kilikaonia, miungu wametushukia kwa mifano ya wanadamu. Wakamwita Barnaba, Zeu na Paulo, Herme, kwa sababu ndiye aliyekuwa mnenaji. Kuhani wa Zeu ambaye hekalu lake lilikuwa mbele ya mji, akaleta ng'ombe na taji za maua hata malangoni, akitaka kutoa dhabihu pamoja na makutano". (Matendo ya Mitume 14:8-13

Huko Listra kwa hao wapagani ndiyo walikuwa wakiamini miung-watu,kama wafanyavyo wakristo leo kumpa Yesu umungu-mtu.
 
Taarifa ya habari star tv. Kuna watu wawili wanashikiliwa na polisi zanzibar kwa kosa la kumkashfu mtume kupitia mitandao ya kijamii...!
Polisi wanasema watuhumiwa wanao na upelelezi unaendelea na watafikishwa mahakamani.. Ninatamani watu walio znzbr watupe ufafanuzi zaidi katika hili jambo.
"Watu walioko Z'bar watakupaje wewe habari wakati uhuru wao wao wa kusema ulishapokwa?"
 
Mungu YEHOVAH ni Mungu mwenye Nguvu na ana uwezo unaozidi akili za watu wanaodhani wana akili sana.
Busara ya binadamu ni upumbavu kwa YEHOVAH.
Asa ndio umejibu nini? Kwahiyo kuna Mungu yehova, na Mungu yesu, mungu roho mtakatifu? Majibu yako kila saa unajichanganya changanya.
 
Hiyo biblia inayomkana Yesu sio Mungu ni feki.
Labda ni zile za Issa bin maryam zinazosema ni Nabii.

Ni Biblia hiyo hiyo unayotumia wewe coz ni vifungu ambavyo ntakupa nawe usome halaf uone kilichoandikwa kutoka kwenye hiyo Biblia yako na wala sikuandikii mimi nnachofanya ni kukupa namba ya kifungu halaf utuambie kilichoandikwa kwenye kifungu hiko then tutajua kama na hiyo uliyo nayo ni feki au ni halali. Uko tayari kwa hilo...?

Na je, hivyo vifungu ukikuta kuwa havithibitishi UMUNGU wa yesu ndani ya Biblia yako hiyo unayosema kuwa sio feki uko tayari kukubali kuwa yesu sio MUNGU...?

KARIBU SANA.
 
Hiyo biblia inayomkana Yesu sio Mungu ni feki.
Labda ni zile za Issa bin maryam zinazosema ni Nabii.
Embu katika biblia yako original naomba ninukulie baadhi ya haya maandiko.

Yohana 20:17
Matendo 3:13
Matendo 3:26
 
Asa ndio umejibu nini? Kwahiyo kuna Mungu yehova, na Mungu yesu, mungu roho mtakatifu? Majibu yako kila saa unajichanganya changanya.

Na ndio mana hata mimi nashindwa kabisa kumuelewa mungu yehova, mungu yesu, mungu baba, mungu mwana, mungu roho mtakatifu na utaskia pia yesu ni mwana wa mungu.

Halaf mtu ukitaka ueleweshwe ili tuelewe mtu anaanza kutokwa na mapovu. Ngoja tuhoji mpaka tuelewe ili nasi tujue ukweli pengine tunaweza tukavutiwa na mungu mwana.
 
Back
Top Bottom