"Kwa kuzingatia yaliyotajwa hapo juu, rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Michezo ya Young Africans itahesabiwa kuwa imeondolewa, na mchakato wa kesi CAS 2025/A/11298 Young Africans Sports Club dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na Klabu ya Simba utasitishwa na kufutwa kwenye orodha ya kesi za CAS."
Tafsiri isiyokuwa rasmi