Kwa vile bado unasoma, hujakamilika kujadili maswala ya kisheria. Kuhusu goli la Aziz Ki, barua ya Yanga haikuwa inalalamika na wala haikupelekwa CAS bali ilipelekwa CAF kuregister dissatisfaction yao na usimamizi wa mchezo huo, na wala hawakusema matokeo yabadilishwe.Niko Open University nasomea sheria huu mwaka wa saba sijagraduate
Pamoja na ukilaza wangu nilishangaa Yanga walipoenda CAS kulalamikia goli la Aziz Ki kule southna ishu ya derby ya Simba
Bado kesi za madai kwa wachezaji na makocha wanaoachana nao
Kama wanasheria sio vilaza basi viongozi ni wahuni
RUssiaNiko Open University nasomea sheria huu mwaka wa saba sijagraduate
Pamoja na ukilaza wangu nilishangaa Yanga walipoenda CAS kulalamikia goli la Aziz Ki kule southna ishu ya derby ya Simba
Bado kesi za madai kwa wachezaji na makocha wanaoachana nao
Kama wanasheria sio vilaza basi viongozi ni wahuni
Hayo malalamiko na hiyo appeal ilikuwa haimake sense hata bushlawyer angeona hapa hakuna msingi wa malalamikoKwa vile bado unasoma, hujakamilika kujadili maswala ya kisheria. Kuhusu goli la Aziz Ki, barua ya Yanga haikuwa inalalamika na wala haikupelekwa CAS bali ilipelekwa CAF kuregister dissatisfaction yao na usimamizi wa mchezo huo, na wala hawakusema matokeo yabadilishwe.
Kesi ya sasa iliyoko CAS inatokana na Yanga kuamini kuwa msimamizi mkuu wa mpira hapa Tanzania kashindwa kusimamia mchezo huo kwa haki.
Kwa vile hujamaliza undergraduate, kazana umalize shule kwanza. Mambo ya undegrdauate isiyalete hapa.
Niko Open University nasomea sheria huu mwaka wa saba sijagraduate
Pamoja na ukilaza wangu nilishangaa Yanga walipoenda CAS kulalamikia goli la Aziz Ki kule southna ishu ya derby ya Simba
Bado kesi za madai kwa wachezaji na makocha wanaoachana nao
Kama wanasheria sio vilaza basi viongozi ni wahuni
Hebu mtutolee kelele zenu yani mnajiona nyie ndo mnahaki sana kwny kuhairishwa kwa derby..ila hamuoni kabisa sabb ya simba ya kusema haitacheza mpk watolee ufafanuzi wa wale mabaunsa unga unga waliozuia basi kuingia...ila mnajua mnachekesha sana...Kwa vile bado unasoma, hujakamilika kujadili maswala ya kisheria. Kuhusu goli la Aziz Ki, barua ya Yanga haikuwa inalalamika na wala haikupelekwa CAS bali ilipelekwa CAF kuregister dissatisfaction yao na usimamizi wa mchezo huo, na wala hawakusema matokeo yabadilishwe.
Kesi ya sasa iliyoko CAS inatokana na Yanga kuamini kuwa msimamizi mkuu wa mpira hapa Tanzania kashindwa kusimamia mchezo huo kwa haki.
Kwa vile hujamaliza undergraduate, kazana umalize shule kwanza. Mambo ya undegrdauate isiyalete hapa.
CAS imewaambia wasipocheza wapokwe point mpaka mwiko utoke nyumaHebu mtutolee kelele zenu yani mnajiona nyie ndo mnahaki sana kwny kuhairishwa kwa derby..ila hamuoni kabisa sabb ya simba ya kusema haitacheza mpk watolee ufafanuzi wa wale mabaunsa unga unga waliozuia basi kuingia...ila mnajua mnachekesha sana...
Ndo maana kesi zote chalii
No reasoning at all
Watajinyea....hahaahCAS imewaambia wasipocheza wapokwe point mpaka mwiko utoke nyuma
Nipp beshte hili lilikua wazi kabisa walikua wanapoteza muda tuu..
"Kwa kuzingatia yaliyotajwa hapo juu, rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Michezo ya Young Africans itahesabiwa kuwa imeondolewa, na mchakato wa kesi CAS 2025/A/11298 Young Africans Sports Club dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na Klabu ya Simba utasitishwa na kufutwa kwenye orodha ya kesi za CAS."
Don't stoop too low. Some of us respect you 🙏🏿Watajinyea....hahaah