Gonzalo Miguel
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 837
- 622
Tazo ni Tanesco mkuu.. nipo nachangany lithium wamekata kwann nisiende US
ufike wakati nchi zetu ziwe na sera nzuri zitakazowavutia wataalamu wetu kurudi nyumbani lakini sisi Africa tumekomaa na blah blah tu
Waafrika wamepelekwa Marekeni nchi ikiwa changa mno bado haikuwa na maenedeleo ya kujivunia. Na kuhusu mtu mweusi kuvumbua vitu vinavyochangia ustaarabu wa leo ni vingi sana . Mafano wa hivyo vitu kuvitaja vichache: friji isingekuwepo kama isingekuwa engineer mweusi kugundua, namna ya kuhifadhi damu kwa ajili ya matumizi subitali ni doctor mweusi ndo aligundua, lift za kuendea juu maghorofani ni mweusi pia, open heart suggery ya kwanza ilifanywa na daktari mweusi, neumatic brakes za magari ni fundi mweusi ndo katuletea, automatic transmition gear kwenye magari ni black, train kutumia umeme ni cheusi mangala na mengine mengi tu mzeeNani aliyekuambia wanasayansi wa kiafrika ndo walioikuza ulaya na marekani?
Hao waafrika wamekwenda huko washakuta ulaya na marekani zimeendelea
WAAFRICA weusi heee!!! kwanza unaanza kurogwa na, Mama mdogo, baba la wapi sijui! yana vinyongo vya wazi kabisa! shangazi yako wote hwa ni kutoka kijijini kwenu, wivu tu!! ili tu usivuke kimaisha!!........ Ok! labda mama ako kajitahidi weee!! ukavuka2. Je tukisema waafrica wanatamaa ya pesa na si wazalendo wa nchi zao tunakosea? unafikiri hawa wanasayansi wangefanya kazi kwenye mabara yao africa tungekuwa bado maskini?
HII NI LIST YA WANASAYANSI KUTOKA AFRICA NA KAZI WANAZOZIFANYA KWENYE MATAIFA MAKUBWA1. Euclid of Alexandria
EGYPT
huyu ni founder wa geometry ni mzaliwa wa egypt
amefanya kazi katika European Space Agency's (ESA) na ameunda euclid space craft
2. Sameera Moussa
huyu ni ni mwanafizikia aliyebobea kwenye maswala ya nyukilia na ni mzawa wa egypty ana doctorate ya atomic radiation na alifia huko California, united state
3.Ahmed Hassan Zewail
Huyu ni wa Egypt ni mwanzilishi wa femtochemistry anafanya kazi amerca
1. Haile Debas
Eritrean
huyu ni mfanya sugery, mwanafizikia na ni academic adminstrator katika chuo kikuu cha California ni mzawa wa africa
Carthage1. Abbas Ibn Firnas
huyu ni mwanafizikia mchemia na engineer alifanya kazi huko spain ila ni mzawa wa carthage africa
Morocco1. Rachid Yazami
huyi ni morocan alifanya research kuhusu lithium battery na graphite anode anafanya kazi katika French National Centre for Scientific Research (CNRS) ni wa kwaza kugundua intercalation ya lithium kwenye graphite katika electrochemical cell
Ethiopean
1. Sossina M. Haile
huyu ni profesa na mchemia pia ni mwanafizika na ni mhandisi anafanya kazi california instute of technology huyu aligundua solid acid fuel cells
2. Kitaw Ejigu
Ethiopian engineer and Chief of Spacecraft and Satellite Systems engineer at NASA.
KENYAN1. Calestous Juma
Huyu ni professor pia ni mfanya kazi katika havard university ni mzawa wa kenya
MALI1. Cheick Modibo Diarra
Huyu ni aerospace engineer amechangia kukamilika kwa mission nyingi za NASA mfano kupatikana kwa njia ya kwenda kwenye sayari ya mars , galileo space craft na kuchunguza sayari ya mars
NIGERIAN1. John Uzo Ogbu
huyu ni professor alikuwa anachunguza maswala ya intelligence kuendana na rangi ya ngozi (race) inasemekana alikuwa na IQ kubwa ni mzawa wa nigeria lakini alikuwa anafundisha na kuishi California
2. Bisi Ezerioha
huyu ni professor, engeneer huyu ndie mgunduzi na mtengenezaji wa honda pia ameshiriki katika utengenezaji wa Hyundai Motor America mhshimiwa huyu pia anatengeneza injini za magari pia
SOUTH AFRICA
1. Aaron Klug
Huyu ni mchemia na biophycist alijishindia tuzo kwa kugundua crystallographic electron microscopy pia amegundua structure ya tobacco mosaic virus huyu ni director wa maabara ya molecular biology huko cambridge
2. Sydney Brenner
huyu amebobea kwenye genetic alipata tuzo noble prize kwenye phsiology or medicine anafanya kazi kwenye maabara ya molecular biology huko cambridge england pia ni mwanzilishi na mmiliki wa California instute of molecular bilology kwa kipindi cha maisha yake
3. Christiaan Barnard
huyu ni mpasuaji bingwa wa moyo pia alifanikiwa kuhamisha moyo kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa mara ya kwanza duniani hajareportiwa sehemu aliyokuwa anafanyakazi nnje ya africa lakini alionekana kuondoka sana africa na alikufa mwaka 2001
SUDANI1. Mohammed Ibrahim
Huyu engineer na ni billionaire pia aliwahi kuishi british na kufanya kazi huko katika vitengo vya telecomunication aliajiriwa na british telecom huyu ni mwanzilishi wa mtandao wa celtel
2. Ali M. El-Agraa
huyu ni mwanauchumi bingwa amefanya kazi british, usa, na japan nchi ambazo sasa zinaonekana kukua kiuchumi mno
3. Mohamed Osman Baloola
huyu ni biomedical engineer pia ni mtafiti na mwendesha research kuhusu diabetes anafanya kazi uarabuni katika Ajman University of Science and Technology
TANZANIA1. Felix A. Chami
Felix A. Chami is an archaeologist from Tanzania. He is a professor at Dar es Salaam University. Dr. Chami discovered, on the island of Mafia and Juani, artefacts that revealed East Africa as being integral to the Indian Ocean trade huyu yupo africa na anafanya kazi africa alichogundua imebidi nikiweke kwenye lugha ya fumbo ili mjiulize kwanini kabaki africa
UGANDA1. Kwatsi Alibaruho
Huyu ni director wa kurusha vifaa vya anga anafanya kazi National Aeronautics and Space Administration (NASA) alishadirect human spaceflight mwaka 2005 pia anahusika kumanage na kucarry space shuttle flight
AFRICA TUNA LIST YA WANASAYANSI WENGI AMBA O NI WAZAWA WA AFRICA LAKINI SASA WANAYATUMIKIA MATAIFA MAKUBWA BADALA YA TAIFA LAO PIA WENGINE WANAONEKANA KUTAFUTA URAIA KWENYE MATAIFA HAYO
1. Je hii ni akili na wanasababu mdhubuti kufanya hivyo? je kuna watu wa mataifa makubwa kama amerca wanakuja kulitumikia tafa dogo africa?
2. Je tukisema waafrica wanatamaa ya pesa na si wazalendo wa nchi zao tunakosea? unafikiri hawa wanasayansi wangefanya kazi kwenye mabara yao africa tungekuwa bado maskini?
3. Je unafikiri hawa wanasayansi wangefanya kazi africa kungekuwa na mgogoro mkubwa na mataifa makubwa na huenda wangefanikiwa kuwaua?
4. je wanasayansi wa africa wanalazimishwa kufanya kazi kwenye mataifa makubwa na kutishiwa kuuliwa hivyo wanaogopa kufa
ILA NIMEGUNDUA WANASAYANSI WENGI WA KIAFRICA WANAOJULIKANA DUNIA NA NI WAZAWA WA SOUTH AFRICA BADO WANAFANYA KAZI SOUTH AFRICA JAPO SIJAWAWEKA KWENYE LIST HAPO
UMEGUNDUA NINI? africa tunajiona tuna wanasayansi wengi lakini wanaofahamika ulimwenguni pote ni wachache mfano kwa tanzania anafahamika mmoja kwani tunamaporofesa wangapi kwenye vyuo vyetu je wametendewa haki kutotajwa kwenye hii list?
nawasilisha
Kuna mtu kafanyiwa kila aina ya ushenz na ndugu, kapelekwa jela mwaka na nusu kwa kesi ya kusingizia baada ya kumaliza 6, kesi ikafutwa baada ya kukosa ushahidi, baada ya kutoka kafanya juu chini kaenda chuo 5yrs baada ya kumaliza 6, kamaliza chuo kapata kazi, ndugu walipoona anataka kutoboa na anamraidia sana mama yake ambaye ndo alikuwa faraja yake, wakaenda mpaka kazini kwake kumuaribia kuwa anaiba sana, kasimamishwa kazi uchunguzi kufanyika hana kosa karudishwa ila baada ya mkataba kuirha hakupewa tena mwingine kwa jinsi ndugu walivomsiliba kule kazni, faraja yake ikatangulia mbele ya haki, ndugu wakavuruga mpaka ndoa yake, kwa sasa wanataka kumnyang'anya urithi wake wamrithishe mdogo wao wa kike, hii ngoz nyeus tabu tupu.Mataifa makubwa yanawapa thamani bora waende tu huko nje wakibaki tutawapa dharau ya juu na kuwaita wachawi na watoa kafara kila watakapofanya ugunduzi wao,