He is a South African-born,American business magnate, investor and engineer.He is the founder, CEO, and lead designer of SpaceX;co-founder, CEO, and product architect of Tesla, Inc.; and co-founder and CEO of Neuralink. In December 2016, he was ranked 21st on the Forbes list of The World's Most Powerful People.As of February 2018, he has a net worth of $20.8 billion and is listed by Forbes as the 53rd-richest person in the world.nchi gani huyo
huyo si unaona kazaliwa hukohuko amerca na amekulia huko huko huenda ikawa hata uraia wake ni wa amerca toka alipozaliwa hapa mimi nimeweka wale wanasayansi waliokulia africa ila baada ya hapo wakakimbiaHe is a South African-born American business magnate, investor and engineer.He is the founder, CEO, and lead designer of SpaceX;co-founder, CEO, and product architect of Tesla, Inc.; and co-founder and CEO of Neuralink. In December 2016, he was ranked 21st on the Forbes list of The World's Most Powerful People.As of February 2018, he has a net worth of $20.8 billion and is listed by Forbes as the 53rd-richest person in the world.
Kuzaliwa: 28 Juni 1971huyo si unaona kazaliwa hukohuko amerca na amekulia huko huko huenda ikawa hata uraia wake ni wa amerca toka alipozaliwa hapa mimi nimeweka wale wanasayansi waliokulia africa ila baada ya hapo wakakimbia
his is southern african- born amercan hiyo ni statement yako uliyoitoa mwanzo na hapo inamaanisha huyo ni msouth africa lakin alizaliwa huko amerca ila saivi unatuma text nyingine unasema amezaliwa africa na baadae kaenda amerca tafuta historia yake vizuri ila mimi naamini maelezo yako ya mwanzo ndio ya kweli lakini haya ya pili yamekuja kutokana na mkanganyiko wa lugha tu kiongozi
Ok ntarekebisha pale mkuu,palihitajika kuwa na alama ya mkato kati ya south african born na american business magnate..his is southern african- born amercan hiyo ni statement yako uliyoitoa mwanzo na hapo inamaanisha huyo ni msouth africa lakin alizaliwa huko amerca ila saivi unatuma text nyingine unasema amezaliwa africa na baadae kaenda amerca tafuta historia yake vizuri ila mimi naamini maelezo yako ya mwanzo ndio ya kweli lakini haya ya pili yamekuja kutokana na mkanganyiko wa lugha tu kiongozi
sawa kiongozi huyo sikufanikiwa kumfuma ila kwenye huu uzi kuendana na mawazo au michango ya watu tuligundua kuwaOk ntarekebisha pale mkuu,palihitajika kuwa na alama ya mkato kati ya south african born na american business magnate..
Mkuu archeology ni part ya social science na humanities na na kwa maana hiyo kumuweka Chami kama 'mwanasayansi' kuna ukakasi kidogoFelix A. Chami is an archaeologist from Tanzania
Can you expand your elaborationLET ME CONCLUDE AFRICA ARE POOR BECAUSE ARE POOR WITH REFERENCE TO THIS MAP
{PENYE MITI HAPANA WA JENZI}
Elaborate your elaborationCan you expand your elaboration
Sawa.Elaborate your elaboration
kama hamna mhaya hii list ni fakeHII NI LIST YA WANASAYANSI KUTOKA AFRICA NA KAZI WANAZOZIFANYA KWENYE MATAIFA MAKUBWA1. Euclid of Alexandria
EGYPT
huyu ni founder wa geometry ni mzaliwa wa egypt
amefanya kazi katika European Space Agency's (ESA) na ameunda euclid space craft
2. Sameera Moussa
huyu ni ni mwanafizikia aliyebobea kwenye maswala ya nyukilia na ni mzawa wa egypty ana doctorate ya atomic radiation na alifia huko California, united state
3.Ahmed Hassan Zewail
Huyu ni wa Egypt ni mwanzilishi wa femtochemistry anafanya kazi amerca
1. Haile Debas
Eritrean
huyu ni mfanya sugery, mwanafizikia na ni academic adminstrator katika chuo kikuu cha California ni mzawa wa africa
Carthage1. Abbas Ibn Firnas
huyu ni mwanafizikia mchemia na engineer alifanya kazi huko spain ila ni mzawa wa carthage africa
Morocco1. Rachid Yazami
huyi ni morocan alifanya research kuhusu lithium battery na graphite anode anafanya kazi katika French National Centre for Scientific Research (CNRS) ni wa kwaza kugundua intercalation ya lithium kwenye graphite katika electrochemical cell
Ethiopean
1. Sossina M. Haile
huyu ni profesa na mchemia pia ni mwanafizika na ni mhandisi anafanya kazi california instute of technology huyu aligundua solid acid fuel cells
2. Kitaw Ejigu
Ethiopian engineer and Chief of Spacecraft and Satellite Systems engineer at NASA.
KENYAN1. Calestous Juma
Huyu ni professor pia ni mfanya kazi katika havard university ni mzawa wa kenya
MALI1. Cheick Modibo Diarra
Huyu ni aerospace engineer amechangia kukamilika kwa mission nyingi za NASA mfano kupatikana kwa njia ya kwenda kwenye sayari ya mars , galileo space craft na kuchunguza sayari ya mars
NIGERIAN1. John Uzo Ogbu
huyu ni professor alikuwa anachunguza maswala ya intelligence kuendana na rangi ya ngozi (race) inasemekana alikuwa na IQ kubwa ni mzawa wa nigeria lakini alikuwa anafundisha na kuishi California
2. Bisi Ezerioha
huyu ni professor, engeneer huyu ndie mgunduzi na mtengenezaji wa honda pia ameshiriki katika utengenezaji wa Hyundai Motor America mhshimiwa huyu pia anatengeneza injini za magari pia
SOUTH AFRICA
1. Aaron Klug
Huyu ni mchemia na biophycist alijishindia tuzo kwa kugundua crystallographic electron microscopy pia amegundua structure ya tobacco mosaic virus huyu ni director wa maabara ya molecular biology huko cambridge
2. Sydney Brenner
huyu amebobea kwenye genetic alipata tuzo noble prize kwenye phsiology or medicine anafanya kazi kwenye maabara ya molecular biology huko cambridge england pia ni mwanzilishi na mmiliki wa California instute of molecular bilology kwa kipindi cha maisha yake
3. Christiaan Barnard
huyu ni mpasuaji bingwa wa moyo pia alifanikiwa kuhamisha moyo kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa mara ya kwanza duniani hajareportiwa sehemu aliyokuwa anafanyakazi nnje ya africa lakini alionekana kuondoka sana africa na alikufa mwaka 2001
SUDANI1. Mohammed Ibrahim
Huyu engineer na ni billionaire pia aliwahi kuishi british na kufanya kazi huko katika vitengo vya telecomunication aliajiriwa na british telecom huyu ni mwanzilishi wa mtandao wa celtel
2. Ali M. El-Agraa
huyu ni mwanauchumi bingwa amefanya kazi british, usa, na japan nchi ambazo sasa zinaonekana kukua kiuchumi mno
3. Mohamed Osman Baloola
huyu ni biomedical engineer pia ni mtafiti na mwendesha research kuhusu diabetes anafanya kazi uarabuni katika Ajman University of Science and Technology
TANZANIA1. Felix A. Chami
Felix A. Chami is an archaeologist from Tanzania. He is a professor at Dar es Salaam University. Dr. Chami discovered, on the island of Mafia and Juani, artefacts that revealed East Africa as being integral to the Indian Ocean trade huyu yupo africa na anafanya kazi africa alichogundua imebidi nikiweke kwenye lugha ya fumbo ili mjiulize kwanini kabaki africa
UGANDA1. Kwatsi Alibaruho
Huyu ni director wa kurusha vifaa vya anga anafanya kazi National Aeronautics and Space Administration (NASA) alishadirect human spaceflight mwaka 2005 pia anahusika kumanage na kucarry space shuttle flight
AFRICA TUNA LIST YA WANASAYANSI WENGI AMBA O NI WAZAWA WA AFRICA LAKINI SASA WANAYATUMIKIA MATAIFA MAKUBWA BADALA YA TAIFA LAO PIA WENGINE WANAONEKANA KUTAFUTA URAIA KWENYE MATAIFA HAYO
1. Je hii ni akili na wanasababu mdhubuti kufanya hivyo? je kuna watu wa mataifa makubwa kama amerca wanakuja kulitumikia tafa dogo africa?
2. Je tukisema waafrica wanatamaa ya pesa na si wazalendo wa nchi zao tunakosea? unafikiri hawa wanasayansi wangefanya kazi kwenye mabara yao africa tungekuwa bado maskini?
3. Je unafikiri hawa wanasayansi wangefanya kazi africa kungekuwa na mgogoro mkubwa na mataifa makubwa na huenda wangefanikiwa kuwaua?
4. je wanasayansi wa africa wanalazimishwa kufanya kazi kwenye mataifa makubwa na kutishiwa kuuliwa hivyo wanaogopa kufa
ILA NIMEGUNDUA WANASAYANSI WENGI WA KIAFRICA WANAOJULIKANA DUNIA NA NI WAZAWA WA SOUTH AFRICA BADO WANAFANYA KAZI SOUTH AFRICA JAPO SIJAWAWEKA KWENYE LIST HAPO
UMEGUNDUA NINI? africa tunajiona tuna wanasayansi wengi lakini wanaofahamika ulimwenguni pote ni wachache mfano kwa tanzania anafahamika mmoja kwani tunamaporofesa wangapi kwenye vyuo vyetu je wametendewa haki kutotajwa kwenye hii list?
nawasilisha
Africa isingeweza kufadhili tafiti za kisayansi kwa maana ni gharama sana na ndio maana wapo nje ya africa kwa wenye shekeliHII NI LIST YA WANASAYANSI KUTOKA AFRICA NA KAZI WANAZOZIFANYA KWENYE MATAIFA MAKUBWA1. Euclid of Alexandria

iyo kweli mkuu mahendeleo yetu yako chini saana some time mimi uwaga nafikiria labda tumerogwa ndo maana tuna kuwaga iviWaafrika uwekezaji wetu hasa wa sisi wa kusini mwa jangwa la sahara ni siasa.
Hatuna uzalendo wa kuleta maendeleo ktk jamii kwa ujumla.
Kwanza uyu jamaa nIlisikia fununu eti alikuwa na ishi africa mimi uwaga na jihuliza kwanini watu wa south africa wali muacha ahende kusaidia eti nyingine na wakati ame kulia inchi umo?Mbona sijamuona hapo juu Elon Musk wa Space X...!