MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Wachambuzi wa mambo wanasema magwandwa yalishapigwa pasi na mpiga picha alikuwa standby kwa ajili ya tukio.Tukio limetokea muda gani ambao aliweza kubadili nguo na kutilia magwanda ya polisi na kwenda kwenye tukio? au alikuwa amevaa ametoka nayo ofisini?
unaongea kama mtu asiye jielwewaCHADEMA wameungana na Mafisadi kupigania maandamano badala ya kupigania maendeleo .!!!
Aliyewaambia watanzania wanahitaji maandamano na siyo maendeleo ni nani?
Shame to you all
Ifikie tuache kuwa panya we are men not mice-Tujifunze jambo linapotokea badala ya kutoa vitisho na matamko ambayo mwisho wa siku hayatatui tatizo na mbaya zaidi tatizo hilo hilo kujitokeza mbeleni.
Yule msemaji wa Polisi,
Mara anasema majambazi hawajapora kitu, mara anasema kuwa wamepora bunduki mbili.
Polisi acheni siasa, fanyeni kazi, hii kazi ya usalama wa watu na mali zao inawashinda kwa ajili ya kujipendekeza kwa CCM.
Huyu CP NSATO, anajaribu kulihusisha tukio la kuuwawa kwa polisi na Operesheni UKUTA, hili halitakiwi kuwa tamko ya Polisi aliyesomea Intelligency, bali ilikuwa kazi ya propagandist wa CCM!
Akiongea kiongozi wa Polisi, na akiongea msemaji wa CCM, maneno ni yale yale!
Jirekebisheni!
Walau wewe utakuwa kipenzi cha awamu hii. Kama Mungu atakujalia nguvu ya kudumu kuitetea serikali hii, ambayo wengi wanaona katiba inasiginwa nina imani utateuliwa kuwa mkuu wa wilaya. Sidhani kama utaitwa polisi kutolea maelezo.
Walau wewe utakuwa kipenzi cha awamu hii. Kama Mungu atakujalia nguvu ya kudumu kuitetea serikali hii, ambayo wengi wanaona katiba inasiginwa nina imani utateuliwa kuwa mkuu wa wilaya. Sidhani kama utaitwa polisi kutolea maelezo.
Watanzania hivi hatuwezi kukaa pamoja ili kuepusha wimbi la umwagaji damu ktk maandamano ya ukuta?Hata yesu alisema awa wakinyamaza mawe yatapiga kelele
Kunapotokea hali ya sintofahamu ktk nchi ni vzr makundi hasimu wakae pamoja ili kuleta amani na utulivu hapa Tanzania.My Poor Tanzania.
Haya sawa basi! Hongereni sana Jeshi la Polisi mlipambana kiume bahati mbaya wazee wa boxer wakawazidi nguvu.
Sure Ayseee......Sirikali.Mimi Kwa Maoni Yangu, Mwigulu Ni mojawapo ya watu ambao Kwa Tukio Hili wanafaa wachunguzwe, Hili tukio lina Kila dalili ya Kuwa Lilipangwa kwa siasa. Masikini Watoto wa Watu, Askari wale wanne wanaweza Kuwa walitolewa Kafara na Watu waovu sana Kisiasa. Mungu Sii Mwanadamu Ukweli Utajulikana!
Ndiyo mada tunayojadili hapa au?CHADEMA wameungana na Mafisadi kupigania maandamano badala ya kupigania maendeleo .!!!
Aliyewaambia watanzania wanahitaji maandamano na siyo maendeleo ni nani?
Shame to you all
Watanzania naomba tukae chini kama taifa na tujadili kuhusu amani yetu. Tusijaribu kuipoteza hii tunu tuliyoachiwa na waasisi wa taifa letu.Nguvu hazijawahi kufaulu sehemu yoyote duniani, waendelee kuwatisha tu, bora watu waendelee kuropoka hata siku kuna tukio wataropoka tu,ukiwafumba midomo sijui hata upelelezi mtaanzia wapi
Ukiwakamata uwapeleke mahakamani. Si polisi kama mnavyofanya. Wapeleke mahakamani ili mkajieleze wote.wewe mlalamikaji na yeye mshitakiwa. Hata hivyo ni ajabu kudhani kuwa kwenye msiba watu wote watalia! Wapo watakaofurahia kufa kwako, watakaosikikitika, na ambao wapo wapo kujaza msiba. Na huwezi kuwalazimisha watu kusikitika. Hilo ni suala la hisia za moyo. Na nakuhakikishia utaishia kuwatesa tu kwenye vituo vya polisi. Hawashitakiki.Hayo ni maneno ya Waziri wa Mambo ya Ndani mh. Mwigulu Nchemba kuwa kwa wale wote watakaoonesha kufurahia jambo hili wataitwa kwenye vyombo vya sheria kujieleza.
My take: Kabla ya kuwapeleka kwenye vyombo vya sheria kujieleza kwanini serikali isijiulize kwanini imefikia hatua mpaka polisi kuuawa wananchi wanashangilia?