Sasa mkuu Na inakuwaje Asilimia kubwa ni wanawake Tena wenye mlengo kama kujiuza, siwaelewi 🤣Wamesajiliwa
Nunua bando zote mbili piga miguu yote 😀Sasa mkuu Na inakuwaje Asilimia kubwa ni wanawake Tena wenye mlengo kama kujiuza, siwaelewi 🤣
Utapigwa mkuu we jichanganye, hao sio wanawake ni parodySasa mkuu Na inakuwaje Asilimia kubwa ni wanawake Tena wenye mlengo kama kujiuza, siwaelewi 🤣
Brother nunua bando tu 😃😀Sasa mkuu Na inakuwaje Asilimia kubwa ni wanawake Tena wenye mlengo kama kujiuza, siwaelewi 🤣
Naelewa kaka! Ila wapo amabao nimekutana nao Badoo na Telegram Huwa mpaka tunawasiliana, ni wanawake.Utapigwa mkuu we jichanganye, hao sio wanawake ni parody
Sasa mkuu Na inakuwaje Asilimia kubwa ni wanawake Tena wenye mlengo kama kujiuza, wanaume pia wapo kibao
Halafu bando zao ni zakweli nanibei nafuu tofauti na hizi bando za kawaida. Mimi pia natumia . In short ukiwa sehem nzuri yenye mtandao mzuri wa halotel itakulaizma usajili mpaka laini ya halotel hata kama ulikua huna. Mm niliunga bando la sh 27,000 GB 30 Terehe 19 mpaka sasa iv zimebaki Gb 20 yan unaenyoy kinoma 😀😀😀😀Brother nunua bando tu 😃😀
Wapo vizuri sana mkuu haloteli mafundi sana hata Mimi natumia nikiwaga nje ya dar es salaamHalafu bando zao ni zakweli nanibei nafuu tofauti na hizi bando za kawaida. Mimi pia natumia . In short ukiwa sehem nzuri yenye mtandao mzuri wa halotel itakulaizma usajili mpaka laini ya halotel hata kama ulikua huna. Mm niliunga bando la sh 27,000 GB 30 Terehe 19 mpaka sasa iv zimebaki Gb 20 yan unaenyoy kinoma 😀😀😀😀
NdioWanasajiliwa vip wanakuwa kama mawakala au
Mara ya kwanza nlikua siamini lakini mpaka sasa yupo jamaa nafanya nae kazi sehem moja na anaunga bando za halotel . Ukimpa hela dakika 2 tu fresh. Sema hua najiuliza kwann hizi bando hazipo kwenye menu yao? Kama ni kitu halali kwann wasiweke kwenye menu yao watu wakawa wanajiunga wenye ?😀😀Wapo vizuri sana mkuu haloteli mafundi sana hata Mimi natumia nikiwaga nje ya dar es salaam
Mfumo gani sasa ? Natamani niwe wakala wa hii kitu mzeeNdio
Mara ya kwanza nlikua siamini lakini mpaka sasa yupo jamaa nafanya nae kazi sehem moja na anaunga bando za halotel . Ukimpa hela dakika 2 tu fresh. Sema hua najiuliza kwann hizi bando hazipo kwenye menu yao? Kama ni kitu halali kwann wasiweke kwenye menu yao watu wakawa wanajiunga wenye ?😀😀Kwani halotel wenyewe hawaoni?
Nenda haloshopMfumo gani sasa ? Natamani niwe wakala wa hii kitu mzee
Mara ya kwanza nlikua siamini lakini mpaka sasa yupo jamaa nafanya nae kazi sehem moja na anaunga bando za halotel . Ukimpa hela dakika 2 tu fresh. Sema hua najiuliza kwann hizi bando hazipo kwenye menu yao? Kama ni kitu halali kwann wasiweke kwenye menu yao watu wakawa wanajiunga wenye ?😀😀
Nenda aliposema brother Mr QMara ya kwanza nlikua siamini lakini mpaka sasa yupo jamaa nafanya nae kazi sehem moja na anaunga bando za halotel . Ukimpa hela dakika 2 tu fresh. Sema hua najiuliza kwann hizi bando hazipo kwenye menu yao? Kama ni kitu halali kwann wasiweke kwenye menu yao watu wakawa wanajiunga wenye ?😀😀
May be wamesajili watu special wanao toa huduma hioMfumo gani sasa ? Natamani niwe wakala wa hii kitu mzee
Mara ya kwanza nlikua siamini lakini mpaka sasa yupo jamaa nafanya nae kazi sehem moja na anaunga bando za halotel . Ukimpa hela dakika 2 tu fresh. Sema hua najiuliza kwann hizi bando hazipo kwenye menu yao? Kama ni kitu halali kwann wasiweke kwenye menu yao watu wakawa wanajiunga wenye ?😀😀
---bando la sh 27,000 GB 30 Terehe 19 mpaka sasa iv zimebaki Gb 20 yan unaenyoy kinoma
SME ni Halotel wenyewe hio ni packageNaomba kujua hawa watu wanao unga bando za halotel wanapata wapi kibali au wanawezaje ?maana naona siku hizi watu wengi wamekuwa mawakala wakuunga hizi bando za halotel mfano
GB 5 = sh 5000
GB 10= sh 8000
GB 20 = sh 18,000
Na yingine
Hii nchi chini ya Samia ina mambo ya kiseng@ sana ...kwa nini wasiweke hayo mabando kwa wote bila ya mtu wa kati 😕 HUYU ROSTAM AZIZI HAFAI KABISA KUENDELEA KUWA HAI KWA MASLAI MAPANA YA TAIFA NA KWA HAKI.Halafu bando zao ni zakweli nanibei nafuu tofauti na hizi bando za kawaida. Mimi pia natumia . In short ukiwa sehem nzuri yenye mtandao mzuri wa halotel itakulaizma usajili mpaka laini ya halotel hata kama ulikua huna. Mm niliunga bando la sh 27,000 GB 30 Terehe 19 mpaka sasa iv zimebaki Gb 20 yan unaenyoy kinoma 😀😀😀😀