Wanaounga bando za Halotel vibali wanapata wap?

Naomba niwasaidie jambo moja.
Hao wanaounga hizo bundles sio mawakala wa Halotel or anything. Hata wewe unaweza ukafanya hilo zoezi.
Sasa nini huwa kinafanyika;
Iko hivi, simcards (line ya simu) za kampuni za simu huwa ziko za aina tofauti tofauti na kila simcard huwa na sifa yake.
Sasa mfano Halotel, wana aina nyingi sana za simcards ambazo ni Halo, Faith, Community, M2M, Edu/Teacher (hizi ndio zile mnasema ni line za chuo), Corp, Super Corp, kule Zanzibar kuna line za Halotel zinaitwa Karafuu na nyinginezo nyingi tu.
Sasa kama nilivyosema, hapo kila line ina sifa yake na huduma zake.
Mfano, line za Faith, ni line ya kawaida lkn inafaa zaidi kwa matumizi ya makundi ya Kiimani mfano Kanisani au Msikitini maana pia kuna namna hizo nyumba za Ibada zitapata fedha kupitia line hizo.
✓Line za Halo ni za kawaida tu
✓Line za Community pia ni za kawaida ila zinafaa sana vikundi vya watu, mfano bodaboda ama Kikundi chochote kile maana Community wanaweza wakaungwa na kitu kinaitwa CUG ili waweze kupigiana simu bure miongoni mwao.
✓M2M hizi ni line special za Internet tu (Hazipigi wala kupokea simu) na namba zake huanza na 300............. tofauti na hizo nyingine za kawaida ambazo huanza na 06...............

Sasa, hao wanaounga hizo bundles huwa ni mtu yoyote wa kawaida (hata wewe ukiamua) huwa wanasajili line zinaitwa Corp au Super Corp, hizo ni line zinakuwa na menu special ya kununua bundles tofauti na nyingine zote.
Kwenye menu, kuna option ya kununua 210gb kwa laki moja tu.
Sasa hapo ndio kwenye biashara, so hao jamaa baada ya kusajili line hizo, wanajiunga hicho kifurushi, so tupige hesabu ya haraka:
100K inakupa 210gb.
100K÷210gb= 476 Tshs.
Maana yake huyo mtu ni sawa kanunua 1gb kwa sh 476.
Yeye akija kukuuzia wewe 1gb kwa sh700 au sh1000 ndipo anapopata faida.
Na hizo bundle zipo za mwezi, miezi 6, 9 na 12 itategemea yeye kajiunga bundle lipi.

I hope nimewafungua macho.

P.S: Kuwa makini na matangazo ya mtandaoni maana wengine ni scammers, watakupiga pesa yako na bundle hupati.
 
ASante kwa ufafanuzi wa kiuelewa, hapo mwisho pia umemaliza vizuri, je utajuaje huyu scammer maana nadhan mpaka utume hela ndio wakuhudumie
 
Umeandika sahihi, lakini umesahau kundi ambalo mimi nipo. Hapa kwangu siuzi bando bali naifanya line ya mteja ambayo haina huduma ya M2M ipate hiyo sifa.

Hakuna sehemu mteja atatuma pesa ili nimpatie bando, iwe before huduma au after. Ninachofanya ni kumsajili kwenye portal ya M2M, huduma ikikamilika atapokea msg kutoka Vodacom kwamba line yake ipo tayari. Hapo mteja atakuwa anaweza kupata hivyo vifurushi kwa kuanza kulipia kwa njia ya M-pesa thena baada ya week moja au mbili ataweza kutumia USSD ya M2M ambayo ni *149*01*77#.

Hiyo huduma M2M ina Faida gani za ziada kukinganisha na line ya kawaida ?
 
Line kawaida gb 1 unanunua 2100, line ya M2M kama ukinunua kifurushi cha gb 30 utalipia elfu 30 wastani wa elfu moja kwa Gb.

Line ya kawaida elfu kumi unapata gb 4, wakati M2M ukiwa na elfu 15 unapata gb 10.
 
Halotel wenyewe ukiwapigia hawakupi maelezo ya kueleweka.

Mie nmeungwa voda line yangu inatumia internet ulimited kwa muda wa miaka 2 mfululizo nmelipia 250k now mwezi wa 5 huu unaenda toka nijiunge.
Lakini ukiwapigia voda hicho kifurushi hawakijui sasa sijaelewa mpaka leo

Halotel wanakwambia ni ni line za sme na kifurushi kinadumu kwa mwezi wakati aliyekuwa ananiunga internet halotel kilikuwa kinadumu mpaka miez 6
 
Line kawaida gb 1 unanunua 2100, line ya M2M kama ukinunua kifurushi cha gb 30 utalipia elfu 30 wastani wa elfu moja kwa Gb.

Line ya kawaida elfu kumi unapata gb 4, wakati M2M ukiwa na elfu 15 unapata gb 10.
Ukinunua GB 30 kwa 30,0000 wanakupa limit ya kutumia kwa muda gani ?
 
Back
Top Bottom