mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,302
- 72,047
sawasawa.... one day labda nitajua maana halisi ya mapenzi baada ya kushikishwa mimba isiyo yangu, kupigwa mizinga na kuchapiwa 😂
sawasawa.... one day labda nitajua maana halisi ya mapenzi baada ya kushikishwa mimba isiyo yangu, kupigwa mizinga na kuchapiwa 😂
sawasawa.... one day labda nitajua maana halisi ya mapenzi baada ya kushikishwa mimba isiyo yangu, kupigwa mizinga na kuchapiwa![]()

Dogo umeumizwa katika umri huo wa miaka 19???i tried caring once nikaumizwa, i will never care again 😂
mzee shkamoo😅Dogo umeumizwa katika umri huo wa miaka 19???
Hivi ushawahi kupewa hela ukampokee Dem umpeleke lodge, alaf huyo demu unayeenda kumpokea unakuta ni demu wako? 😅😅
Marahaba kijana 😅😅mzee shkamoo😅
ni mapenzi haya ya dotcom tu mzee 😂 si unajua tena kuchatichati.... maumivu yapo ila kwa mbali...😂Marahaba kijana 😅😅
Komaa kwanza na shule mdogo wangu 😅ni mapenzi haya ya dotcom tu mzee 😂 si unajua tena kuchatichati.... maumivu yapo ila kwa mbali...😂
vipi shangazi yangu Lenie unamtunza vizuri?? 😂Komaa kwanza na shule mdogo wangu 😅
Nakazia😅Komaa kwanza na shule mdogo wangu 😅
uwe unanitumia na mimi mwanao kidogo basi 😂 chuo kugumu jamani shangazi....Ananitunza na kunihudumia vema na chenchi inabaki🥰
Ndio mtaji wa pastor mackenzi na makanisa yao ya mwendo kasiMwanamke akiwa na mahusiano na wewe anataka ufanye vile yeye angependa (vya kumfurahisha tu).
Mwanamke akikupenda anataka nawewe umpende hivyo hivyo, ukimpotezea ANAKUCHUKIA!
Atajaribu kukutega usipoingia kwenye kamba zake anakuona ZOBA!
Ukistisha mahusiano nae anasema AMETENDWA na anauwezo wa kuchukua maamuzi ya kujidhuru yeye mwenyewe (sio kunywa sumu, anaweza akafanya mambo ya ajabu sana akijuwa anakukomoa kumbe anajiumiza yeye mwenyewe)
Ni wanaume wachache wanaoweza kusema kwamba "wametendwa" ukilinganisha na wanawake!
WANAWAKE mapenzi yanawatesa KwELI KWELI!
Hahahaa unaotauwe unanitumia na mimi mwanao kidogo basi 😂 chuo kugumu jamani shangazi....
hayana formula, tutafute helaMwanamke akikupenda anataka nawewe umpende hivyo hivyo, ukimpotezea ANAKUCHUKIA!
Atajaribu kukutega usipoingia kwenye kamba zake anakuona ZOBA!
hiyo kitu inanitokeaga sana unakuta ankuonyesha ishara umtokee lakini ukimpotezea anaanza kukudharau
basi wewe ulieyajua tangu zamani, tueleze jinsi yalivyo: karibu bibi yetu:-Sawa hatukatai. Lkn katoto wewe ka miaka 19 unajua nn kuhusu mapenz? Nyie mnadanganyana tu mnaita mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa sio chochote kama hakuna wa kushare naye.hayana formula, tutafute hela
sa si ndo hivo, unatafuta ili umpate wa kushare nae....Pesa sio chochote kama hakuna wa kushare naye.
Swala la kutafuta kibuda kwa mwanaume ni lzima halibadilikisa si ndo hivo, unatafuta ili umpate wa kushare nau