Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,131
- 14,604
Siyo lazima uhonge eti unampenda mtuUtazinije na mtu bila kumpenda,
Utamhongaje mtu bila kumpenda, 🤔
Unaweza honga Ili kupata tu utelezi
Siyo lazima uhonge eti unampenda mtuUtazinije na mtu bila kumpenda,
Utamhongaje mtu bila kumpenda, 🤔
Kazi Gani!!Kuna makosa ya kiufundi siku hizi.....ndio maana wanaume wa zama hizi hawana kile kikoromeo kirefu hapa shingoni, kilikua na kazi yake kile
wanawake si wepesi wa kueleza hisia zao kama ilivyo kwa wanaume (wanaumia ndani kwa ndani ndo maana mwisho wa siku wanajiripua)Thread 10 za malalamiko ya mapenzi 9 zimeletwa na mwanaume 1 mwanamke....rekodi hazidanganyi.
mi naona wanaume wengi skuizi tunashindwa kuvumilia kukataliwa na kutendwa 😂 watu wanaweka vitu moyoni....Kuna makosa ya kiufundi siku hizi.....ndio maana wanaume wa zama hizi hawana kile kikoromeo kirefu hapa shingoni, kilikua na kazi yake kile
🤣🤣🤣Mapenzi ni us*nge
hapa hakuna aliesimanga wala kusimangwaleo masimango kwa wanawake yamepitiliza kwa kweli.... sio kwa hizi nyuzi...
Uongo mwanaume ndio anasifika kuficha hisia zake za maumivu ndomana mwanaume wanakufa sana na magonjwa ya moyo kuliko wanawake.wanawake si wepesi wa kueleza hisia zao kama ilivyo kwa wanaume (wanaumia ndani kwa ndani ndo maana mwisho wa siku wanajiripua)
DaaaahhhKazi Gani!!
Mnalia sana utadhani mko leba jikazeni kiumewanawake si wepesi wa kueleza hisia zao kama ilivyo kwa wanaume (wanaumia ndani kwa ndani ndo maana mwisho wa siku wanajiripua)
💯🤝mi naona wanaume wengi skuizi tunashindwa kuvumilia kukataliwa na kutendwa
Nasubiria jibuDaaaahhh
Je unaweza kumtomba mwanamke usiyempenda au kumtamani? 🤔🤔Siyo lazima uhonge eti unampenda mtu
Unaweza honga Ili kupata tu utelezi
Yani mmepafanya MMU lebami naona wanaume wengi skuizi tunashindwa kuvumilia kukataliwa na kutendwa 😂 watu wanaweka vitu moyoni....
Tunahisi kwamba kila mahali tuna haki ya kukubaliwa tukitongoza nao wana haki ya kufanya maamuzi kukukubali au kukupiga kibutimi naona wanaume wengi skuizi tunashindwa kuvumilia kukataliwa na kutendwa 😂 watu wanaweka vitu moyoni....
unaposema wanaume wa "siku hizi" hakikisha wewe ni mwanamke wa karne ya 19 vingnevyo nawewe ni mwanamke wa siku hiziKuna makosa ya kiufundi siku hizi.....ndio maana wanaume wa zama hizi hawana kile kikoromeo kirefu hapa shingoni, kilikua na kazi yake kile
mi mwenyewe nna gubu langu la miaka 3 linanitesa 😂 kazi kwelikweli...Yani mmepafanya MMU leba
shida inakua ngumu kuelewa.....Tunahisi kwamba kila mahali tuna haki ya kukubaliwa tukitongoza nao wana haki ya kufanya maamuzi kukukubali au kukupiga kibuti
Na kugongewa hakuepukiki
🤣🤣mi naona wanaume wengi skuizi tunashindwa kuvumilia kukataliwa na kutendwa 😂 watu wanaweka vitu moyoni....