Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Siwezi sema neno bila mwanasheria wanguTukuulize kwa niaba yao 😀
Siwezi sema neno bila mwanasheria wanguTukuulize kwa niaba yao 😀
kwahyo unategemea wanawake wa jf ambao ni evelyn salt na wenzake 9 ndo walete malalamiko?!Ila chakushangaza wanaonongoza kuleta malalamiko if wanaume
🤣🤣🤣 mbona mleta uzi kajilipua tuSiwezi sema neno bila mwanasheria wangu
namaanisha yaani thread nyingi leo zimewalenga wanawake....hapa hakuna aliesimanga wala kusimangwa
😂😂 mleta uzi ni mzushi, apuuzwe🤣🤣🤣 mbona mleta uzi kajilipua tu
NakaziaaaTunasema hiviiiii kwa mkapa hatoki mtu....
Ila mapenzi ukiyachukulia serious sana lazima yakutese 🤣🤣🤣😂😂 mleta uzi ni mzushi, apuuzwe
iko hvi: mwanamke baada ya kupata f kwenye jaribio lake la nyuma anajaa sumu. Kwahyo wewe mwanaume utakaekutana nae baada ya hapo uwe "makini" vingnevyo kuleta malalamiko hapa si jambo la kushangaza! najua umenielewanamaanisha yaani thread nyingi leo zimewalenga wanawake....
Bila sisi hamna content, badilikeni... Si muongelee hata uchumi wa nchi au faIda za kupanda mitileo masimango kwa wanawake yamepitiliza kwa kweli.... sio kwa hizi nyuzi...
ndo maana tunasema 'hit and run' 😂 au sio mzee...Ila mapenzi ukiyachukulia serious sana lazima yakutese 🤣🤣🤣
Mapenzi uzushi tu, bora mtu unywe zako bia ulewe 😂Ila mapenzi ukiyachukulia serious sana lazima yakutese 🤣🤣🤣
ila wanasema mwanamke ni pambo la dunia😂sio mbaya mkipata attention mara mojamoja....Bila sisi hamna content, badilikeni... Si muongelee hata uchumi wa nchi au faIda za kupanda miti
ongelea tu. Sisi tutatoa maoniBila sisi hamna content, badilikeni... Si muongelee hata uchumi wa nchi au faIda za kupanda miti
matokeo ya kutendwaMapenzi uzushi tu, bora mtu unywe zako bia ulewe
ambao hawawezi kuvumilia kukataliwa ni wanawake mzee! tatizo sisi wanaume tunajifanyaga njaa kali yaani demu akijilengesha kwako unaona ni fursa adimu! sasa fanya hvi, demu akikuelewa(hasa awe mhasibu na uwe hujamtongoza) mkatae alafu leta mrejesho hapa hapami naona wanaume wengi skuizi tunashindwa kuvumilia kukataliwa na kutendwa
Exactly hakuna kujitia stressndo maana tunasema 'hit and run' 😂 au sio mzee...
🤣🤣 hapo umenena sasaMapenzi uzushi tu, bora mtu unywe zako bia ulewe 😂
Sio kwelimatokeo ya kutendwa
Wanawake wa wapi? Wee wanawake hatukaagi na mambo ujue lazima tuongee. Wanaume ndio mna kawaida ya kutoongea lkn mpaka watu wanalalamika ujue hali si hali uvumilivu umefika kikomowanawake si wepesi wa kueleza hisia zao kama ilivyo kwa wanaume (wanaumia ndani kwa ndani ndo maana mwisho wa siku wanajiripua)


poleni sana wababa wote mnaoteseka.Hehee kuna mahala unaweza ukanasa ukajenga na kibanda. Yaan shida ya haya makitu huwa hayatabiriki.ndo maana tunasema 'hit and run'au sio mzee...