Chouder
JF-Expert Member
- Mar 29, 2023
- 558
- 876
Wanaume wenyewe wa kupiga mizinga wako wapi?mkiombwa ka laki tu mnatangazaaa... kila siku mnalilia ni dalili ya kukosa pesa...endeleni kupambana huko tunakoelekea tutaanza kuwahudumia...girls runs the World ndo mtajui hamjuimnatupiga mizinga sisi tuna 'hit and run' [emoji23]