ommky
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 458
- 225
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mtu aliyepitia Seminari Za Kikatoliki kutoka kidato cha kwanza mpaka Six anaruhusiwa kuapply hapo?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mtu aliyepitia Seminari Za Kikatoliki kutoka kidato cha kwanza mpaka Six anaruhusiwa kuapply hapo?
Anaruhusiwa na anafursa sawa na watu wengine kulingana na sifa zake kitaalumaMtu aliyepitia Seminari Za Kikatoliki kutoka kidato cha kwanza mpaka Six anaruhusiwa kuapply hapo?
Sikusudii diploma hiyo ni ada ya degreeLaki ndio bei ya chini kwa Diploma
Na je wanaosoma chuo chA madini ada laki 5 kwa mwaka watasemaje
Kwa sasa bado hakuna course za kilimo nduguKuna kozi za kilimo hapo mkuu...?
Bado hatuna masters program kwa sasa ndugumna programrbya master yoyote
Hiko chuo kanjanja namba moja nchini. Sijui TCU mpaka leo kwanini kinakilea chuo hiki. Nenda ndugu yangu kavae hijab na extenal examiner wa mitihani utakayofanya hapo ni shehe wa darasa la saba!
Acha tabia yako mbayaHiko chuo kanjanja namba moja nchini. Sijui TCU mpaka leo kwanini kinakilea chuo hiki. Nenda ndugu yangu kavae hijab na extenal examiner wa mitihani utakayofanya hapo ni shehe wa darasa la saba!
*** you.Hiko chuo kanjanja namba moja nchini. Sijui TCU mpaka leo kwanini kinakilea chuo hiki. Nenda ndugu yangu kavae hijab na extenal examiner wa mitihani utakayofanya hapo ni shehe wa darasa la saba!
Kama wewe in mhitimu wa kidato cha 6 au diploma holder unahitaji chuo chenye elimu bora na ya bei yenye nafuu kuliko vyuo vyote Tanzania MUM ndio chaguo sahihi
Million moja na laki mbili tuu ndio ada na shilingi 80000 kwa ajili ya usajili inatosha kusoma .....
Unaweza kulipa nusu na nyingine ukamalizia baadae
Karibuni wote
Fomu za maombi zinapatikana bure bila malipo yeyote
Tafadhali nipigie
0719749032
0621077936
Kwa form four tunazoprogram za certificate ndipo ataweza kuendelea na diploma... Naomba nitafute kwa 0621077936 nikupe maelekezo zaidiKwa mtu aliyemaliza form four 2006 masomo ya art anaweza soma chochote cha diploma
Sawa masterKwa sasa bado hakuna course za kilimo ndugu
Karibu tena ndugu. Lakini hatuna hilo jina kwenye orodha ya wahadhili wetuHiki chuo bwana nilishangaa sana kumkuta eti yule shehe Arif wa islamic foundation naye ni lecturer wakati ni form four aliyepata zero pale forest.
Mtoa posti
Ungeweka na aina ya kozi mnazofundisha.
Ili zitushawishi kusoma hapo chuoni kwenu.