Wanaotaka kusoma Muslim university of Morogoro

Nkanazina

Member
Joined
Mar 4, 2016
Posts
18
Reaction score
4
Kama wewe in mhitimu wa kidato cha 6 au diploma holder unahitaji chuo chenye elimu bora na ya bei yenye nafuu kuliko vyuo vyote Tanzania MUM ndio chaguo sahihi. Million moja na laki mbili tuu ndio ada na shilingi 80,000 kwa ajili ya usajili inatosha kusoma.....
Unaweza kulipa nusu na nyingine ukamalizia baadae
Karibuni wote
Fomu za maombi zinapatikana bure bila malipo yeyote
Tafadhali nipigie
0719749032
0621077936
b4a9e1d20b6dd225e82d0723b6cd7525.jpg
 
Ina maana kozi zote za hicho tuition fees ni moja ?
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Mdogo ana diploma ya sheria anaweza kusoma degree bila kupita six
 
Mimi me msanii mchanga na kama ujuavyo mavazi na mikato ya kisanii ilivyo je naruhusiwa hapo
 
Kama wewe in mhitimu wa kidato cha 6 au diploma holder unahitaji chuo chenye elimu bora na ya bei yenye nafuu kuliko vyuo vyote Tanzania MUM ndio chaguo sahihi
Million moja na laki mbili tuu ndio ada na shilingi 80000 kwa ajili ya usajili inatosha kusoma .....
Unaweza kulipa nusu na nyingine ukamalizia baadae
Karibuni wote
Fomu za maombi zinapatikana bure bila malipo yeyote
Tafadhali nipigie
0719749032
0621077936
mmhh
 
Hiko chuo kanjanja namba moja nchini. Sijui TCU mpaka leo kwanini kinakilea chuo hiki. Nenda ndugu yangu kavae hijab na extenal examiner wa mitihani utakayofanya hapo ni shehe wa darasa la saba!
 
Vyuo vya dini huwa na dressing code-na sioni hii ina uhusiano gani na ukanjanja. Huyo shehe wa darasa la saba ana examine paper gani? Weka evidence tukuelewe maana kuna wengine wakisha ona MUM au ST. wanaleta mambo ya kufikirika.
 
Hiko chuo kanjanja namba moja nchini. Sijui TCU mpaka leo kwanini kinakilea chuo hiki. Nenda ndugu yangu kavae hijab na extenal examiner wa mitihani utakayofanya hapo ni shehe wa darasa la saba!
Wewe ni mnafiki na hujui unachokizungumzia na unatawaliwa zaidi na taarifa za mitaani
 
Kama wewe in mhitimu wa kidato cha 6 au diploma holder unahitaji chuo chenye elimu bora na ya bei yenye nafuu kuliko vyuo vyote Tanzania MUM ndio chaguo sahihi
Million moja na laki mbili tuu ndio ada na shilingi 80000 kwa ajili ya usajili inatosha kusoma .....
Unaweza kulipa nusu na nyingine ukamalizia baadae
Karibuni wote
Fomu za maombi zinapatikana bure bila malipo yeyote
Tafadhali nipigie
0719749032
0621077936
Laki ndio bei ya chini kwa Diploma

Na je wanaosoma chuo chA madini ada laki 5 kwa mwaka watasemaje
 
Hiko chuo kanjanja namba moja nchini. Sijui TCU mpaka leo kwanini kinakilea chuo hiki. Nenda ndugu yangu kavae hijab na extenal examiner wa mitihani utakayofanya hapo ni shehe wa darasa la saba!
Hapa umelenga kututukana waislam kuwa hatujasoma,tupo tumesoma kijana tena ukienda MUM pale utawakuta wasiotoa Degree za chupi kama UD na UDoM,pale wanasimamia maadili na ndio silaha yao
 
Hiko chuo kanjanja namba moja nchini. Sijui TCU mpaka leo kwanini kinakilea chuo hiki. Nenda ndugu yangu kavae hijab na extenal examiner wa mitihani utakayofanya hapo ni shehe wa darasa la saba!
Nawasiwasi na upeo wako...kimwili..kiakili... nakitabia... [HASHTAG]#dunderheaD[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom