Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,675
- 18,553
Asante mkuu ngoja tuzungumze na vijana wetu.
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Vyuo vya dini huwa na dressing code-na sioni hii ina uhusiano gani na ukanjanja. Huyo shehe wa darasa la saba ana examine paper gani? Weka evidence tukuelewe maana kuna wengine wakisha ona MUM au ST. wanaleta mambo ya kufikirika.
Hiki chuo bwana nilishangaa sana kumkuta eti yule shehe Arif wa islamic foundation naye ni lecturer wakati ni form four aliyepata zero pale forest.
Hatuna lecturer mwenye jina linalofanana na hiloNkanazina hilo unalijibuje la Arif, ni kweli
Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
Nilitaka alietoa mchango atuhahakishie hicho alicho andika ili tujiridhishe na andiko lake.Nadhani hiyo ya shehe examiner inaweza ikawa kweli maana elimu ya dini ni madrasa bila formal educ na kweli wanajua elimu ya dini
Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
Sasa Degree za chupi pale zitoke wapi wakati mademu yote yanayosoma hapo mabaya utafikiri kunguni wa Zanzibar waliotoka Oman.Hapa umelenga kututukana waislam kuwa hatujasoma,tupo tumesoma kijana tena ukienda MUM pale utawakuta wasiotoa Degree za chupi kama UD na UDoM,pale wanasimamia maadili na ndio silaha yao
Ndio akili yako inavyokutuma, wala si kosa lakoSasa Degree za chupi pale zitoke wapi wakati mademu yote yanayosoma hapo mabaya utafikiri kunguni wa Zanzibar waliotoka Oman.
Aisee ingawa mm sio mwislamu Ila sikuungi mkonoSasa Degree za chupi pale zitoke wapi wakati mademu yote yanayosoma hapo mabaya utafikiri kunguni wa Zanzibar waliotoka Oman.
Wakristo wanaruhusiwa hapo na mnatoa michepuo gani
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Wanaruhusiwa karibu![]()
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Hapa umelenga kututukana waislam kuwa hatujasoma,tupo tumesoma kijana tena ukienda MUM pale utawakuta wasiotoa Degree za chupi kama UD na UDoM,pale wanasimamia maadili na ndio silaha yao