collezione
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 352
- 179
vipi kama mtu anakuwa hana uwezo wa kujilipia kusoma huko,,, vipi inawezekana kupata scholarship? lakini vipi kwa ngazi ya masters?
Kiswahili kigumu kweli!!India ni pazuri kwa medicine na masuala ya IT tu.huko kwenye fani nyingne bora mtu upate hata diploma ya hapa hapa bongo tu.over
India ni pazuri kwa medicine na masuala ya IT tu.huko kwenye fani nyingne bora mtu upate hata diploma ya hapa hapa bongo tu.over
India ni pazuri kwa medicine na masuala ya IT tu.huko kwenye fani nyingne bora mtu upate hata diploma ya hapa hapa bongo tu.over
Hivi ni lazima uchangie thread hii!!?? ushamba mwingine huu unajichoresha tu hapa jamvini.Kwa hyo unawashauri watu wote wanaoliwa vichwa bongo wakimbilie huko india co?maana cjawah ona kipanga anae faulu fresh afu akakimbilia kusoma huko,most of them huwa ni failures ndo wanakimbilia india,cjui kwa nin huwa iko hvo!
Hivi ni lazima uchangie thread hii!!?? ushamba mwingine huu unajichoresha tu hapa jamvini.
Kwa hyo unawashauri watu wote wanaoliwa vichwa bongo wakimbilie huko india co?maana cjawah ona kipanga anae faulu fresh afu akakimbilia kusoma huko,most of them huwa ni failures ndo wanakimbilia india,cjui kwa nin huwa iko hvo!
Mimi ni Form four Graduate & am very proud of it!vp mkuu,uliliwa kichwa na necta eeeh?
Sasa mpaka mtu asome huko awe na uwezo wa kiasi gani cha ada na mambo mengneHaha, mdogo angu amemaliza Alpha high school alipata div 1 pnt 4 PCM.
Anasoma india and Yuko telecomunication mwaka wa 2.
Ndugu sio watu wote wanaofeli wanakuja uku. Mimi nichofanya hapa ni kuwasaidia watu ambao hawajui another option, and this option could be better for them. Mbona wako wanafunzi wenye div 1 wengi tu. Achana na huyo mdogo angu.
And kuhusu kufeli, wapo watoto wa wakubwa walipata div 0 na wengine ni washikaji zangu wapo USA now. We unafikiri wote wanaoenda ulaya wamefaulu??? Au wana div 1.
Shame on you man