Na sababu nyingine ni sababu hawafichi jambo lolote ndio shida serikali aitaki watu wajue mambo yaoYahii Hii sijui ni Inch ya Washamba?!!! walikuwa wapi mda wote? yani baada kuona wana cavarage nzuri ndio wanazuiliwa? je huo utaratibu utakoka lini? mnataka vijana wajiajiri wakifanya hivyo mnawakata mikono. shenzi typ
Bahati nzuri Tanzania bado ni nchi yangu; so nina haki zote kama alizo nazo Mtanzania mwingine yeyote.Kinachokufanya ushinde kwenye mitandao ya Tanzania nini? Jiweke busy kwenye mitandao ya huko uliko ndio inakuhusu
Kwa maandishi haya unakosa uHALALI wa kulalamika....Sababu waliochagua huyo unaita CCM no2 wana HOJA wakiamini ameingilia Mlango mwingine sasa we we unafanya jambo lile lile ukitegemea Matokeo tofauti ni Sawa? wee kubali uliwalisha BongoLALA matango PORI sasa unatafuta namna yakutubu....Hivi huo wimbo hautakwisha; kwani unafikiri mwana CCM yule mwingine angeingia madarakani ingekuwa tofauti? Miye mbona bado naunga mkono mabadiliko tunayoyaona lakini haina maana niliegesha akili zangu halafu nikaondoka mwenyewe kwenda kuunga mkono. Unataka kuniambia wote wanaounga mkono upinzani wanaunga mkono kila kitu na kila kitu kinachofanywa na mtu anayeitwa mpinzani. Naweza kumuunga mkono Magufuli bila kumaanisha naunga mkono kila kitu kinachofanywa na serikali yake. Hii ndio maana ya demokrasia.
Sasa ndugu kama unaona ni Siasa za Kawaida ulalamishi wa nini??? Siutulie tusubiri Viwanda?Zungumza kama mtu mwenye akili siyo vipepeo; unafikiri kweli kabisa angeingia mgombea yule Tanzania ndio ingekuwa tofauti; mko tayari kuendelea na ufisadi ili muishi bila kunung'unika? tuliikataa hiyo gharama kuilipa sisi wengine.. haya mengine ni siasa za kawaida tu
Kisa musione bunge kwenye clipsYaaani ukasajili online tv kwa TCRA....kisa na mkasa!?? Ushuzi
Ni mwaka wa shetaniHivi mwaka 1961 maisha yalikuwaje kwa waliokuwepo?
leo nimeota ndoto naonyeshwa huo mwaka sijajua inamaanisha nini.
Mnisaidie jamani kutatua ndoto hii, pia mnisamehe kwa kuota.
Akina Zitto walionya kuwa hii sheria itaenda kugusa hadi mitandao ya jamii, kubana uhuru wa watu ktk mitandao ya kijamii, Wabunge wa CCM wakatetea kuwa haihusu Mitandao ya jamii bali inahusu mainstream media!
Mnaona sasa kinachotokea!!!
HIli wengi tuliliona mbali lakini watu hawakutaka kutusikiliza; kwani bado walitegemea CCM kukata mkono uliokalia. Mambo yote ambayo watu wanalalamika sasa yangekuwa si kivile kama upinzani ungeshinda on its own terms. Unfortunately, uli compromise with corruption na ukajivuruga.
Nchi hii ya ajabu sana,
Yaani wanataka waone kinachowafurahisha wao wanata wa-control kila kitu,
Cha ajabu na kibaya kabisa kuna watu watawaunga mkono kuhusu suala hili