Mfano ulio utoa siyo sahihi kwenye hili. Safari ina nyingi tabu hakuna anaye jua kama atafika salama au la. Kwahiyo suala la tahadhari ni muhimu sana, tofauti na hili la mantiki. Mantiki kama elimu tayari ina misingi yake na namna ya ufikiaji wa hitimisho upo. Sasa unapo uliza swali kama hilo unaonekana huna uhakika na fani hiyo je huna uhakika na mantiki ? Sasa jifunzeni kutoa mifano.Kwa hiyo kama hakubadilishi chochote ndio tupuuze swali?
Kwamba kwasababu ajali ya gari iliyotokea juzi imeuwa watu wote wakiwemo waliofunga seat belt, kwa hiyo unashauri watu wapuuze uvaaji wa seat belt kwenye magari kwasababu kuna watu walivaa na bado wakafa?
unakubali mantiki inaweza kututenganishia mambo, tukajua huu ukweli, na huu uongo?
Jibuni maswali niliyo wauliza, swali lenu halibadilishi chochote, kukubali au kutokubali.
Nitakujibu tena baada ya nyinyi kujibu maswali yangu.
Shukrani.