Wanaopinga uwepo wa Mungu ni wakaidi

Wanaopinga uwepo wa Mungu ni wakaidi

Duuuu umeongea fact tupu Hawa wajinga hudhani Dunia ni special sana na hizo nadharia za Mungu hubase hapa hapa tu Sasa unajiuliza kama huyo Mungu wao yupo Ndio ashindwe kujua formula za ulimwengu zilivyo Mpaka atoe hekayq za kijuha kwenye maandiko aliyoshisha yeye (according to Qureshian mythology/Islam)
Allah claims jua huzama kwenye chemichemi za matope
WTF!
Wengi wanaona special labda kwa vile hawaoni kingine. Yaani ni kama special by absence of alternatives! Sema kusoma, kuelewa na kudadisi ndio msingi wa kuvuka wimbi la hizi imani potofu. Huko shuleni unakuta mwalimu anafundisha bigbang lakin mwisho wa kipindi maswali yakizidi anawaambia mungu ndio kaumba dunia usitake kuelewa sana uongo wa wazungu! Masuala mengineo ya msingi kama evolution au geology ndio usiseme wanafundisha bora liende. Mtu anasoma bila kuelimika.

Nimetafuta sana nadharia zinazohoji haya mambo ya imani au yahusuyo field za sayansi kwenye lugha yetu... kiukweli nimekosa. Wazungu wana vitabu hadi vya watoto wadogo kabisa vinavyogusia haya mambo. Kweny lugha yetu utakuta mambo ya maigizo tu... hadi sekondari sana sana utapata riwaya za mapenzi. Wenzetu wanaandika na kufanya filamu zinazopanua uelewa halisia as opposed to myths na visa na mikasa ya maisha kama mapenzi na familia. Legendary films kwetu Nsyuka kwann watu wasiwe na mtazamo wa hizo imani? Bila ya exposure kuhoji na mtazamo tofauti ni rahisi kumezwa wingi wa hoja za kiimani hata kama ni za hovyo sana. Wenzetu wana filamu zinazoonyesha watu kuishi sayari zingne, bado haijawezekana lakini inafikirisha kuwaza mbele zaidi. Ipo siku, kama tusipojilipua na silaha za maangamizi tukaisha, watu wataishi sayari za nje au kwenye miezi ya sayari zingine. Huwa najiuliza hizi hadithi za uongo zitahamishiwaje huko. Lakini kwa ubingwa wa kupimdisha mambo kuna watu wata export mielezo yao ya kipuuza

Kuhoji muhimu sana kwenye kila kitu ila kwetu mmmh! Ni kama kuhoji hakupo kweny jamii zetu, kuna mila ya mipaka fulani hivi. Mm binafsi nilikuwa sijui kama kuna watu wasiofata hizi imani hadi nilipoangalia nje. Nikafurahi, maana nilikuwa na dhana nina shida sehemu. Mbona siamini na kuabudu kwa uaminifu kama watu walionizunguka? Kumbe mawazo yanayotawala yanaweza kukufanya kudhani hakuna mbadala au mawazo chanya zaidi.

Oh kufanikiwa ni ibada, sio kweli. Wale wa waganga nao wanapoteza muda na pesa tu, wale wa sadaka, maji ya upako au mafuta nao sijui wanawazaga nn... Balaa lolote mipango ya mungu, sio kweli. Oh majini sijui popobawa mapepo shetani vibwengu, vyote dhana potofu.

Oh nimeota ndoto lazima itakuwa inaashiria kitu au ina maana fulani, uongo mtupu.

Oh jaribu bahati yako cheza utashinda, ujinga nao... unatajirisha zaidi wenye nazo!

Mambo ni mengi sana sema hatujadili tu.
 
Daaaa aisee umeandika mambo ya msingi Sana mkuu,
Mimi mwanzo nilipoamua kutafiti na kusoma mawazo nje ya Kile tulivyoaminishwa nilishtuka Sana,
Nikaanza kupata hamasa ya kufuatilia Historia na mwanzo wa Historia ya mwandamu na civilization za kale kama Sumerians, Assyrian, Babylon, Egyptian, Kush, Aztec, Maya, Peru, Indus valley NK Kitu kilichonishangaza baadae ya kusoma tablets Zao nikashangaa Sana kuona kumbe hii Dunia ni zaidi ya niijuavyo au waijuavyo watu wengi hasta huku Dunia ya tatu,

Nikaja jua kumbe Kuna maandiko ya kale na makongwe yenye kuelezea mwanzo wa Imani za kuamini Mungu/Miungu Tena wakitajwa Kwa ufasaha na maandiko karibia yote ya Dini za zama hizi wamecopy huko Karibu yote na hawajatoa credit ya source ila walichofanya ni kupindisha visa tu na ukweli halisia

Mfano tablets za Accient Sumerian zinawataja Viumbe kama Annunaki waliotoka sayari za juu kuja duniani Tena vinaenda mbali na kusema hao walikuja na Spaceships na kuanzisha Machimbo ya Dhahabu ikiwa kama metal ya mhimu huko kwenye sayari Zao,
Pia zinatoa taswira Zao kua hao viumbe ni Advanced katika science and technology wakiwa na mwonekano kama watu ila Wana mbawa kama eagle,

SUMERIAN tables na michoro ya kale kwenye clay tablets na miamba ikiwaonesha ni more powerful Hapo kale Mpaka kufikia kuitwa miungu,
Hio nadharia ya Miungu inakuja kupata Nguvu
Na baadae kwenye
Dini za kisasa naona wale viumbe wamepewa jina la malaika na wametoka MBINGUNI ambako inadaiwa Kuna mkuu wao anaitwa Mungu,
Huyo Mungu ana character ya viumbe wenye mamlaka kubwa na advanced akielezewa kuishi kwenye kiti chenye mamlaka kuu na nguvu na akiongoza kundi la viumbe mbali mbali wakiwemo wale wenye mabawa ambao huku duniani wanaitwa malaika na Dini za kisasa

Hiyo ikanifanya nianze kutafiti ilikuaje maandiko ya kale kuliko hizo Dini wanazodai ni za Mungu ziwarleze viumbe ambao wanafanana character na hizi Abrahamic religion?

Ukitafiti Kwa kina utagundua hizi Dini formation yake umekaa kijanja janja na hazijitoshelezi zaidi ya kucopy visa na Mikasa ambayo hata walioandika hawana uhakika na wanachokisimulia
Mfano wakitumia mtu wa pili au hearsay kuandika habari za anayedaiwa ni muumba wa ulimwengu yaani Mungu!
 
Hii haiwezi kuwa sababu. Sasa sisi tutakuuliza umejuaje kama hayupo ? Kwenye jibu la swali hili ndiyo kuna sababu ila hiyo uliyodai si sababu kiuhalisia bali ni mpangilio mwepesi wa sentensi isiyo kamili, yaani hiyo ni sehemu ya sentensi yenye kuihitaji kielezi kufidisha sentensi kamili au ili iwe kamili.

Kingine hii si dhana bali ni uhalisia, dhana unasema wewe kutokana na uchachefu wako wa maarifa juu ya jambo hili.

Huu mfano si sahihi, sababu unalinganisha vitu viwili visivyo lingana wala kukaribiana. Una tatizo kubwa la kulinganisha mambo.

Naomba uthibitishe ya kuwa hizi ni stori tu za watu.
Kwanza kabisa, unakubali mantiki inaweza kututenganishia mambo, tukajua huu ukweli, na huu uongo?
 
Jibu swali kwanza nililo kuuliza. Kingine sijaona haja ya wewe kuniuliza swali hilo, sababu wewe kama unakubali hilo inatosha, unachotakiwa wewe kuonyesha uwezo wa "Mantiki" katika kutenganusha mambo na kujua huu ni ukweli na huu ni kinyume chake hasa katika hili.

Tuendelee....
 
Kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo, hawezi kuachia viumbe wake aliowaumba mwenyewe katika dunia yake mwenyewe wachomwe moto.
Weww umejuaje hilo ? Kuna muda huwa naona akilo yako haifanyi kazi vizuri kwa maana una uwezo mdogo sana wa kufikiri, unaposema hii mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote na hilo unalo ona linafanyika ni katika uwezo wake ndiyo maana ameacha ba kuruhusuifanyike.

Sasa sijui shida hapo iko wapi ?
Hilo litathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Kivipi litathibitisha hayupo wakati yeye ni mjuzi wa kila kitu, upendo wote na uwezo wote ? Hivi huwa unaelewa unachokiandika na kukitafakari ?
 
Weww umejuaje hilo ? Kuna muda huwa naona akilo yako haifanyi kazi vizuri kwa maana una uwezo mdogo sana wa kufikiri, unaposema hii mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote na hilo unalo ona linafanyika ni katika uwezo wake ndiyo maana ameacha ba kuruhusuifanyike.

Sasa sijui shida hapo iko wapi ?

Kivipi litathibitisha hayupo wakati yeye ni mjuzi wa kila kitu, upendo wote na uwezo wote ? Hivi huwa unaelewa unachokiandika na kukitafakari ?
Unajua Allah kabla hujazalia ukiwa unatungwa mimba anakuandikia kabisa wewe ni kiberiti au bikra 72 ,
Yani mpaka mtoto mchanga akifa inajulikana wazi ni kiberiti au bikra 72
 
Daaaa aisee umeandika mambo ya msingi Sana mkuu,
Mimi mwanzo nilipoamua kutafiti na kusoma mawazo nje ya Kile tulivyoaminishwa nilishtuka Sana,
Nikaanza kupata hamasa ya kufuatilia Historia na mwanzo wa Historia ya mwandamu na civilization za kale kama Sumerians, Assyrian, Babylon, Egyptian, Kush, Aztec, Maya, Peru, Indus valley NK Kitu kilichonishangaza baadae ya kusoma tablets Zao nikashangaa Sana kuona kumbe hii Dunia ni zaidi ya niijuavyo au waijuavyo watu wengi hasta huku Dunia ya tatu,

Nikaja jua kumbe Kuna maandiko ya kale na makongwe yenye kuelezea mwanzo wa Imani za kuamini Mungu/Miungu Tena wakitajwa Kwa ufasaha na maandiko karibia yote ya Dini za zama hizi wamecopy huko Karibu yote na hawajatoa credit ya source ila walichofanya ni kupindisha visa tu na ukweli halisia

Mfano tablets za Accient Sumerian zinawataja Viumbe kama Annunaki waliotoka sayari za juu kuja duniani Tena vinaenda mbali na kusema hao walikuja na Spaceships na kuanzisha Machimbo ya Dhahabu ikiwa kama metal ya mhimu huko kwenye sayari Zao,
Pia zinatoa taswira Zao kua hao viumbe ni Advanced katika science and technology wakiwa na mwonekano kama watu ila Wana mbawa kama eagle,

SUMERIAN tables na michoro ya kale kwenye clay tablets na miamba ikiwaonesha ni more powerful Hapo kale Mpaka kufikia kuitwa miungu,
Hio nadharia ya Miungu inakuja kupata Nguvu
Na baadae kwenye
Dini za kisasa naona wale viumbe wamepewa jina la malaika na wametoka MBINGUNI ambako inadaiwa Kuna mkuu wao anaitwa Mungu,
Huyo Mungu ana character ya viumbe wenye mamlaka kubwa na advanced akielezewa kuishi kwenye kiti chenye mamlaka kuu na nguvu na akiongoza kundi la viumbe mbali mbali wakiwemo wale wenye mabawa ambao huku duniani wanaitwa malaika na Dini za kisasa

Hiyo ikanifanya nianze kutafiti ilikuaje maandiko ya kale kuliko hizo Dini wanazodai ni za Mungu ziwarleze viumbe ambao wanafanana character na hizi Abrahamic religion?

Ukitafiti Kwa kina utagundua hizi Dini formation yake umekaa kijanja janja na hazijitoshelezi zaidi ya kucopy visa na Mikasa ambayo hata walioandika hawana uhakika na wanachokisimulia
Mfano wakitumia mtu wa pili au hearsay kuandika habari za anayedaiwa ni muumba wa ulimwengu yaani Mungu!
Kweli kabisa. Dini zimetumika na kuigwa sana nyakati tofauti. Saa ingine kisiasa na muda mwingine kiuchumi. Mfano viongozi waliotumia mawazo ya umungu kujipa uhalali wa kutawala na kuwagawa wafuasi. Saa ingine hata kuwafanya watu wakubali kuiacha (forego) hii dunia, wahenye tu na kutesekawakati wengne wakila kuku kwa mrija, kwa kigezo ni njia tu. Oh dunia tunapita. Kwetu kwa mungu baba(kwann sio mama?). Wajinga waliwao. Kiuchumi wengi wamenufaika na kuendelea hadi leo kwa sababu ya dini. Wazungu au waarabu huko wamepumbazwa na hizi dini wengine wanakufa hadi kesho wakizipigania wakiamini upande pinzani ni wa shetani na umepotea. Wakati wanapigana makampuni yanayotengeneza silaha, magari vita na ndege yanapata faida. Kwetu Afrika shida hii imeikumba sana Jamhuri ya Afrika ya Kati, kuua mwenzio kwa kigezo cha dini... wakati wazungu wanachota madini, wachina wanapitisha pembe za ndovu. Dini hazina maana.

Wale wa kwa Mwamposa, Kina Gwajima na mzee wa enzi Kakobe yale yale... peleka shida kanisani urudi nazo ila acha kidogo kitu.

Bila janja janja uongo hauendi. Walipogundua hadithi fulani ziliteka hisia na mawazo ya watu wa zaman wakazifanyia "chabo" kwa kubadili vitu vidogo hapa na pale.

Dini za sikuhizi zina uhusiano wa wazi na za zamani. Nilimpa mfano jamaa fulani wa imani ya kiislam kwamba mtume wao na wafuasi wake waliiga mambo mengi ya dini ya imaya ya wapersia kabla haijaanguka na kuwa dhaifu iliyoitwa Zoroastrianism. Miji mikubwa ya kale kama Babylon ilikuwa himaya ya kizoroati. Hao wana mavazi ya kujistiri, kuswali mara 5, walikuwa watoa sadaka wakubwa, miungu yao waliyokuwa wanaiamini na mahekalu yao kuhiji maeneo tofauti mashariki ya kati hadi India. ISIL ilikuja kubomoa baadhi ya haya majengo. Ukiangalia hizi nguzo hazina tofauti sana na huu uliyokuja kuitwa ujumbe wa mwisho. Suala la wao kuwa miungu mingi ni utofauti mdogo ambao ni sawa kati ya wote wenye dini na wasio na dini. Tofauti ni moja lakini kubwa kweli kweli. Kwahyo waislam na wazoro kundi moja. Hakuna tofauti ya maana. Yaan mtume aliisoma na kuihamisha kama waarabu wenzie walivyojifunza biashara zao na mambo mengine ya wapersia. Nikahoji mungu huyu wa kiislam ni mwingne au karudia mfumo kwa kubadili vijambo vidogo? Jibu nililopewa halina mashiko hata kdogo. Unaanza kushushiwa aya na hadithi alizokaririshwa(sehemu kubwa ya dini ni kukariri kisichoeleweka), mivitabu yao isiyokuwa na PEER REVIEW. Ukisema yaliyoandikwa hayajahakikiwa kama ni kweli au la na mengne hadithi za kuiga, basi ni mkaidi.

Mtu ashawahi kuniuliza naishije bila imaniyaani indoctrination imekolea hadi kuishi bila hizi imani ni unthinkable!
 
Jibu swali kwanza nililo kuuliza. Kingine sijaona haja ya wewe kuniuliza swali hilo, sababu wewe kama unakubali hilo inatosha, unachotakiwa wewe kuonyesha uwezo wa "Mantiki" katika kutenganusha mambo na kujua huu ni ukweli na huu ni kinyume chake hasa katika hili.

Tuendelee....
Kwanza sema unakubali au hukubali.

Maana nisije kutumia mantiki wakati wewe huikubali.

Nataka nianze polepole, ngazi kwa ngazi, ili nifike huko unakotaka kwa makubaliano.

Unakubali mantiki inaweza kututengabishia mambo, tukajua hili la kweli na hili la uongo?
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, kungekuwa hakuna mjadala juu ya uwepo wake.

Angejiweka wazi kiasi kwamba kusingekuwa na haja ya mjadala.

Na wala kusingekuwa na msahafu hata mmoja wa kumuelezea Mungu huyo.

Ukishaona watu wanabishana kuhusu uwepo wa Mungu huyo, ukishaona Mungu huyo anasemwa kashusha vitabu watu wamjue, jua hapo unapigwa changa la macho.

Mungu huyo hayupo.

Angekuwepo, kwa upendo wake, ujuzi wake na uwezo wake, asingefanya ukatili wa kuumba dunia yenye ubishi mwingi kuhusu uwepo wake mpaka watu wanauana sana kwa kubishania habari zake.

Angejiweka wazi kwa watu wote kwa namna ambayo hakuna ambaye angewez kubisha kuhusu uwepo wake.
 
Huko Saudi Arabia wametumia sheria za changa la macho (Sharia law) kuchinja watu 81 hadi sasa mwaka huu 2022... projection mwaka huu watavunja rekodi kwa 501 executions. Mwezi wa mfungo unakuja vifungo na hukumu za kifo hupanda zaidi ya 100%. Bado kuna maeneo duniani yaliyoshikwa na hizi imani tungekuwa tunajitoa muhanga hapa kwa kuhoji uwepo wa mungu au kwenda kinyume na sheria zake.

Ningekuwa naishi huko ningekuwa kiongozi wa ibada wallah, maswali yote piga roba yanarudi tumboni, mstari wa mbele akitoka imamu ungenikuta hapo na bonge la kanzu na kilemba safi kabisa!
 
Ukiona watu wanampigania sana Mungu kwa sheria, ubishi, kuua watu, ujue huyo Mungu hayupo.
 
Unajua Allah kabla hujazalia ukiwa unatungwa mimba anakuandikia kabisa wewe ni kiberiti au bikra 72 ,
Yani mpaka mtoto mchanga akifa inajulikana wazi ni kiberiti au bikra 72
Hoja yako iko wapi ?
 
Kwanza sema unakubali au hukubali.
Naona jambo limekushinda hili. Unaanza kupoteza muda kwenye hakuna.

Katika mjadala huu hili siyo sharti. Maana yake kama Mantiki inaweza nikubali au nisikubali haitabadilisha chochote na kama haiwesi nikubali ama nisikubali haibadilishi chochote. Kwa maana nyingine umeuliza swali la kipuuzi lisilo kuwa na maana.
Maana nisije kutumia mantiki wakati wewe huikubali.
Kuikubali na kutokuikubali kuna badilisha nini ?

Hili najua huna uwezo nalo, ndiyo maana unapoteza muda.
Nataka nianze polepole, ngazi kwa ngazi, ili nifike huko unakotaka kwa makubaliano.
Hili huna uwezo nalo, liko wazi ungekuwa unaweza usingeuliza swali lisilo na maana.
Unakubali mantiki inaweza kututengabishia mambo, tukajua hili la kweli na hili la uongo?
Jibu swali nililo kuuliza. Umejuaje kama Mola hayupo ?

Nakushauri mada za kuhusu Mola achana nazo huna uwezo wa kuzijadili unapokutana na watu kama sisi. Badala ya kujibu swali unauliza swali lisilo kuwa na maana.

Kazi yangu nimemaliza.

Shukrani.
 
Ukiona watu wanampigania sana Mungu kwa sheria, ubishi, kuua watu, ujue huyo Mungu hayupo.
Unajuaje kama Mola hayupo kupitia hayo ? Au ndiyo umetumia Mantiki kufikia hitimisho hilo ? Yaani kupitia hayo yanakujulisha vipi kama Allah hayupo ? Tuelezee tukuulize maswali na uyajibu, usikimbie kama ilivyo kawaida yako.

Inaonekana hujui hata lengo la wewe kuwepo duniani ni nini ? Na hujui kweli.

Unaandika ujinga mpaka watu wenye akili wanakucheka.
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, kungekuwa hakuna mjadala juu ya uwepo wake.
Msingi wa hoja zako umemili katika dhana na uchachefu wa maarifa.

Kila mwanadamu ameumbwa kwa umbile ya kukubali uwepo wake na kuamini. Kisha wazazi wake au walezi wake na jamii inayomzunguka inamuongoza au kumuharibu. Leo hii ukimkuta mtu ambaye hajamezeshwa fikra chafu ukimueleza habari za Mola hawezi kuzipinga sababu akili yake bado iko salama.
Angejiweka wazi kiasi kwamba kusingekuwa na haja ya mjadala.
Allah amejiweka wazi kwa uwazi ambao mchana wake ni sawa usiku wake hapotei humo ila mwenye kutaka, ndiyo maana wakana Mungu huwa mnaandika vitu vya kipumbavu mpaka sisi wenye akili tunawacheka.

Mjadala unakuja kwa nyinyi ambao hamna maarifa mnapinga juu ya mambo msiyo yajua. Mijadala hii isingekuwepo endapo nyinyi wajinga mngekuwa mnataka kujifunza na kufikiri kwa usahihi.

Nakuja kuendelea hapa nilipoishia.
 
Jibu swali kwanza nililo kuuliza. Kingine sijaona haja ya wewe kuniuliza swali hilo, sababu wewe kama unakubali hilo inatosha, unachotakiwa wewe kuonyesha uwezo wa "Mantiki" katika kutenganusha mambo na kujua huu ni ukweli na huu ni kinyume chake hasa katika hili.

Tuendelee....
kwasababu huyo ulikuwa umemuuliza maswali na ni msimaml wako huwezi kujibu swali lake mpaka ajibu maswali yako

Basi wacha hili swali niliulize mimi ambaye hujaniuliza swali lolote ambalo sijakujibu

unakubali mantiki inaweza kututenganishia mambo, tukajua huu ukweli, na huu uongo?
 
Umesoma nilicho kiandika ? Haya ndiyo madhara ya kufata kichwa mchunga, nilivyo mimi ni tofauti sana na nyinyi, mimi nimeonyesha kutokuwa na ulazima wa mimi kuulizwa swali na nimeonyesha ya kuwa swali lake ambalo wewe umebeba kichwa mchunga halina maana yoyote. Yaani kukubali au kukataa hakubadilishi chochote.

Yaani mkokubali nyinyi inatosheleza, mnachotakiwa ni nyinyi muonyeshe uwezo wa Mantiki kujibu swalo hilo.

Kojana usiwe unakurupuka.
 
Wanaokana mungu huwa wanahoja mbalimbali katika kupinga uwepo wa mungu, pia huwa wanakosoa mafunzo ya dini ili kutilia mkazo zaidi katika hilo.

Lakini ukweli ni kwamba, sio kama hoja zao zinathibitisha kutokuwepo kwa mungu, hapana.
Bali hoja zao zinathibitisha kuwa wao ni wapingaji, hivyo hakuna andiko wala muujiza utakao wafanya waamini, sembuse hizi hoja ambazo huwa wanarumbana na watu Kila kukicha.

Na hivi ndivyo walivyo tangu enzi na enzi, hoja zao ni zilezile, na hata katika Quran, imeelezwa jinsi hawa watu walivyowakaidi.

Walipoonyeshwa miujiza waliita uchawi, maneno ya mwenyezimungu waliyaita hadhithi za kutunga, mitume waliwaita wachawi, machizi n.k.
(rejea; Quran 6:7,10:2,15:6, 46:17, 44:14, 40:56...)

Na katika kudhihirisha zaidi ukaidi wao, walifikia hadi kusema kumwambia mwenyezimungu, eti kama kweli hii (yaani yale aliyokujanayo mtume) ni haki kutoka kwako basi tuteremshie mawe kutoka mbinguni, au ututeremshie adhabu yenye kuumiza.(rejea; Quran 8:32)

Hii inaonyesha ni kiasi gani hawa watu ni wakaidi maana wangetaka kujua, wangeomba kuongozwa ila kwakuwa ni wakaidi wakaomba kuangamizwa.

Atakwambia thibitisha kama mungu yupo.

Sasa kama dalili alizoziweka mungu mwenyewe kuthibitisha uwepo wake hazijakukinaisha kuamini, unadhani hoja gani itakayokukinaisha.

Muktadha wa kupinga kwao ni kwamba mungu hayupo, hivyo hoja za kuthibitisha uwepo wake zote ni batili, lakini hata kama mungu yupo na hizi ndizo dalili alizoziweka kuthibitisha uwepo wake, basi ndio tayari wameshazipinga, maana hawakubalianinazo, hivyo ni wapingaji.

Kwahiyo tatizo sio ubora wa dawa ya sikio katika kutibu, bali tatizo ni kuwa hili ni sikio la kufa, hivyo halisikii dawa.
We mleta mada,
Unatumia kuran alafu unasema ni uthibitisho toka kwa Mungu.
Mungu gani hana muda na watanzania hadi watu toka nje ya nchi yetu ndio waje waseme eti jamani kuna mungu alafu wewe utegemee sisi tupokee tu hicho kitabu kilichoingizwa nchini kwetu eti kwasababu tusipokipokea tutaitwa wakaidi na hao watu walioleta hicho kitabu nchini kwetu🤦🏾‍♂️
 
Umesoma nilicho kiandika ? Haya ndiyo madhara ya kufata kichwa mchunga, nilivyo mimi ni tofauti sana na nyinyi, mimi nimeonyesha kutokuwa na ulazima wa mimi kuulizwa swali na nimeonyesha ya kuwa swali lake ambalo wewe umebeba kichwa mchunga halina maana yoyote. Yaani kukubali au kukataa hakubadilishi chochote.

Yaani mkokubali nyinyi inatosheleza, mnachotakiwa ni nyinyi muonyeshe uwezo wa Mantiki kujibu swalo hilo.

Kojana usiwe unakurupuka.

Kwa hiyo kama hakubadilishi chochote ndio tupuuze swali?

Kwamba kwasababu ajali ya gari iliyotokea juzi imeuwa watu wote wakiwemo waliofunga seat belt, kwa hiyo unashauri watu wapuuze uvaaji wa seat belt kwenye magari kwasababu kuna watu walivaa na bado wakafa?

Back
Top Bottom