Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,338
- 111,580
mimba changa inamsumbua,unajua ni ya nani?
mmh hebu ning'ate sikio mkuu maana nimemuona Mlimani City mchana huu ananunua vinguo vya watoto pale Baby Shop
mimba changa inamsumbua,unajua ni ya nani?
Nilikupenda kisa mi sio staa ukanitosa kisa hasanali anakujua,enzi za chuo ukawa unazungusha,leo nimekushtukia acha .....chukua timeeee ...we tapeli mzugaji....mi sikutaki ndio..nipo hapa ndio alinipenda kabla cjatoka binti........... Chukua timeee chukua timeeee ......mi naimba tu jmn wala haiusiani na kitu chochote
mimba changa inamsumbua,unajua ni ya nani?
nimekudanganya nini we mdada? ebu nituwe mimi lol!
Katika utafiti nilioufanya hivi karibuni nimebaini asilimia 95% ya wanaume wengi wanaoongoza kwa UONGO na umbeya mwingi usiopimika. Na kama yuko na mtu pembeni au njiani yake na kama amepigiwa simu saa hiyo basi utamsikia akisema niko nimekaa hapa home nangaalia luninga, na kumbe yuko na mtu njiani tu, au wakati mwingine utakuta yuko na mpenziwe ataanza kumzungusha kwa maneno matamu sana na yenye ulaini hivi ili yule dada aone kuwa anapendwa, kumbe hapo anamzuga na kumlaghai tu hakuna ukweli wowote ndani ya mioyo yao wamejaa uongo mwingi ambao umepelekea kuleta majuto kwa wakiadada wengi.
Familia nyingi zimesambaratika kutokana na WANAUME wamekuwa walaghai wasiopimika, na wenye utovu wa nidhamu uliokithiri sijui nini kimewapata mpaka wamekuwa hivyo. Ukiona jambo la ajabu linatokea duniani basi ujue nyuma yake kuna mwanaume aliyehusika mpaka jambo hilo limetokea. Ukiona Uchumi unayumba basi mwanaume ndiye amekuwa sababisho la kuporomoka kwa uchumi wamekuwa watu walaghai na wazandiki sana. TUFANYE NINI ILI TUWAPONYE WANAUME WETU HAPA TZ? Basi changia hoja yako hapa ili tuwarekebishe hawa makaka zetu na mababa zetu.
Samahani sana mwanaume wa humu jf kama utajisikia vibaya kwa post hii kwani wameniuzi sana wanaume ndo mana imebidi nipost ili turekebishe Taifa letu na kizazi chetu
eeeh! ndio umetokwa ku na nihinooo nini? maana sijakuona mda humuMimi nilitegemea wewe upewe namba moja! Umesahau ulivyowazushia madada wa jf kwa nini wanapotea jukwaani w'end?
Hapana jamani, labda twapishana tu mpenzi ila mie ukinambia waja nakusubiri stand lol.Tatizo nikija west unaenda south..........nikenda south unarudi west.
Sijui nimekukosea nini mwana wa mwenzio
Usijali hana access ya hili jukwaa lol. Haya nambie waja lini?
Kitakuwa kimejaa jaman, toka january mpaka dec hii? Tena uje na fastjet kabisa.Ngoja kwanza niwasiliane na kibubu changu
Kitakuwa kimejaa jaman, toka january mpaka dec hii? Tena uje na fastjet kabisa.