Wanaoongoza kwa uongo duniani ni wanaume

nini kuniangalia hivyo jamani watu8 sijui una nini na mm sipendi uniangalie hivyo kwani mwenzio nina aibu
kwa msisitizo na weka wino hapo: HIVI UNATAKA NINI KWANGU MPAKA UNIANGALIE KIASI HICHO JAMANI NIMECHOKA KUANGALIWA NA KUTAZAMWA KIASI HICHO KWANI WEWE SIO MMOJAWAPO WA HAO WANAUME NILIOWAPOST HAPO TENA UNAONGOZA MSTARI WA MBELE WA GWARIDE LA WAONGO HAPA DUNIANI ACHA BHANA SIO FRESH
 
afadhali ya wewe tena usijiingize katika dunia ya wanaodanganya kiasi hicho achana na hiyo tabia
 
nini kuniangalia hivyo jamani watu8 sijui una nini na mm sipendi uniangalie hivyo kwani mwenzio nina aibu
kwa msisitizo na weka wino hapo: HIVI UNATAKA NINI KWANGU MPAKA UNIANGALIE KIASI HICHO JAMANI NIMECHOKA KUANGALIWA NA KUTAZAMWA KIASI HICHO KWANI WEWE SIO MMOJAWAPO WA HAO WANAUME NILIOWAPOST HAPO TENA UNAONGOZA MSTARI WA MBELE WA GWARIDE LA WAONGO HAPA DUNIANI ACHA BHANA SIO FRESH

hahahah...haya bhana
 
kwani watu8 wewe uko pande zipi hapa bongo maana naona sasa mmh!............... nashindwa kusema hapo
 
daddy mbon\ umekuja kuniponda wakati wewe daddy hauko hivyo, wewe sio mwongo daddy
 
Back
Top Bottom