Wanaoongoza kwa uongo duniani ni wanaume

yaani WANAUME wamezidi jamani kwa uongo utafikiri chuma na reli mm nimewachoka kabisa hasa: acha niwaorodheshe wa humu ndani: NITONYE, PLATZOOM, ERICKB52, RUTTASHOBOLWA, MTAMBUZI, PASCAL, WATU8, BISHANGA, BABA V NA wengineo wengi jamani hawa watu madada muwakimbie kabisa mana si mchezo
 
Shosti kweli uliyoongea nimetendwa mwezio na hawa wanaume ni waongo wakubwa na wana mauzi makubwa sana marry hunbig ni kuachana nao kabisa hawa hasa watu8 ni mwongo
 
Nilitumia kipimo cha love meter ndipo nikajua kuwa kumbe wanaume ni waongo wa kutupwa jamani nyie waachieni kama walivyo
 
Thibitisha pasi shaka

yaani WANAUME wamezidi jamani kwa uongo utafikiri chuma na reli mm nimewachoka kabisa hasa: acha niwaorodheshe wa humu ndani: NITONYE, PLATZOOM, ERICKB52, RUTTASHOBOLWA, MTAMBUZI, PASCAL, WATU8, BISHANGA, BABA V NA wengineo wengi jamani hawa watu madada muwakimbie kabisa mana si mchezo
 
nimethibitisha ndugu kwani hujaona nimetuma post hapo chini kwa msisitizo we ona zaidi
 
kwani unataka niweke mashahidi wangapi wakati nimeshaweka wengi tu kwani ujaona nilivyotuma hiyo post hapo chini au macho yako nayo yana kigugumizi? fungua macho uone zaidi wewe acha kuangalia kimakengeza
 
maana naona unanisumbua kabisa haya ona sasa hao hapo: watu8, erickb52, mtambuzi, nicas, baba v, na wewe mwenyewe rutta haya sasa unataka nini usinisumbue tena nimechoka kurudia mistari utafikiri narudia chorus ya wimbo aaha!
 
yaani WANAUME wamezidi jamani kwa uongo utafikiri chuma na reli mm nimewachoka kabisa hasa: acha niwaorodheshe wa humu ndani: NITONYE, PLATZOOM, ERICKB52, RUTTASHOBOLWA, MTAMBUZI, PASCAL, WATU8, BISHANGA, BABA V NA wengineo wengi jamani hawa watu madada muwakimbie kabisa mana si mchezo

ladyfurahia said:
Shosti kweli uliyoongea nimetendwa mwezio na hawa wanaume ni waongo wakubwa na wana mauzi makubwa sana marry hunbig ni kuachana nao kabisa hawa hasa watu8 ni mwongo

hahaha...yaani imenibidi nicheke tu loh!
ambaye ashawahi kudanganywa na watu8 na awe wa kwanza kunyoosha kidole....
 
maana naona unanisumbua kabisa haya ona sasa hao hapo: watu8, erickb52, mtambuzi, nicas, baba v, na wewe mwenyewe rutta haya sasa unataka nini usinisumbue tena nimechoka kurudia mistari utafikiri narudia chorus ya wimbo aaha!

ujue mi nakutazama tu...
 
yaani WANAUME wamezidi jamani kwa uongo utafikiri chuma na reli mm nimewachoka kabisa hasa: acha niwaorodheshe wa humu ndani: NITONYE, PLATZOOM, ERICKB52, RUTTASHOBOLWA, MTAMBUZI, PASCAL, WATU8, BISHANGA, BABA V NA wengineo wengi jamani hawa watu madada muwakimbie kabisa mana si mchezo
Bora mimi sio muongo ee!!
 
We imekulazimu kufanya uchunguzi kugundua wanaume ni waongo, lakini bila uchunguzi wala utafiti mimi nimegundua 95% ya uliyoyaandika hapa ni upuuzi.

Wanaume wanaweza kuwa wanaongopa mara nyingi kwa siku lakini uongo mmoja wa mwanamke huwa ni maafa. Ndio maana mwanamke anaweza kumdanganya mwanaume kuwa mimba aliyonayo ni yake. Unaweza kudhania kuna laana kubwa zaidi ya kumbadilishia mtoto baba yake wa damu?
 
Katika utafiti
nilioufanya hivi karibuni nimebaini asilimia 95% ya wanaume wengi
wanaoongoza kwa UONGO na umbeya mwingi usiopimika. Na kama yuko
na mtu pembeni au njiani yake na kama amepigiwa simu saa hiyo basi
utamsikia akisema niko nimekaa hapa home nangaalia luninga, na kumbe
yuko na mtu njiani tu, au wakati mwingine utakuta yuko na mpenziwe
ataanza kumzungusha kwa maneno matamu sana na yenye ulaini hivi ili yule
dada aone kuwa anapendwa, kumbe hapo anamzuga na kumlaghai tu hakuna
ukweli wowote ndani ya mioyo yao wamejaa uongo mwingi ambao umepelekea
kuleta majuto kwa wakiadada wengi.

Familia nyingi zimesambaratika kutokana na WANAUME wamekuwa
walaghai wasiopimika, na wenye utovu wa nidhamu uliokithiri sijui nini
kimewapata mpaka wamekuwa hivyo. Ukiona jambo la ajabu linatokea
duniani basi ujue nyuma yake kuna mwanaume aliyehusika mpaka jambo hilo
limetokea. Ukiona Uchumi unayumba basi mwanaume ndiye amekuwa sababisho
la kuporomoka kwa uchumi wamekuwa watu walaghai na wazandiki sana.
TUFANYE NINI ILI TUWAPONYE WANAUME WETU HAPA TZ? Basi changia
hoja yako hapa ili tuwarekebishe hawa makaka zetu na mababa zetu.

Samahani sana mwanaume wa humu jf kama utajisikia vibaya
kwa post hii kwani wameniuzi sana wanaume ndo mana imebidi nipost ili
turekebishe Taifa letu na kizazi chetu

Na siku ukija kwangu ntakudanganya tu maana ni raha yako kudanganywa!
 
Back
Top Bottom