Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,300
- 4,673
😂😂😂😂Money Heist (iliyojulikana kwa Kihispania kama La Casa de Papel) ndiyo inayosadifu mambo haya kwa uhalisia mkubwa zaidi.Hii ni tamthilia maarufu duniani ya makosa ya jinai na unyang'anyi inayopatikana kwenye mtandao wa Netflix. Hadithi hii inamuhusu mtu mmoja wa ajabu anayejiita "The Professor" (Profesa), ambaye anakusanya kikundi cha wahalifu wanane wenye majina ya bandia (kama vile KENZY, chai ya rangi, Espy_ ) ili kufanya wizi mkubwa zaidi kuwahi kutokea katika historia.
Dogo langu linakujulia🤣🤣Kama dogo lako lisilonipenda..🥴
Mbio mbio, nijionee vawulensiii, na nichochee moto zaidi.Ukajua uko kwenye list?😀
Amani Mama pretty huyu dogo radar zinamsoma huko Gongo la Mboto.. Kabananishwa mahali...😀😂😂😂😂
Baba paroko heshima kwako🙌
Naomba nitafutie huyu mhalifu KENZY mwambie mama pretty anakutafuta hakupati
Sijashikiliwa hata hivyo...Hatimaye kaachiwa..😀🙌🏿🏃🏿
Muda wote kuwaza Ngono tu!.Nilichodhani ndicho,kumbe sicho🏃🏿♀️
Halafu dawa zikiisha uanze kunisumbua🤣🤣Nitaliroga linipende tena😉
Fanya kitu mshangazi umuachie.. hapo wikiendi nzima hapatikani.. itakua kashalowekewa nguo zake ili asiondoke😂😂😂Amani Mama pretty huyu dogo radar zinamsoma huko Gongo la Mboto.. Kabananishwa mahali...😀
Hebu jileteeee… nimekumiss😂Mh! Mi mbona nipo...
Mi nimekuhamu!Hebu jileteeee… nimekumiss😂