Kakataza majadiliano na militant atheists.
Majadiliano yanaruhusiwa kwa wenye muelekeo wa kutaka kujua ukweli sio kwa waliokataa na sasa wanatafuta mabishano.
Mkristo hakai kubishana. Wapo waliomuona kwa macho walimkataa. Na wapo bado hatujamuona kwa macho na tumemkubali. Kazi zake tunaziona! !
Namna hiyo.
PRAISE THE LORD JESUS.
Dini ni utapeli that's why china na baadhi ya nchi za Asia Wana miungu Yao na wanamafanikio kuliko nchi ambazo zinazo muamini Yesu na Muhammad
Dini ni zao la elimu ya kiroho elimu ambayo ndani yake inahusika na kuutumikisha ulimwengu wa kiza kuwa connected na ulimwengu wa kiroho na Nyama( kimwili)
So inapotokea ukawa unafanya maombi Fulani Ambayo kimsingi waasisi wa maombi hayo ndio wanajua chanzo chake basi hayo maombi ni lazima yatakupa matokeo chanya cuz Kuna energy unakuwa unaipata Toka direct Kwa baina ya ulimwengu wa giza na ulimwengu wa roho kuja ktk ulimwengu wa nyama
So Called Yesu /Muhammad/ na mitume as mwamposa and the likes wanahiyo elimu ya kuutumikisha Ulimwengu wa kiroho na ulimwengu wa giza ili uweze kuleta matokeo chanya ktk ulimwengu wa nyama
Baada ya wao kuweza kumaster hiyo elimu ya ulimwengu ninao kueleza hapo juu ndio Waka form Taasisi za kidini ili wapate wafuasi ambao watakapo kuwa wanazitumikia Dini hizo baada ya wao kupewa maagano ya ulimwengu wa kiza na kiroho --- kuwa endapo mkitufanyia hivi na hivi Basi na sisi tuta wapa power ,
In short ni mambo yanayo husu kupata spiritual power Toka Kwa mizimu na majini lakini Kwa kuwa hauwezi kumwambia mtu kuwa chanzo Cha dini hizi ni mizimu na majini ndio wakaja na Jina la Mungu Kwa Lengo la kuwa pumbaza watu ili waweze kuamini Kwa wepesi
Kisha baada ya kuform dini hizo ndio wakaziundia Sheria na kanuni Kwa waumini wake, Awali Dini zilikuwa na Lengo Hilo lakini zilipo fika mikononi Kwa wanasiasa wakazigeuza kuwa Psychology weapon ya kuweza kuwasaidia kupata madaraka kuendelea kuwatawala watu Kwa wepesi Kwa kuwa brain wash na kuwatawala Kwa kuwa devide and rule Wananchi Kwa kutumia Imani zao
That's why Leo hii tunaona Kila muumini wa dini yake lazima amuone muumini wa dini nyingine kuwa ni mtu aliye potea anayefaa kutengwa and the likes, So Kwa mfano ikitokea nchi Fulani ikapata Kiongozi anaye taka kuupush agenda zake ili ziweze kukubalika haraka ni lazima ataangalia nchi hiyo Ina idadi kubwa ya Wananchi wanao amini ktk Dini Gani Kisha Alisha jua Dini ipi yenye idadi kubwa ya waumini na Dini ipi yenye waumini wengi wenye exposure au power ya kiuchumi Au dini ipi Ina wajinga wengi basi mwanasiasa husika ana weza kuyatumia hayo makundi Tajwa hapo juu ktk kuweza kupata Millage ya kisiasa
Na kuendelea kubaki madarakani Dini hizi Kuna wakati huwa zinatumika kama the way ukabila unavyo tumika ktk baadhi ya mataifa katika kuwa chonganisha Wananchi na serikali kisiasa au katika Kuinufaisha serikali kisiasa ,
Na muanzilishi wa hiyo system ni Ibrahim ,
Hakuna masuala ya Mungu + Peponi Wala nini hayo yote ni utapeli , Yale mambo unayo yaona ya waumini wa kiislam kwenda Hijja Maka na Wa Cristian kwenda Hijja Israel Yale ni matambiko but yame fanyiwa propaganda ili watu waamini kuwa ndio formula ya dini inavyo taka ,Yale ni matambiko maana ukienda makka utaenda kuzuru makaburi na kulizunguka jiwe ukienda Israel utaenda kuzuru makaburi pia , so kwaajili yako ya kawaida Kuna tofauti Gani hapo na waafrica wanao kwenda kuzuru makaburi ya mababu zao na kusali kwenye mawe makubwa au miti mikubwa !??
Yale ni matambiko Yaliyo fanyiwa PR ili watu waweze kuya catch Kwa wepesi na kuyaamini that's why Huwa USA ili kuwa Ina peleka macelebrity Makka like kina Michael Jackson ili wawe kama influencer wakuya fanyiwa promotion cuz macelebrity Wana ushawishi mkubwa ktk jamii wakifanya jambo ni rahisi jambo Hilo kukubalika
Jiulize Why china wanaimani zao za kitamaduni before ya ukristo na uislam na Taifa lao Lina fanya Maendeleo makubwa kuliko wale wenye Imani ya Muhammad na Yesu , so kama Mungu wa Yesu/ Muhammad ndiye mungu wa haki na wa halali na mwenye power Authority Inakuwaje ana muacha Mungu wa china awe na uwezo mkubwa wa kuwa saidia wa china ktk kuwafanya waweze kutimiza malengo Yao na kuwa super power kuliko mataifa mengine yanayo muamini mungu wa Yesu na Muhammad!?? Kwa mantiki hiyo it means mungu wa Yesu / Muhammad Hana nguvu mbele ya Mungu wa china !?? 😁😁😁
Halafu kitu kingine Cha kuchekesha Sasa Kwa nyinyi waumini wa hizi dini mbili ni pale Tunapo ona USA ambalo baadhi ya watu wengi huamini kuwa ndio taifa la shetani USA hao hao ndio wanao tumika kuyalinda mataifa takatifu ya Mungu Israel/ Saudi Arabia Yaani mataifa ya Mungu haya wezi kujilinda yenyewe mpaka yapewe msaada wa ulinzi na Taifa la shetani!!! WTF 😂😂😂🙌😂
Dini ni uchizi , Walau Onyesheni kujitambua basi nyie wafia dini , Dini hazina nafasi katika Karne hii maana zimejaa Utapeli + Ujinga ,