Wanaoomuamini Mungu, wana nini cha kujivunia?

Wanaoomuamini Mungu, wana nini cha kujivunia?

So alietia sukari kwenye miwa na maembe ni baba yako
Kutokujua historia kunaweza kukufanya ukaingia kwenye mkumbo wa kijinga kudhani kwamba kila usichokijua jinsi kinavyofanyika basi majibu yake ni Mungu kafanya.

Embe unaaloliona leo na kuliona lina sukari tambuaa ni jitihaada za watu kupitia Sayansi ya Selective breeding.

Embe la kale ungepewa leo ukala si ajabu ungetukana na kusema ni tunda la jehanamu lililolaaniwa na Mungu kutokana na uchachu, uchungu, na hata ukali wa ladha yake.

Embe la zamani lilikuwa na mbegu kubwa na nyama chache.

Miwa ya asili nayo ilikuwa na nyuzi nyuzi nyingi isiyokuwa na ladha na pia ilikuwa migumu kutafuna. Historia inaonesha matumizi ya miwa haayakuwa kwenye kula bali miwa ilitumiwa kama dawa za asili.

Wanasayansi ndio waliochanganya baadhi ya mimea ku form hybrid bora ambayo ilikuja na sukari ambayo unaisifia na kumpa credit Mungu.
 
Hakika kwa sasa najitahidi kudanganya watu kwa mfano nilikuwa tabora,watu wakawa makundi kwa maelfu wakiniuliza dini yangu

Nikasema sina dini,nilionekana kana kwamba kituko,jamii kwa mbali ikaanzs kunikataa na mambo yangu yakaanza kugoma

Ikabidi nijifanye nimesilimishwa,hakika jamii walifurahi sana nikaendelea kuungwa mkono kwa kile nilikuwa nafanya kwa asilimia kubwa

Hakika dini ni ugonjwa
 
By the way, we boast in the name of the Lord.

You boast in your idols: papers, metals and stones (money, cars and houses), we boast in the name of HE who created the trees, metals and stones.

BWANA YESU ASIFIWE SANA!
 
For CORRECT historical and scientific info about the Earth we have Christian historians and scientists.

Ndomana YESU alikataza majadiliano na watu aina hii.
Kukataza majadiliano maana yake unataka watu waamini bila kutafakari?

Hata maandiko yamekataza, yanasema ya kwamba kuamini bila kutafakari ufia dini (fundamentalism) NA kutafakari bila kuamini ni upagani.
 
Tumwombapo Yes, anasikia na anajibu
Hapana. Swali lilikuwa hivi: kwa nini wanaomuamini huyo Mungu, huwaona wenzao wasiomuamini kama vituka, vitu vya ajabu ajabu, kwamba unawezaje kuishi bila Mungu, af, wasiomuamini hawamaindi wenzao wanaomuamini.
 
Duniani kuna mapepo mengi, kuna la ngono, kuna la ubishi bila facts, kuna la kisirani, kuna la kutumia pesa ovyo, yapo mengi sasa nikiyataya yote post hii itakuwa ndefu sana...

Hivi hujawahi kuskia mtoto anamwambia mama yake "Wewe sio mama yangu!"?

Cha msingi maatheist mtafute njia ya kutoa mapepo ya kumkataa Mungu...

Urakoze sana.
 
Kukataza majadiliano maana yake unataka watu waamini bila kutafakari?

Hata maandiko yamekataza, yanasema ya kwamba kuamini bila kutafakari ufia dini (fundamentalism) NA kutafakari bila kuamini ni upagani.
Kakataza majadiliano na militant atheists.

Majadiliano yanaruhusiwa kwa wenye muelekeo wa kutaka kujua ukweli sio kwa waliokataa na sasa wanatafuta mabishano.

Mkristo hakai kubishana. Wapo waliomuona kwa macho walimkataa. Na wapo bado hatujamuona kwa macho na tumemkubali. Kazi zake tunaziona! !

Namna hiyo.

PRAISE THE LORD JESUS.
 
We beleivers know that this is a spiritual war, they claim not to beleive but the truth is they are rejecting him.

Sio kuwa hawamuamini, wanamkataa. Yaani hawamtaki. Hawampendi. Ndomaana kutwa na mabango kumuongelea.

It's a heart problem.

Ndomana YESU alikataza majadiliano na watu aina hii. Because its not a debate that they need, its God's Grace.
Umeenda mbali na swali lenyewe, nadhani hujalisoma. Japokuwa,hata huyo Yesu, una uhakika gani kama aliwahi kuwepo?
 
Kakataza majadiliano na militant atheists.

Majadiliano yanaruhusiwa kwa wenye muelekeo wa kutaka kujua ukweli sio kwa waliokataa na sasa wanatafuta mabishano.

Mkristo hakai kubishana. Wapo waliomuona kwa macho walimkataa. Na wapo bado hatujamuona na tumemkubali.

Namna hiyo.

PRAISE THE LORD JESUS.
Sasa kama waliomuona kwa macho wenyewe walimkataa, pengine walikuwa wanalishwa matango, kumuona wakaona ni tofauti, ambao hawajamuona, na hawamuamini, wana kosa gani?
 
Duniani kuna mapepo mengi, kuna la ngono, kuna la ubishi bila facts, kuna la kisirani, kuna la kutumia pesa ovyo, yapo mengi sasa nikiyataya yote post hii itakuwa ndefu sana...

Hivi hujawahi kuskia mtoto anamwambia mama yake "Wewe sio mama yangu!"?

Cha msingi maatheist mtafute njia ya kutoa mapepo ya kumkataa Mungu...

Urakoze sana.
Swali umelielwa lakini?
 
Umeenda mbali na swali lenyewe, nadhani hujalisoma. Japokuwa,hata huyo Yesu, una uhakika gani kama aliwahi kuwepo?
(I'll Copy + Paste my comment)

Jesus Christ walked on earth, Did great miracles, Died and Resurrected from the dead!

His first followers who were all Jews died terrible deaths to defend this Truth. Simply announcing Jesus' Ressurection took the life of hundreds in the first century alone, followed by thousands in the next century.

These are historical facts that I've personally proved to be true beyond reasonable doubt.

Having said that, some people saw with their own eyes all that Jesus did and refused to accept who he said he was. Some said he worked for the devil.

Some of us in the 21st Century have yet to see Jesus' face and we have accepted who he said he was.

Jesus talked about this funny phenomenon.

Now, it is Good that some Jews refused their own Messiah, for it made way of us in other nations to know him. The whole earth will be filled with the news about the Messiah before his return. These very Jews who rejected him will cry for the Lord Jesus on the last day THEN he will set foot in Jerusalem, all eyes will see him. The Jews will be jealous as the whole world knew the Messiah and they, the chosen ones didn't. They will be jealous. (THESE ARE NOT MY WORDS I'M QUOTING SCRIPTURE).

When he returns that's the Kingdom of God officially setting on earth, some will never accept Jesus to their deaths, hence will be eternally separated from the Lord.

There will be last day beleivers on Jesus' return but will unfortunately get into the Kingdom with mortal bodies. (They have hope too, another topic)

Good News is you don't have to be a last day beleiver.

I suggest you start over with finding out who Jesus really was!

You could start here.

May the Lord Bless you, and us.

Bye.
 
How can I believe in that Jesus I have ever seen?
 
Swali umelielwa lakini?
Sasa wewe utaonaje njia ikiwa mbele yako kuna ukungu wa kutengenezewa?

Wewe unataka kujua kile walichonacho wajivuniacho hiyo itakusaidiaje.

Unajua ni makosa wakati mwingine kubishana na mtu aliyejitangaza kuwa ni atheist, huyo mtu ni wa kuombewa, hayuko peke yake hata kama anaonekana yuko peke yake...!
 
Walikataa kwasabb walimfahamu vema yeye na familia yake. Ni sawa na leo hii Abdul ajitangaze kuwa yeye ndiye Messiah. Utakubali?
Nani alikwambia walimfahamu vema???

Has Abdul fulfilled over 300 Old Testament prophecies about the Messiah like Jesus did?

HAS ABDUL RISEN FROM THE DEAD? ?
 
Back
Top Bottom