synonym II
JF-Expert Member
- Nov 25, 2024
- 276
- 312
Aiiiiiiiiiiiiiiiiiiight
NimeelewaKwa hiyo na wewe ukajiona bonge moja la mtu, kwamba huyo mama ni mweupe, wewe umejaa nondo..kwa hiyo hilo swali lako ndo kipimo cha Mungu yupo au hayupo na wote wakishindwa..una conclude Mungu hayupo..??Duuuh...
Hayo mambo ya Mungu yupo ama hayupo tafuteni majibu wenyewe, msitafute VALIDATION kutoka kwa watu waunge mkono mnachoamini, waacheni kama kweli hayupo ipo siku watakua enlighted kama nyinyi mnavojiona, WAO PIA wawaache - kila mtu ashinde mechi zake..
Je, kwa nini huyo alie ndani yao, alienda huko, na akawaacha wengine(hao wasioamini)?Wanaoamini wamepewa wajibu wa kuwafanya wasioamiamini waamini, hawawezi kutulia, aliye ndani yao anawasukuma kufanya hivyo.
Yesu na Mungu wana tofauti gani tena? Si mnasemaga Yesu ndie Mungu!Mungu hamwokoi mtu kwa kutoamini, bali kwa kumfunulia ukweli hata katika ujinga wake.
Atheist haokolewi kwa kutokuwa na imani, bali kwa kubadilishwa na Mungu hadi amkiri. Hivyo, bado Yesu ndiye njia , Mungu ndiye anayemvuta mtu kwa wakati wake, na siyo sisi kwa mipaka yetu.
Kwa akili zako unaona alifanya kazi ya maaana! Huo mua unaouona mtamu, kuna mwingine kwake ni mchungu. Kuna na mwingine haujui. Vinginevyo tungeuliza aliekupa mkongoto wengine wakapewa mashimo; au aliekupa akili finyu, wengine wakajaziwa. Nilichouliza mimi, nani ana haki ya kumdhihaki mwenzie kisa imani! We kama unaamini, ni juu yako, una sababu zako, na wa
Yesu si tofauti na Mungu kwa uungu, bali ni ufunuo wa Mungu katika mwili.Yesu na Mungu wana tofauti gani tena? Si mnasemaga Yesu ndie Mungu!
Mbona upo banned mkuu?I still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
Pole! Mwendawazimu akinyamaza anaonekana ana akili kuliko wewe!Hivi, kwa nini watu wanaomuamini Mungu wakisoma posts za wasioamini katika uwepo wake, wanaumia na kuona kama kuna viumbe hawana akili.
Wakati huo huo, wasiomuamini huyo Mungu, wanawaona wenzao kama kawaida, wenye haki ya kuamini wanachokitaka, bila kejeri na matusi kama ya wana wa Mungu?
Mungu wa wanaomuamini yawezekana hana heshima na yeye ndo wanajifunza huko!!!!
Wakati huo huo, wasioamini wengine wana maisha mazuri kuliko wanaoamini na kuabudu, wenzetu wanaoamini, Mungu wao kama mbaguzi na anawajali wasiomuamini, iweje waandame wasioamini? Si hiari yao?
Sorry Nimeishia kusomea hapa.Dini ni utapeli that's why china na baadhi ya nchi za Asia Wana miungu Yao na wanamafanikio kuliko nchi ambazo zinazo muamini Yesu na Muhammad
Unaruka ruka tu jibu hoja for factSorry Nimeishia kusomea hapa.
There's so many things wrong with this I don't even know where to begin with you! ! !
Neither do I intend to engage, honestly.
Kwa Kifupi: Jesus Walked on Earth, did great miracles, was killed, and Ressurected on the third day.
Do with that what you will.
Bye.
Siko hapa kujibu maswali yako! ! !Unaruka ruka tu jibu hoja for fact
Kwanini Mungu mwenye nguvu aruhusu mabaya yaweze kuwafika watu wakati Ambao ni very decent wakati yeye yupo !?
Alienda kutuandalia makao, ametuachia msaidizi Roho Mtakatifu.Je, kwa nini huyo alie ndani yao, alienda huko, na akawaacha wengine(hao wasioamini)?
Nipo mkuuMbona upo banned mkuu?
We Jamaa kweli mwehu 😂Kongongole kwenu JamiiForums kwa kumfungia huyu mtu.
Endelea kutoamini uwepo wa mungu,kwani umezuiwa??Hivi, kwa nini watu wanaomuamini Mungu wakisoma posts za wasioamini katika uwepo wake, wanaumia na kuona kama kuna viumbe hawana akili.
Wakati huo huo, wasiomuamini huyo Mungu, wanawaona wenzao kama kawaida, wenye haki ya kuamini wanachokitaka, bila kejeri na matusi kama ya wana wa Mungu?
Mungu wa wanaomuamini yawezekana hana heshima na yeye ndo wanajifunza huko!!!!
Wakati huo huo, wasioamini wengine wana maisha mazuri kuliko wanaoamini na kuabudu, wenzetu wanaoamini, Mungu wao kama mbaguzi na anawajali wasiomuamini, iweje waandame wasioamini? Si hiari yao?