Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Ungekuwa ubakua watoto wa big result ungenyooshea wengine vidole kwahyo acha wafanye watakayo asante kunielewa na wewe endelea zako na std seven ndo mnaendana nao vizuri
 
Ungekuwa ubakua watoto wa big result ungenyooshea wengine vidole kwahyo acha wafanye watakayo asante kunielewa na wewe endelea zako na std seven ndo mnaendana nao vizuri
....................mmmmmh!
 
Yanini kufuga Ngo'mbe wakati waweza nunua maziwa unapokuwa na hamu nayo!
 
Of all, u said it correctly.....wanajishebedua kumbe vilaza so waendage huko kwa vilaza wenzao na waliokimbia umande

ndio hvyo mkuu, wao wnyewe wanawamwezea mate lakni kwasababu washakosea step kwa kukimbia umande, watoto wazuri wenye degree wanawatosa sasa wanajihami. waache waende kwa wafata upepo ukimwambia kla kitu anabaki kujibu ndio yani hakuna challenges zozote! wanakera sana! hawajui kuwa hyo mambo wanayosema ndio challenges zenyewe! alafu ni aibu sana kidume kulalamika hujui mshahara wa mke wako! mm navyojua mke hana jukumu la kulea familia labda atake mwnyewe kusaidia hata vitabu vya dini vinasema. kama kidume pambana familia iishi vizuri na sio kuchungulia eti mke wngu mwsho wa mwez anapata bei gani ni shame kwa kidume anayejitambua. upande wangu nitaoa mwnye degree na sitokuja kutegemea eti aje kunusaidia. nitapambana mwnyewe ili mradi nitoshekee na tabia zake lakini darasa la saba na form 4 watanisamehe kwasababu SIENDANI NAO.
 
jibu hoja ya nini ku-attack personality ya mtu,nimesema wanawake wasomi ni pasua kichwa kuliko ambao hawajasoma kivile,halafu unakmbilia kunicrush,jibu hoja mkuu acha kuniangusha
 
Nipo hapa namsikiliza Prof Jay "Zubeda"
 
Umepaonaeeeeee!!
 
Kumbe roho mbaya imekujaaa....nisijenge kwetu kisa nimeolewaaa!!!?

Makubwaaaa!
Kwanini usimalize kujenga kwanza huko kwenu ndipo uolewe,...Nyie ndo mnafanya mwanaume asiperform kwa sababu ya mawazo,wanawake wa kiafrika badilikeni acha mtelezo....ndo maana mnanenepeana ovyo...
 
jibu hoja ya nini ku-attack personality ya mtu,nimesema wanawake wasomi ni pasua kichwa kuliko ambao hawajasoma kivile,halafu unakmbilia kunicrush,jibu hoja mkuu acha kuniangusha

hoja ndio hyo mkuu wanawake uwasemao ni matatizo hawana challenges zozote katika maisha. nasema hivi nina uzoefu katika mahusiano nliyopitia. wengi wao wanakuaga ni malkia ndio
 
hoja ndio hyo mkuu wanawake uwasemao ni matatizo hawana challenges zozote katika maisha. nasema hivi nina uzoefu katika mahusiano nliyopitia. wengi wao wanakuaga ni malkia ndio
tatizo ndo hilo,na pia ukiwa na mwanamke mwenye challange na challange zake ni kusifia wanaume wengine ungezipokeaje
 
Hata majibu yao mnayaona kwenye hii thread jinsi wanavyojibu kwa kashfa, matusi na dharau. Kumuweka ndani mwanamke msomi kwa asilimia kubwa ni kujitafutia matatizo tu, nina mifano zaidi ya 100 tena mingine toka kwa ndugu zangu wakike na wakiume . Mwanamke msomi mwenye hofu ya Mungu pekee ndiyo anaweza kuwa wife material lakini sasa mwanamke wa aina hiyo utampatia wapi?

To be on the safe side bora ukomae na wacertificate au diploma tu.
 
Kwanini usimalize kujenga kwanza huko kwenu ndipo uolewe,...Nyie ndo mnafanya mwanaume asiperform kwa sababu ya mawazo,wanawake wa kiafrika badilikeni acha mtelezo....ndo maana mnanenepeana ovyo...
hajali familia yake anajali kwao,Mungu tuepushe na wanawake kama hawa
 
Mashallah....Jichagulie zawadi....
 
mkuu huko kwenye usomi na dini ndo mbaya,watatumia mwamvuli wa dini ila hawafai
 
Kwanini usimalize kujenga kwanza huko kwenu ndipo uolewe,...Nyie ndo mnafanya mwanaume asiperform kwa sababu ya mawazo,wanawake wa kiafrika badilikeni acha mtelezo....ndo maana mnanenepeana ovyo...

Hahahaaa kwani umenioa ili niwe engineer wako, na wewe kama unataka kujenga kwa nini usijenge kwanza halafu ndo uoe...

Halafu hayo ya kunenepeana yameingiaje? Nyie hamjioni na mitambi yenu kama mnafuga vyura tumboni....na bado hamridhiki mnataka na mishahara ya wake zenu....teh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…