Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

na bado wakifika kazini inakuwa zam ya mabosi kuwabakua sasa, hlf mtu anakuja kutangaza nia ya kutaka kuoa.... heee aiseee inataka moyo bora nikakamate form 4 nitammanage ninavotaka mm na atajua kuwa mimi ndo kichwa
 
Hamna aliye paniki hapa hoja tu wala hukuulizwa ufanye introduction ya unayoyafanya hayatuhusu sisi mana niliona unatetea vitu visivo na mantinki otherwise na doubt elimu yako haijakukomboa kifikra rather than vyeti hata mti hujulikana kwa matunda yake badala ya kujibu hoja unakuja sijui na nini na makorokocho sasa si ndo umepaniki aisee ha ha ha dunia ina.mambo hata uelewa na uchanganuzi wa mambo wonders shall never end

by the way hujapokea pole yangu nilokupa na kubakuliwa bila mpangilio au kwako haikuwa hvyo
 
tusipende kukariri vitu, au ku conclude kutokana na yale tuliyoyaona kwa mtu fulani kila sekunde na dakika vitu vinabadilika,aliyepita jana njia fulani na akafika salama wewe unaweza kuipita leo ukakuta kumbe haipitiki tena
ukweli warembo wengi waliosoma sio wife material
 
ila jitetee wewe na usiwatee wengine

Lazima tuseme ukweli penye uhalisia mtu hawezi.kukurupuka na kuongea uzushi degree za chupi sijui nini kugawa how does it relate na wife material kwahyo chuoni watu hawasomi ni kufanya hivo vitendo na unakuta course za lecture tofauti na hapo inakuwa mtu mpende mtu na vigezo vyake na kama moyo umempenda basi iwe la saba big result au phd cha.msingi mumependana na mumeendana hayo ya kuingiza kashfa ni.kukosa point tu za kutetea hoja iwe na mashiko lazima to argue kama.ma thinker sio unakuja na harsty generalization ya kitu bila reaserch hiyo inakuwa false
 
Kumbe mleta mada ni mwoga?

Hahahaha kiukweli mwanamke ukishamlaza kitandani vizuri wala hakumbuki kasoma chuo gani na anamiliki digrii ya nini. Mshahara unawekwa mezani mnapanga majukumu kwa pamoja. Tunachokosea wanaume ni kutojua mwanamke anataka nini..... baaasi.

tunakosea kwa sababu hata wao wenyewe wanawake hawajui wanataka,nini hasa... Ila wakishakosea na kumsingizia shetani ndio alimpitia ndio hapo sasa mwanamke atajua anataka nini... Na akishajua anataka nini basi itakusaidia wewe mwanaume kumpatia anachotaka kama bado upendo utakuwepo!
 
mkuu umeongea point,wakishapewa mimba wakazinguliwa ndo utaona ile kiburi ya usomi inaisha na kujiweka wife material ila ishakuwa too late.
 
Lazima tuseme ukweli penye uhalisia mtu hawezi.kukurupuka na kuongea uzushi degree za chupi sijui nini kugawa how does it relate na wife material kwahyo chuoni watu hawasomi ni kufanya hivo vitendo na unakuta course za lecture tofauti na hapo inakuwa mtu mpende mtu na vigezo vyake na kama moyo umempenda basi iwe la saba big result au phd cha.msingi mumependana na mumeendana hayo ya kuingiza kashfa ni.kukosa point tu za kutetea hoja iwe na mashiko lazima to argue kama.ma thinker sio unakuja na harsty generalization ya kitu bila reaserch hiyo inakuwa false
mi degree ya mtu naheshimu ila point langu ni kwamba wanawake wasomi wengi si wife material wana kiburi
 
nikuoe we wa chuo na kiburi nikupeleke wapi si kujiongezea mizigo tu

mfano mzuri tunauona kwenye huu uzi wanavojibu ni wabishi na majeuri sasa mwanamke kama huyo awe mke, c ni matatizo tu
 
by the way hujapokea pole yangu nilokupa na kubakuliwa bila mpangilio au kwako haikuwa hvyo

Jibu ki hoja sio kuingiza mambo ya kubanjuliwa wewe huoni haya dume zima aibu huna umebakiza kubakuliwa tu aibu yako sipewi pole na mwanaume anaye tumia makalio kufikiri badala ya kichwa unawaza kubakuliwa tu
 
mfano mzuri tunauona kwenye huu uzi wanavojibu ni wabishi na majeuri sasa mwanamke kama huyo awe mke, c ni matatizo tu
mkuu mwanamke mwenye degree mpaka anahesabu kapika siku ngapi kwenye wiki
 
Jibu ki hoja sio kuingiza mambo ya kubanjuliwa wewe huoni haya dume zima aibu huna umebakiza kubakuliwa tu aibu yako sipewi pole na mwanaume anaye tumia makalio kufikiri badala ya kichwa unawaza kubakuliwa tu

basi umeshinda mama tusifike mbali tukafungiwa uzi buree na mods maana hata mimi nina maneno machafu kupitiliza, kila mtu aamini anachoamini
 
mi degree ya mtu naheshimu ila point langu ni kwamba wanawake wasomi wengi si wife material wana kiburi

Inategemea tu na mtu uliyekutana naye na mazingira aliyo kulia na malezi mbona wapo na wanaolewa sasa mtu badala kutetea hoja ana leta kashfa
 
mkuu mwanamke mwenye degree mpaka anahesabu kapika siku ngapi kwenye wiki

teh teh teh teh teh, ni kweli mkuu, ujue huu uzi ulipatia sana mimi ningeomba ikiwezekana mods wauweke sticky
 
Back
Top Bottom